Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Mmhhhh!!!!
Nadhani inategemea NTU na NTU...
Ushauri kwa anaetumia pad zinamletea shida better atumie gozi au pad za kufua zipo.
 
Mimi nilikuwa natumia ila nikawa naumwa tumbo sana nikiwa kwenye hedhi.
Nilijua ni kawaida.
Siku ziliniishia nikakosa dukani ikabidi nichukue nyingine. Sikuumwa tumbo kabisa.
Lakini bado sikugundua kwamba tatizo ni Pad.
Mzunguko mwingine nilianza tumbo haliumi kabisa ila baada ya kuvaa HQ likaanza hapo hapo kuuma, wazo likanijia hebu niivue nikaivua nikavaa nyingine tumbo likakata.
Hadi Leo Sivaagi tena maana ule ubaridi una kama kasumaku kanavuta uchi sijui..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same here, niliumwa tumbo hadi nikawaza "nini hiki"!!! nilipoziacha basi hali ikarejea kawaida.
 
Sio kama inafyonzwa sana kiasi haionekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree with you...mimi nikitumia zingine ambazo sio HC nachubuka kabisa...na kuwashwa kusiko kawaida. Nadhani inategemea mtu na mtu...kama kitu hakikupendi unaacha..find wat works best for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…