Binafsi nimekuwa ni msomaji zaidi ya kuandika au kujibu,kuna wakati uzalendo umekuwa ukinishinda baada ya kuona watu either wanaamua kutokumuelewa
Deception kwa makusudi au ni kwasababu uwezo wao wa kufikiri upo chini saaaana
Kuna wagonjwa wamekuwa na kansa na kwasababu hiyo wamekuwa na upungufu wa kinga mwilini,kuna mzee mmoja alikuwa na kansa na hili lilitokea na kwa maana nyepesi kabisa huyu mtu alipata ukimwi bila kuwa na HIV,leo hapa tunataka kuaminishwa kwa lazima kuwa ili uwe na ukimwi ni hadi uwe na HIV tena tunalazimishwa hivi na watu muhimu kabisa kwenye afya zetu,hii inasikitisha sana
Watu wanadhani kuwa watu wanaokubaliana na
Deception wameamua tu kukubaliana nae tu hivi hivi kitu ambacho sio sahihi kabisa,jamaa ana pointi nyingi sana na anaeleza kwa upana unaostahili
Hebu fikiria tu alikuja hapa akaelezea ni kwa namna gani ARVs zinavyosababisha ukimwi halafu mtu anakuja na kusema "speculations",kweli?
Wakati mwingine inaboa sana,nilitarajia wangekuja hapa na maelezo ya kina na kuibua mjadala mkubwa na mzuri sana kwetu ambao hatujui haya mambo lakini naona kama kuna watu ambao hawajui kabisa wanachokifanya na kibaya zaidi wamesomea hii ni hatari sana.....
Naona kama vile huyu
Deception kawazidi mbali sana .......