Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Nimependa hii
 
Naamini katika HC hata nikijua naenda kijijini nabeba za kutosha
 
bora nimepata uhakikia wa hii kitu,,nilitumia sikua zikawa chache sana si kama kawaida,,
 
Anakulipa gharama zote za nini sasa..za kununua viungo vipya au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati naanza kuzitumia kuna kipindi tumbo lilikua linauma sana na flow ilikua kubwa ila sikudani ni pad ndo inachangia huu uzi ndo umenifungua. mpaka sasa nazitumia na maumivu ya tumbo hayapo tena na siwezi kutumia pads nyingine zaid ya HC.
 
Miss Natafuta Taarifa Mkuu!!! Ulivuliwa njia ya wapi hako kananiliu Tafadhari....

KIMEO CHANGU
Mkuu unatamani hata mtu ambaye yuko kwenye hedhi akivua chupi...?

Kwakweli tuko tofauti,hakika ungekuwepo eneo hilo yawezekana ungeona damu ungesimamisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mara ya kwanza Leo nimezivaa Mara nakutana na huu Uzi.
Sasa nikawa najiuliza mbona Leo naumwa na tumbo hivi baada ya kusoma post kadhaa nikajua tatizo ni pedi za HC nimevua nikanunua nyingine sasa hivi ni Mubasharaa[emoji119][emoji119][emoji119]
 

Hizi pads huwa sijawahi kutumia kabisa. Lakini baada ya kutumia. Asee najuta maana zimenidhuru tu.
Sijui usalama wake ukoje.
Kwa kuzitumia ni nzuri na hasa ule ubaridi lakini kwa yaliyonitokea sio salama kwa matumizi .,labda Kama nimekosana nazo.
Je wewe ulishawahi kuzitumia na zikakuletea madhara.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…