Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Wapumbavu wanaongezeka JF.
 

Attachments

  • 3592581-738759166.jpg
    27.6 KB · Views: 1
Kinachonisikitishaga tu ni kuwa wanasiasa wakiingiliaga tu mechi za timu iwe ya Taifa au klabu kwa ahadi zao za kisiasa.

Basi kipigo huwa cha kufikia tu ila wakikaa kimya mambo huwa yanaenda vizuri tu au wakiwa na mbwembwe chache.

Funzo ni kuwa MUNGU huwa hapendi.
 
Uachage uduanzi rais wa croatia alienda kwenye fainali timu ikicheza na france
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama anaupiga mwingi[emoji848]mitano tena kwa mama akeeee

Masikini Watanzania! Kama vile mbuzi, Waziri naye anakula kwa urefu wa kamba yake. Tatizo ni kwamba kamba imekatika huku tozo ikizidi kupaa!
 
Hawana majukumu mazito na nchi bado masikini😆
Meaning ni tatizo la watanzania wote tunashindwa kusimamia majukumu ya viongozi kwakushindwa kuwawajibisha pale wanapopenda na matakwa ya wananchi.
Poor my country😫
Ni ngumu labda chama kingine kichukue Dola maana huu mfumo aliuasisi Nyerere unawabeba watawala
 
Uachage uduanzi rais wa croatia alienda kwenye fainali timu ikicheza na france
Kwa nn mnajengea hoja kwenye world cup? Mimi sizungumzii Mashindano yoyote ya timu ya taifa ndio maana umesikia serikali imeandikia caf kuomba uenyeji wa kombe la Africa mimi nazungumzia waziri kuzurura na club
 
U
Unashangaa waziri. Mbona kombe la dunia marais wamekuwa wakifika uwanjani? Acha Gubu
 
Timu ya Tanzania inacheza mechi ya pili ya fainali ya kombe la shirikisho, yeye akiwa waziri. Kumbuka kilichompeleka huko ni michezo na hiyo mechi ni sehemu ya kazi yake.

Umeandika kimajungu na kiwivu kuliko angalau kujenga hoja yenye kueleweka.
 
Mtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..

Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?
Punguza nongwa na gubu la kike mkuu. Mfumo unaoongoza Uingereza huwezi kuulinganisha na huu unaongoza Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…