Tena ana PhdImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Una haki upi kwamba waziri haimarishi sera na kuzisimamia?. Asingeandamana na timu bado mngeongea mkisema waziri anafanya kazi gani wakati team inakwenda mpaka Algeria bila ya kuwa na kiongozi wa msafara mwenye cheo serikalini.Kwa mawazo kama haya nadhani alhaj mwinyi hakukosea kwamba Tanzania kwenye soka ni kichwa cha mwendawazimu waziri hawezi kuimarisha michezo kwa kuzurura na team kwa kisingizio kwamba anawaongezea hamasa waziri anatakiwa apambane kukarabati sera ili zilete tija. Sio kurukia rukia tu kwenye mafanikio ya watu
Ni inchi gani imeshatoa pesa kama hamasa kwa timu binasfi ?Hamasa ya ushindi kaka, tatizo usimba unakusumbua sana ukichanganywa na wivu.
Ni wapi duniani ushasikia hayo?Una haki upi kwamba waziri haimarishi sera na kuzisimamia?. Asingeandamana na timu bado mngeongea mkisema waziri anafanya kazi gani wakati team inakwenda mpaka Algeria bila ya kuwa na kiongozi wa msafara mwenye cheo serikalini.
Nongwa ni tatizo letu.
Rais ni mwanasiasa ukumbuke hilo, anapoweka ukaribu na vilabu kama Yanga anakuwa akiweka ukaribu na mamilioni ya wapiga kura, haya matendo ni akiba za kisiasa.Ni inchi gani imeshatoa pesa kama hamasa kwa timu binasfi ?
Tupunguze mihemko.
Tunaona kote duniani serikali zinatoa zawadi au ahadi kwa timu za taifa,
Na sio timu binafsii...
Nauliza tu kwamba wakati timu moja ndogo hapa inchini ilishindwa kushiriki Mashindano ya CAF mwaka juzi sababu ya kukosa nauli ya kwenda nje ya inchi,
Serikali ilikuwa wp?
Ni watanzania kama mimi na wewe, ni wapiga kura wanaokwenda kuifagilia CCM mwaka 2025.Ni wapi duniani ushasikia hayo?
Ndege nzima imejaa watu wa comedy na watu wasioeleweka,
Wanasaidia nn kwa mfano.
Alaa!!Ni watanzania kama mimi na wewe, ni wapiga kura wanaokwenda kuifagilia CCM mwaka 2025.
Kumbe Kuna siasa?Rais ni mwanasiasa ukumbuke hilo, anapoweka ukaribu na vilabu kama Yanga anakuwa akiweka ukaribu na mamilioni ya wapiga kura, haya matendo ni akiba za kisiasa.
Yanga ni team ya Tanzania inaposhinda kimataifa huwa ni heshima kwetu sote.Kumbe Kuna siasa?
Waziri ni jinsia gani !!Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Unadhani caf wangemfukuza ila wanashangaa huyu kafuata nini hapaUMEMYONA MAMA WAKATI WA KuTOA ZAWADI.
PUNGUZA KASIRIKO HATA CAF WALITAMBUA UWEPO Wake
Usitoe mfano wa timu za taifa kwa sababu timu za taifa huwakilisha taifa lakini hizi club ni biashara binafsi. Wewe unajua tuna timu nyingi tu hushiriki Mashindano ya kimataifa mbona hatjawahi ona waziri kaendaHakuna kosa. Rais Macron alikuwepo wakati Ufaransa anacheza fainali kombe la Dunia.
Hakuwa na sababu yoyote ya kupiga hela za walipa kodi kwenda safari ambayo hata asingeenda bado yanga ingecheza vizuri tu naona tu wako pale kujijenga kisiasa.Una haki upi kwamba waziri haimarishi sera na kuzisimamia?. Asingeandamana na timu bado mngeongea mkisema waziri anafanya kazi gani wakati team inakwenda mpaka Algeria bila ya kuwa na kiongozi wa msafara mwenye cheo serikalini.
Nongwa ni tatizo letu.
Simba inaingiaje hapa ndugu au na yenyewe ilienda Algeria?Damu ya Simba 🙄
Kabisa Hawa wasahaulifu sana Tanzania tuna michezo mingi na timu nyingi zikienda kuomba support serikalini utasikia serikali inasema sisi kazi yetu ni kutunga na kusimamia sera sasa hili la yanga mbona nguvu nyingi sana waache kiki za kijingaMbona hawakumsindikiza Mandonga kule Kenya?
Au mpango ndo umeanza?