Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Katika huo wingi nayeye umemuhusisha wakat hamna sehem alipozisema vby zaidi ya kuomba ushauri
Ukisoma vizuri kuanzia title yake mpaka maelezo sidhani kama alikua anaomba ushauri bali alikua anazilaumu kwa zilivyomtenda kwa hiyo yeye hakutakiwa kuanzishia uzi alitakiwa baada ya kuona madhila hayo angeziacha na kuendelea kutumia alizozizoea.
 
Kuacha kuzitumia ni suala moja na kusema yaliyomtokea na suala jingine.

Hamna ubaya wowote kuja kusema nimetumia product fulani nikapata na matatizo labda inaweza kuwa ana ugonjwa yeye mwenyewe au hiyo bidhaa imemsababishia madhara
 
Sote tukisema tuandike vitu vinavyotudhuru server si zitajaa humu!?

Na kabla haja ziattack pads za watu alienda hospital akaambiwa shida ni pads?

By the way i have my reason kusema vile "mnamuandama" haijaanzia hapa.

Pole kama umekwazika na statement yangu.
 
Kwani kuna mtu kaziponda??
 
Ukisoma vizuri kuanzia title yake mpaka maelezo sidhani kama alikua anaomba ushauri bali alikua anazilaumu kwa zilivyomtenda kwa hiyo yeye hakutakiwa kuanzishia uzi alitakiwa baada ya kuona madhila hayo angeziacha na kuendelea kutumia alizozizoea.
Sijaziongelea kwa ubaya. Na ndo maana nimesema labda nimekosana nazo.
Embu tu niachane na wewe
 
Kama jamii forum wangeona najaza server yao. Wangefuta huu uzi.
Tusipangiane cha kupost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…