Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

Achana na huyo killazza, hawa ndio wako tayari kunyewa mdomoni na waarabu bora wapate chochote
Wewe upo tayari kunyewa na nani? Coz hapo umeweka option ya waarabu,which means kwa race zingine upo tayari.
 
Enjoy life maisha ni mafupi sana mambo na mattzo ya nchi yapo na yataendelea kuepo
 
Chukueni hatua sasa,badala ya kulia lia nyuma ya keyboard mkuu haisaidii.
Inasaidia sana, hizi kelele zinafika, huoni waziri mkuu alijitokeza?

Huoni Shabiby bungeni alisema serikali isipuuze kelele za wananchi?

Mtandaoni sasa ni mhimili rasmi wa kuandamana na kutoa hoja zetu
 
Inasaidia sana, hizi kelele zinafika, huoni waziri mkuu alijitokeza?

Huoni Shabiby bungeni alisema serikali isipuuze kelele za wananchi?

Mtandaoni sasa ni mhimili rasmi wa kuandamana na kutoa hoja zetu
Impact yake ni ndogo mnoo,
 
Daah hujui usemalo, kwasasa mtandao unaweza kukuweka madarakani au hata kukuangusha madarakani.

Unajua Trump anarudi white house?
Siyo kwa Tz tunayo ijua mzee,rejea uchafuzi wa mwaka 2020.
 
Uzi Uzi ufungwe
Tayari Kila kitu
 
Enjoy life maisha ni mafupi sana mambo na mattzo ya nchi yapo na yataendelea kuepo
Yamekuwepo kweli, ila kuigawa bure kabisa nchi nzima na kila kilichomo ndani yake? Tena bila kikomo? Hata Yesu akirudi? Hii hapana kwa kweli
 
Kuliko kuwauzia waarabu bandari baada ya kukiri kushindwa KAZI,

Ni Afadhali wangekabidhi Nchi Kwa CDM idhibiti wezi na kuziba mianya ya wizi na kuongeza mapato ya nchi.

Hii Nchi Si Mali ya CCCm pekee 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…