Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

Ulikuwa hujui kama ana umeme au? au ulikuwa unajua ukasukumwa na power of nyege?

Ukipanda upepo utavuna tufani.. Mshahara wa kuzini mwezi mtukufu..
Amn shida kaka ila naamin cjapata, ntapima nina vipimo vitat baada ya kumaliz dawa na mwez wa 6 napima tena
 
Aliniambia hua anapim na mar ya mwish ilikua not ditected ko akasem wadudu wachache
Ebu anza PEP kama haujafikisha masaa73 anakupga virusi huyo!!
mkuu hata kama not detected possibility ya kukuambukiza inaweza kuepo ingawa inapungua
 
Ebu anza PEP kama haujafikisha masaa73 anakupga virusi huyo!!
mkuu hata kama not detected possibility ya kukuambukiza inaweza kuepo ingawa inapungua
Nlianz ndan ya masaa 13 tu dawa mapem
 
Back
Top Bottom