Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Unawauliza wanawake wa jf mkuu, humu hamna atakaevumilia hicho kitu ila madem wa ivo wapo wengi tu, tena wengi sana.

Maana wanawake wengi hawaridhishwi kutokana na sababu mbalimbali ambapo baadhi yake ni wanaume kuwa wabinafsi, kutojua vyema hiyo sanaa ama lah ndo huo udhaifu ama lah tatizo kua kwa wanawake wenyewe.

Sasa basi kwasababu hizo hapo juu zote kibongobongo zitajumuishwa kua mwanaume hana nguvu za kiume, na hapohapo huyo mwanaume anaweza kua kitombi na anagombewa na wanawake means anapendwa ilhali ukiuliza kimtandao majibu ni tofauti tena.
 
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.

Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Kama kanioa na shida imeanza baadae sana baada ya ndoa na kupata watoto sawa nitadumu nae....
Km hajanioa wa nini..nahitaj kuzaa etc
Wanini??
Unadhn mwanaume akikuta dem wa hvyo atakubali kumuoa...bora nusu shari kuliko shari kamili
 
Na huyu iko wazi atagongewa...
 
Yaani nimekuchenga ila ukarudi kule kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na wewe tunachengana siku hizi? Kwanza weka ubini wangu nifurahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Demi sophy27 Kelsea To yeye Mrs Lissu financial services Bless mom

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?​

Inategemea nguvu kazikosa Kwa kuzaliwa ama ni tatizo limemkuta likasababisha hali hiyo
Mimi Nitatafuta namna ya kumsaidia ikiwa ni tatizo la kiafya maana wenzetu ata akiwa na stress tu mwingine haisimami mapenz ni zaidi ya sex hata wanawake Kuna wakti hatuna nguvu za kike kutokana na marejesho ya vikoba na michezo na mnatuvumilia tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeongea vizuri sana

Akishapona tatizo lake unaanza zile mambo zetu za kuidondokea sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.

Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…