Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Huyu aliyedit title kawezaje itoa Liverpool kisha kuicha Man city au ndio ushabiki maandazi ?Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Inategemea na timu anayosafiri nayoImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Hahaaaaaaa, kwahiyo mods ni mashabiki maandazi?Huyu aliyedit title kawezaje itoa Liverpool kisha kuicha Man city au ndio ushabiki maandazi ?
Nje ya mada kidogo, ila samahani. Ni utaratibu kwa moderator kuedit title bila ridhaa ya mwenye uzi?Huyu aliyedit title kawezaje itoa Liverpool kisha kuicha Man city au ndio ushabiki maandazi ?
πππ Nimeuliza swali tu ,uzi jana ulikuwa na Liverpool leo kaziacha timu za Manchester tu .Hahaaaaaaa, kwahiyo mods ni mashabiki maandazi?
Ulitaka uende wewe ama?Eti Waziri ameenda kuwapa ujumbe wa Rais, upuuzi
Anayeedit anazingatia vigezo vipi anapofanya hivyo?πππ Nimeuliza swali tu ,uzi jana ulikuwa na Liverpool leo kaziacha timu za Manchester tu .
Ni utaaribu uliopo kwa nia nzuri ingawa kuna muda unatumika vibaya .Nje ya mada kidogo, ila samahani. Ni utaratibu kwa moderator kuedit title bila ridhaa ya mwenye uzi?
Namaanisha ni kawaida hilo kufanyika hapa Jamii Forum?
Wana edit typing errors lakini na title iendane na maudhui ya habariAnayeedit anazingatia vigezo vipi anapofanya hivyo?
Inaonekana mijitu mingi hapa JF haifatilii michezo wala siasa...
Juzi Vinicius junior kapigwa Red card ...Rais wa nchi yake kamuita Balozi wa Spain ..kutaka maelezo kuhusu ubaguzi...Hadi kadi ikafutwa...
Nyinyi mnashangaa waziri???
Kwani huo alioufata waziri wetu Algeria siyo mchezo?Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Image iliyobebwa na city ni sawa na Yanga, una ubongo kweli we jamaa??Unataka niifananishe na timu gani na kitayose fc? Hii kwenye nchi yetu ndio imebeba image
πππNi utaaribu uliopo kwa nia nzuri ingawa kuna muda unatumika vibaya .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa kwetu waziri ni koti la kisiasa tu. Hawana kazi yoyote yenye mashiko zaidi ya kuleta porojo za kisiasa tu.
Ukimsikiliza Pindi Chana anavyobwata wnaonekana kabisa hana anachojua kuhusu soka.
πππWana edit typing errors lakini na title iendane na maudhui ya habari