ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Eti Waziri ameenda kuwapa ujumbe wa Rais, upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man city kaingia fainali sikuwahi sikia mechi zao zimevunjwa kisa fainali au serikali nayo kuanzia waziri wametia mpunga Afrika kuna ujinga sana.Huo ujinga haupo , bongo ni kupenda sifa tuu wala hamna la maana....
Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution badoMtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..
Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?
Hakuna Jambo kama hilo,,Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution bado
Hii hutokea Afrika tuImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Siasa tu hizi...Eti Waziri ameenda kuwapa ujumbe wa Rais, upuuzi
Mtamkumbuka Magufuli kwa msimamo wake wa kutopenda kuzurura nchi za nje.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Unaijua per Diem ya Viongozi waandamizi wakiwa nje ya nchi?Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Wewe mwenyewe unaweza kuwa ni tatizo vileleImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria...