Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Wapi ameziandama?!

Kwani kuna mtu kaziponda??

Katika huo wingi nayeye umemuhusisha wakat hamna sehem alipozisema vby zaidi ya kuomba ushauri

Ulivyoongea ni moja kwa moja Kama vile tumeziongelea vibaya

Kuacha kuzitumia ni suala moja na kusema yaliyomtokea na suala jingine.

Hamna ubaya wowote kuja kusema nimetumia product fulani nikapata na matatizo labda inaweza kuwa ana ugonjwa yeye mwenyewe au hiyo bidhaa imemsababishia madhara

Sijaziongelea kwa ubaya. Na ndo maana nimesema labda nimekosana nazo.
Embu tu niachane na wewe

Kama jamii forum wangeona najaza server yao. Wangefuta huu uzi.
Tusipangiane cha kupost

Laugh Out Loud.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kua/Kuweni na Amani,
Don mind Meee.
 
Sijawahi pata shida yoyote kwa kutumia hizo,tena nilikuwa comfortable mno,..itakuwa inakitu ambacho huendani nacho,...tumia pads ya kutengeneza mwenyewe ni nzuri zaidi kwa afya na haina gharama,jaribu!!!! Au tumia "afripad" pads za kufua aiseee hutojuta shosti.
 
1c6fa31564471b58b23dd270e2ecfb94.jpg

Hizi pads huwa sijawahi kutumia kabisa. Lakini baada ya kutumia. Asee najuta maana zimenidhuru tu.
Sijui usalama wake ukoje.
Kwa kuzitumia ni nzuri na hasa ule ubaridi lakini kwa yaliyonitokea sio salama kwa matumizi .,labda Kama nimekosana nazo.
Je wewe ulishawahi kuzitumia na zikakuletea madhara.??
Hebu eleza kwa ufasaha yaliyokutokea ili niweze kukusaidia
 
Back
Top Bottom