Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.

Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Huyu aliyedit title kawezaje itoa Liverpool kisha kuicha Man city au ndio ushabiki maandazi ?
 
Inategemea na timu anayosafiri nayo
 
Unalinganisha Uingereza na Tanzania ? Hapo ni mbingu na ardhi .We linganisha Tz na Chad au TZ na Uganda.
 
Huyu aliyedit title kawezaje itoa Liverpool kisha kuicha Man city au ndio ushabiki maandazi ?
Nje ya mada kidogo, ila samahani. Ni utaratibu kwa moderator kuedit title bila ridhaa ya mwenye uzi?

Namaanisha ni kawaida hilo kufanyika hapa Jamii Forum?
 
Je inawezekanaje Mbowe kusafiri na Joyce Mukya huku kamuacha mkewe nyumbani? Je inawezekana Pale Uingereza au USA kuwa na Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Cheif yaani toka akirithi chama cha Mkwewe hadi sasa anacho? Poa inawezekanaje pale USA, Ruzuku ya Chama kuliwa na Mwenyekiti na hawara yake Joyce Mukya? Je ni halali pale CANADA, Mwenyekiti wa chama cha Upinzani kuwalala wanawake ndio awape ubunge viti maalumu😁😄😃😀😅😆? Je ulishasikia Mbunge wa USA, Kaanguka na kutegua mguu kwa kunywa Konyagi na kuisingizia serikali kumvunja mguu?😆😩😁☺️😉😏😍
 
Mnasafiri na waziri na bado mnaenda kunyooshwa.
 
Inaonekana mijitu mingi hapa JF haifatilii michezo wala siasa...
Juzi Vinicius junior kapigwa Red card ...Rais wa nchi yake kamuita Balozi wa Spain ..kutaka maelezo kuhusu ubaguzi...Hadi kadi ikafutwa...

Nyinyi mnashangaa waziri???

never, haiwezekani rais wa nchi kuingilia maamuzi ya kimichezo kwa nchi zinazojitambua. Hapa umepotosha.
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.

Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Kwani huo alioufata waziri wetu Algeria siyo mchezo?

Wewe haupo dunia hii, waziri wa michezo wa Uingereza alikwenda Qatar kushabikia na kujaribu kuueneza ushoga, wakampiga pini, hawakumpiga picha official, waliompiga picha na kuzisambaza ni mashoga wenzake tu.

Tafadhali usimfananishe waziri wetu na like shoga la Kingereza
 
Unataka niifananishe na timu gani na kitayose fc? Hii kwenye nchi yetu ndio imebeba image
Image iliyobebwa na city ni sawa na Yanga, una ubongo kweli we jamaa??

Timu za England zimechukua UEFA mara ngapi, UEROPA mara ngapi, ubingwa wa dunia mara ngapi??

Haya hizo timu za bongo zimefanya nini kimataifa??
Unafananisha yanga na man u????
 
Hapa kwetu waziri ni koti la kisiasa tu. Hawana kazi yoyote yenye mashiko zaidi ya kuleta porojo za kisiasa tu.

Ukimsikiliza Pindi Chana anavyobwata wnaonekana kabisa hana anachojua kuhusu soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom