MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nyinyi mnajiweka flight modeHakuna kitu kama hicho Kila mtu anazaliwa akiwa mwanamsimbazi ndo maana ukijichana ni pure red means ni Simba fan mnajizima data.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mnajiweka flight modeHakuna kitu kama hicho Kila mtu anazaliwa akiwa mwanamsimbazi ndo maana ukijichana ni pure red means ni Simba fan mnajizima data.
kwahyo timu ya Taifa ya Ufaransa unaweza kuifananisha na PSG.Wapumbavu wanaongezeka JF.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama anaupiga mwingi[emoji848]mitano tena kwa mama akeeee
Uachage uduanzi rais wa croatia alienda kwenye fainali timu ikicheza na france
Ni ngumu labda chama kingine kichukue Dola maana huu mfumo aliuasisi Nyerere unawabeba watawalaHawana majukumu mazito na nchi bado masikini😆
Meaning ni tatizo la watanzania wote tunashindwa kusimamia majukumu ya viongozi kwakushindwa kuwawajibisha pale wanapopenda na matakwa ya wananchi.
Poor my country😫
Sawa MtaniHuo wote ni utoto unaodumaza maendeleo ya michezo yakiwemo hayo mawazo yako
Kabla ya kufikiri timu ansyosafiri nayo nataka kupata lengo lake ni nini hasaInategemea na timu anayosafiri nayo
Kwa hiyo hizo picha hao ndo wapumbavuWapumbavu wanaongezeka JF.
Kwa nn mnajengea hoja kwenye world cup? Mimi sizungumzii Mashindano yoyote ya timu ya taifa ndio maana umesikia serikali imeandikia caf kuomba uenyeji wa kombe la Africa mimi nazungumzia waziri kuzurura na clubUachage uduanzi rais wa croatia alienda kwenye fainali timu ikicheza na france
Unashangaa waziri. Mbona kombe la dunia marais wamekuwa wakifika uwanjani? Acha GubuImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Mbona hawakumsindikiza Mandonga kule Kenya?Si ndio michezo hiyo!!?
Kwani Boris jonhson alienda madrid kucheki gem ya liver na madrid ni ushamba!!?
Si unaongeza hamasa KWA wachezaji!!?
Kombe la dunia zinacheza Timu za Taifa!!! We vipi?U
Unashangaa waziri. Mbona kombe la dunia marais wamekuwa wakifika uwanjani? Acha Gubu
Timu ya Tanzania inacheza mechi ya pili ya fainali ya kombe la shirikisho, yeye akiwa waziri. Kumbuka kilichompeleka huko ni michezo na hiyo mechi ni sehemu ya kazi yake.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Ficha ujinga wako mkuu Makojo, sio lazima uchangie mada ambayo huna uelewa nayo.Kombe la dunia zinacheza Timu za Taifa!!! We vipi?
Punguza nongwa na gubu la kike mkuu. Mfumo unaoongoza Uingereza huwezi kuulinganisha na huu unaongoza Tanzania.Mtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..
Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?