Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Mimi ni shabiki wa Simba ila Sioni Ubaya kwenye Hilo maan usifananishe Liverpool,madrid au hata Newcastle na Timu zetu hizi za Kibongo,

Wanachofanya Serikali ni Kuzipush hizi Timu zetu ili zifikie anagalau ukubwa kama wakina Al ahly au Wydad,

Kinachoendelea saivi ni Hamasa tu maan kw muda mref vilabu vyetu vilipoteana na sas vimeanz kufanya vizuri kwahyo vikishakuw vikubw na kuanz kuperform Vizuri back to back hakutokuw na jipya tena kwahyo hat hii mihemko inayokukera hautoiona mkuu we vumilia kidog tu.

Kinachotokea saiv ni sawa na Wazaz wanapotarajia mtot wao wa kwanz huw wanakuw na shauku na Manjonjo meng sana ila Kadr wanavyoendelea kupata watt bas na Mbwebwe znapungua.
 
Mtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..

Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?
Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution bado
 
Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution bado
Hakuna Jambo kama hilo,,
zamani Sana lini?

Inamaana Sisi badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma sio?
 
Ukizoea kusaidiwa ndivyo unavyokuwa...akili inadumaa...hiyo ni kwa viongoz wote..
 
Kwani ni lazima kujilinganisha na wao, kila mahala na ustarabu wake, tukubali uungwana wetu.
 
Siyo kila kotu mnaiga waUbgu mzee.

Mbona kuliwa Tigo hamuigi?

Serikali imeamua kuongeza hamasa kwa timu imetuma waziri.

Ubaya uko wapi?

Aliyekwambia waziri anatekeleza sera nani?
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Hii hutokea Afrika tu
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Mtamkumbuka Magufuli kwa msimamo wake wa kutopenda kuzurura nchi za nje.
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Unaijua per Diem ya Viongozi waandamizi wakiwa nje ya nchi?
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria...
Wewe mwenyewe unaweza kuwa ni tatizo vilele

Mara ngapi kazurula zurula na timu.

Mara ngapi timu za tz zimefika hatuna za namna hii.

Wanaenda maraisi wanchi kushangilia Mpira, katako waziri tena mwenye sekta yake unakuja kupigapiga kelele kwani kaenda kuangalia mambo nishatii au ya kimichezo
 
Wazir aende apate exposure kunashida Gai wakati ndege imelipiwa
 
Back
Top Bottom