Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Warumi na DR. bado mna miss point hapa.Wapi nimesemema ukimwi haupo?Mbona nilishamrekebisha Dr mara nyingi tu kuhusu hili,hivi hata kama suala hili dogo sana nashindwa kueleweka vipi kuhusu yale makubwa?Hebu angalia hapo chini Kaunga anasemaje.

Mmeelewa sasa?

Nimekuelewa
 
CONSEQUENCES OF AIDS DENIALISM

In 2000, Duesberg was the most prominent AIDS denialist to sit on a 44-member Presidential Advisory Panel on HIV and AIDS convened by then-President Thabo Mbeki of South Africa.[37] The panel was scheduled to meet concurrently with the 2000 International AIDS Conference in Durban and to convey the impression that Mbeki's doubts about HIV/AIDS science were valid and actively discussed in the scientific community.[13] The views of the denialists on the panel, aired during the AIDS conference, received renewed attention.[38] Mbeki later suffered substantial political fallout for his support for AIDS denialism[39][40] and for opposing the treatment of pregnant HIV-positive South African women with antiretroviral medication.[41] Mbeki partly attenuated his ties with denialists in 2002, asking them to stop associating their names with his.[42]

In response to the inclusion of AIDS denialists on Mbeki's panel, the Durban Declaration was drafted and signed by over 5,000 scientists and physicians, describing the evidence that HIV causes AIDS as "clear-cut, exhaustive and unambiguous".[43]

Two independent studies have concluded that the public health policies of Thabo Mbeki's government, shaped in part by Duesberg's writings and advice, were responsible for over 330,000 excess AIDS deaths and many preventable infections, including those of infants.[12][13]

A 2008 Discover Magazine feature on Duesberg addresses Duesberg's role in anti-HIV drug-preventable deaths in South Africa. Jeanne Linzer interviews prominent HIV/AIDS expert Max Essex, who suggests that,

""...history will judge Duesberg as either "a nut who is just a tease to the scientific community" or an "enabler to mass murder" for the deaths of many AIDS patients in Africa.""

Unajitahid ku Google mkuu, ila ingekuwa poa ungekuwa unajitetea na wewe kwa hoja zako binafsi
 
Binafsi nimekuwa ni msomaji zaidi ya kuandika au kujibu,kuna wakati uzalendo umekuwa ukinishinda baada ya kuona watu either wanaamua kutokumuelewa Deception kwa makusudi au ni kwasababu uwezo wao wa kufikiri upo chini saaaana

Kuna wagonjwa wamekuwa na kansa na kwasababu hiyo wamekuwa na upungufu wa kinga mwilini,kuna mzee mmoja alikuwa na kansa na hili lilitokea na kwa maana nyepesi kabisa huyu mtu alipata ukimwi bila kuwa na HIV,leo hapa tunataka kuaminishwa kwa lazima kuwa ili uwe na ukimwi ni hadi uwe na HIV tena tunalazimishwa hivi na watu muhimu kabisa kwenye afya zetu,hii inasikitisha sana

Watu wanadhani kuwa watu wanaokubaliana na Deception wameamua tu kukubaliana nae tu hivi hivi kitu ambacho sio sahihi kabisa,jamaa ana pointi nyingi sana na anaeleza kwa upana unaostahili

Hebu fikiria tu alikuja hapa akaelezea ni kwa namna gani ARVs zinavyosababisha ukimwi halafu mtu anakuja na kusema "speculations",kweli?

Wakati mwingine inaboa sana,nilitarajia wangekuja hapa na maelezo ya kina na kuibua mjadala mkubwa na mzuri sana kwetu ambao hatujui haya mambo lakini naona kama kuna watu ambao hawajui kabisa wanachokifanya na kibaya zaidi wamesomea hii ni hatari sana.....

Naona kama vile huyu Deception kawazidi mbali sana .......

ARV zinasababisha ukimwi kutokana na side effects ndio sehem aloegamia?mechanism of action iko wapi?sijaiona mahali maana tumeenda kwenye pharmacology sasa.Kila dawa ina mechanism of action.Dawa za ukimwi hazisababishi ukimwi.HIV-virus wanasababisha ukimwi.Dawa za ukimwi zinafanya kazi kumthibiti virusi.
 
Last edited by a moderator:

Naona watu wameamua kuja na google humu, yani nacheka sana, mimi kama sikuamin wewe iweje niamin google yako ambayo at mmi naweza ku google na kupachika humu, tunatak uelewa binafsi ambao Deception peke yake ndio anao, wengine ni waathirika wa google hawana chochot kichwani
 
Last edited by a moderator:
Unajitahid ku Google mkuu, ila ingekuwa poa ungekuwa unajitetea na wewe kwa hoja zako binafsi

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
sasa nmeekuelewa ..megundua kumbe Was not about education... wax all about finding winners and losers in this issue... Good 4u
☝👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
 
CONSEQUENCES OF AIDS DENIALISM

In 2000, Duesberg was the most prominent AIDS denialist to sit on a 44-member Presidential Advisory Panel on HIV and AIDS convened by then-President Thabo Mbeki of South Africa.[37] The panel was scheduled to meet concurrently with the 2000 International AIDS Conference in Durban and to convey the impression that Mbeki's doubts about HIV/AIDS science were valid and actively discussed in the scientific community.[13] The views of the denialists on the panel, aired during the AIDS conference, received renewed attention.[38] Mbeki later suffered substantial political fallout for his support for AIDS denialism[39][40] and for opposing the treatment of pregnant HIV-positive South African women with antiretroviral medication.[41] Mbeki partly attenuated his ties with denialists in 2002, asking them to stop associating their names with his.[42]

In response to the inclusion of AIDS denialists on Mbeki's panel, the Durban Declaration was drafted and signed by over 5,000 scientists and physicians, describing the evidence that HIV causes AIDS as "clear-cut, exhaustive and unambiguous".[43]

Two independent studies have concluded that the public health policies of Thabo Mbeki's government, shaped in part by Duesberg's writings and advice, were responsible for over 330,000 excess AIDS deaths and many preventable infections, including those of infants.[12][13]

A 2008 Discover Magazine feature on Duesberg addresses Duesberg's role in anti-HIV drug-preventable deaths in South Africa. Jeanne Linzer interviews prominent HIV/AIDS expert Max Essex, who suggests that,

""...history will judge Duesberg as either "a nut who is just a tease to the scientific community" or an "enabler to mass murder" for the deaths of many AIDS patients in Africa.""

Dah inasikitisha Dr. Ona watu walivyopukutika ka ----- dah!!!
 
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
sasa nmeekuelewa ..megundua kumbe Was not about education... wax all about finding winners and losers in this issue... Good 4u
☝👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Unaona ehhh!!hapa watu wanachukua sides na ni mashindano daktari yoyote atakayekuja anavamiwa.
 
ARV zinasababisha ukimwi kutokana na side effects ndio sehem aloegamia?mechanism of action iko wapi?sijaiona mahali maana tumeenda kwenye pharmacology sasa.Kila dawa ina mechanism of action.Dawa za ukimwi hazisababishi ukimwi.HIV-virus wanasababisha ukimwi.Dawa za ukimwi zinafanya kazi kumthibiti virusi.
Dr unaendelea kuji contradict tu ...

Unasema ameegemea kwenye side effect kitu ambacho hujakikana halafu unakuja kusema tena ARVs hazisababishi ukimwi,are you ok?

Unataka ya mechanism of action ya kitu kipi? Kuua au? Deception ameshaonesha ni kwa namna gani hayo madawa yanauwa badala ya kutibu au kusaidia,kuna case ya Kaunga hapo kuwa kuna mtu aliishi miaka 12 bila hayo madawa na alipoyaanza tu akafa baada ya muda mfupi,bado unataka tukusikilize Dr?
Deception keshatuonesha ni kwa namna gani HIV hawasababishi ukimwi na ameweka video hapa za wataalam wa afya wengine wanakubaliana na hili,wewe mbona hufanyi haya?

Niseme tu kuwa mmenisikitisha sana nyie madaktari,tumeishi tukiwa na imani kuwa HIV wanasababisha ukimwi na hili lilikuwa linaweza kabisa kutufanya tuone Deception ni muongo na lingewarahisishia nyie kazi,lakini mmekuja hapa na jazba na maneno ya kupinga tu,hivi kweli kwa mtu anaereason atawakubalia kwasababu ipi hasa?
 
Last edited by a moderator:
ARV zinasababisha ukimwi kutokana na side effects ndio sehem aloegamia?mechanism of action iko wapi?sijaiona mahali maana tumeenda kwenye pharmacology sasa.Kila dawa ina mechanism of action.Dawa za ukimwi hazisababishi ukimwi.HIV-virus wanasababisha ukimwi.Dawa za ukimwi zinafanya kazi kumthibiti virusi.

Doctor hizo dawa sawa zinamdhibiti kirusi lakini ndio zinazopelekea INI,figo na mapafu kufeli

Kwanini tusitibu ugonjwa husika na kuhakikisha kinga ya mwili inapanda kuliko kumfubaza huyo kirusi???

Hivi dokta kama kinga ya mwili IPO imara inaamaanisha inauwezo wa kupamba na kirusi au magonjwa.

Me nadhani tupambane kutibu gonjwa husika na kupandisha kinga ya mwili kwa lishe bora,mazoez,kunywa maji safi na kukaa kwenye hewa safi

ARV sijui HIV tupa kuleeee

Ni mtazamo tuuuuu
 
Dah huyu Gorgeousmimi mwache ni maana hata sisi ambao hatujapita med school upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na mambo mengi sana hata bacteria wanaweza kuleta upungufu wa kinga mwilini! Kha
 
Naona watu wameamua kuja na google humu, yani nacheka sana, mimi kama sikuamin wewe iweje niamin google yako ambayo at mmi naweza ku google na kupachika humu, tunatak uelewa binafsi ambao Deception peke yake ndio anao, wengine ni waathirika wa google hawana chochot kichwani
Mkuu we acha tu .....

Yaani kuna siku watu watabishana huko mtaani halafu wanaweza kuja na kuchukua haya maelezo yangu eti ni ushahidi.........

Kaazi kweli kweli ......!!
 
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
sasa nmeekuelewa ..megundua kumbe Was not about education... wax all about finding winners and losers in this issue... Good 4u
☝👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Acha kutumia google kama ngao yako, ata mimi najua kutumia google, weka hoja binafsi zenye mashiko

Hayo mengine ni mawazo yako mgando
 
Sasa HIV ni fake AIDs ni nini then?Unajua maneno yenu yanawafunga kamba wenyewe!

dk huelewiiii.hata me sjawah soma biology tangu nizaliwe nmeelewa kua ukimwi na hiv ni vitu viwili tofauti!!!jaman ndio maana warumi aliwahi sema humu kuna madaktari wa mifugo.ndugu tuliza akili usome taratibu.hadi sada cjaona kitu ambacho akijasemwa humu.bt still unauliza yaleyale.me adi naskia aibu jamani uwiiii
 
Oooooh!! ....
juz leave em as they r,
but I hop huu Uzi hautawafanya waanze kujiachia ovyo.. Bcz wakiukamata itakua a veeeery sad story
Hata kabla ya huu uzi watu wameshaanza kuustukia huu ugonjwa feki...

Unakuja kututisha hapa unadhani hofu inasaidia nini?

Watu tumeshapoteza wapendwa wetu na tunahitaji maelezo yenu halafu mnaleta masikhara?

Hao wapendwa inawezekana kabisa wamefariki kwa ujinga wa aina hii hii wa nyie madaktari maana mngekuwa mnawaza nje ya box huenda hata wasingekufa....

Mnakera sana nyie .....!!
 
Dah huyu Gorgeousmimi mwache ni maana hata sisi ambao hatujapita med school upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na mambo mengi sana hata bacteria wanaweza kuleta upungufu wa kinga mwilini! Kha
Wewe ndio huelewi kitu kabisa rafiki,Wapo nimesema bacteria hasababishi mapungufu ya kinga ya mwili??
 
.. Dr. Peter Duesberg huyo.. A mass murderer of innocent South Africans...

Kufata upepo uko kulimponza Thabo mbeki

Naamini kama umesoma vizuri anavyozungumza deception ni kuwa kuacha ARV kuna procedure zake km mvuta unga anapoachishwa na hivo basi watu wa south Africa ambao walikuwa wameathirika walijaribu kuacha dawa bila kuwa na ushauri wowote juu ya kujitoa kwenye hizo medication na ndo maana walikufa wengi ila as Kaunga alivozungumza open debate ingekuwa suluhu kwa nn hawataki hao washirika wa hii biashara
 
Back
Top Bottom