Kweli Mkuu muda ni mwamuzi mwache ashupae shingo kama Farao.Mama asipokuwa makini atashangaa mwenyewe mambo yatakavyokuwa, hataamini macho yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu muda ni mwamuzi mwache ashupae shingo kama Farao.Mama asipokuwa makini atashangaa mwenyewe mambo yatakavyokuwa, hataamini macho yake.
Wewe upo tayari kunyewa na nani? Coz hapo umeweka option ya waarabu,which means kwa race zingine upo tayari.Achana na huyo killazza, hawa ndio wako tayari kunyewa mdomoni na waarabu bora wapate chochote
Halafu waandamanaji walikua 7 tu.Ulikaa chini ukatuhesabu watanzania wote kuwa tunapiga serikali?
Milioni 60 umeipata hapa JF Kwa wachangiaji wasiozidi 500?...
Hebu mpelekee shetani tako na usirudi kuni quote tenaWewe upo tayari kunyewa na nani? Coz hapo umeweka option ya waarabu,which means kwa race zingine upo tayari.
Wewe huyo shetani umeshampelekea tako? Umejuaje kua anapenda tako kama sio mchezo wako huo?Hebu mpelekee shetani tako na usirudi kuni quote tena
Wengi ni empty pumpkins umeja na chuki za udini na ubaguzi wa rangi........ukimuuliza atutajie angalau mkataba hata moja uko nyuma ulio jadiliwa hadharani atakenuwa meno tu.Halafu waandamanaji walikua 7 tu.
Chukueni hatua sasa,badala ya kulia lia nyuma ya keyboard mkuu haisaidii.Achana na huyo killazza, hawa ndio wako tayari kunyewa mdomoni na waarabu bora wapate chochote
Ila nyuma ya keyboard wamejazana,Halafu waandamanaji walikua 7 tu.
Inasaidia sana, hizi kelele zinafika, huoni waziri mkuu alijitokeza?Chukueni hatua sasa,badala ya kulia lia nyuma ya keyboard mkuu haisaidii.
Impact yake ni ndogo mnoo,Inasaidia sana, hizi kelele zinafika, huoni waziri mkuu alijitokeza?
Huoni Shabiby bungeni alisema serikali isipuuze kelele za wananchi?
Mtandaoni sasa ni mhimili rasmi wa kuandamana na kutoa hoja zetu
Daah hujui usemalo, kwasasa mtandao unaweza kukuweka madarakani au hata kukuangusha madarakani.Impact yake ni ndogo mnoo,
Siyo kwa Tz tunayo ijua mzee,rejea uchafuzi wa mwaka 2020.Daah hujui usemalo, kwasasa mtandao unaweza kukuweka madarakani au hata kukuangusha madarakani.
Unajua Trump anarudi white house?
Uzi ufungweUkitaka kuwatawala watu,Cha kwanza,
Wafukarishe,wakamue kwa Kodi,mpaka washike adabu,pili wanyime elimu,wasijue mbivu na mbichi,tatu wanyime huduma Bora za afya.
Huna pesa,huna elimu,afya mgogoro,njaa Kali,huwezi kupata nguvu ya kuingia balabalani kuandamana,
Ila siku Hawa wanaogsndsmizwa wakilipuka,Huwa hapakaliki,historia imeonyesha hivyo,wafaransa,waliwahi kumchomoa mfalme wao wakamnyonga,
Kwenye nchi za kiarab,tuliona kilichowapata watawala wa kidikiteta,
Watawala wetu,Raisi na balaza lake,wabunge,vyombo vya usalama viongozi wa juu,wote lao Moja,ni kijitajilisha TU,civil society na vyombo vya habari na vyenyewe,vinatishwa visiwaambie raia ukweli,
Njia pekee ya kutoka kwenye hii minyororo,ni watu kama lisu na vijana walioandamana juzi kupanda mbegu ya ujasili,siku tukilipuka,Samia atakimbia bila chupi,kikwete atakimbia makalio yapo nje
Nakuheshimu sana, niishie hapo,Ulikaa chini ukatuhesabu watanzania wote kuwa tunapiga serikali?
Milioni 60 umeipata hapa JF Kwa wachangiaji wasiozidi 500?...
Yamekuwepo kweli, ila kuigawa bure kabisa nchi nzima na kila kilichomo ndani yake? Tena bila kikomo? Hata Yesu akirudi? Hii hapana kwa kweliEnjoy life maisha ni mafupi sana mambo na mattzo ya nchi yapo na yataendelea kuepo
Kuliko kuwauzia waarabu bandari baada ya kukiri kushindwa KAZI,Baadhi ya Mambo yanayosababisha upinzani wa bandari, ni Ulaji uliokithiri bandari, soma taarifa hii uone vigogo walivokuwa wanapiga MAHELA.
Na Waandishi Wetu
IMEVUJA!
Hakuna shaka kwamba, utajiri wa wale vigogo watumishi wa umma waliokuwa wakifanya kazi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unatisha kufuatia gazeti hili kufukunyua mali za baadhi yao, twende hatua kwa hatua.
Ijumaa iliyopita, Waziri Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa, alifanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kubaini ukwepaji kodi mkubwa ulioikosesha serikali kiasi cha shilingi bilioni 80.
Katika kikao na viongozi wa TPA sanjari na viongozi wa TRA, akiwemo aliyekuwa Kamishina Mkuu, Rished Bade, Waziri Majaliwa aliamuru papo hapo, kusimamishwa kazi kwa baadhi ya vigogo wa bandari.
Mfano wa Toyota VX V8 inayomilikiwa na vigogo hao.
PANGA LILITUA KWA HAWA
Vigogo waliosimamishwa ni pamoja na Bade, Kamishina wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa, Tiagi Masamaki na Habibu Mponezya wa Kituo cha Huduma kwa Wateja kisha waziri mkuu akamwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu kuhakikisha wote wanakamatwa.
Wengine waliosimamishwa ni Eliachi Mrema (Msimamizi Mkuu wa Bandari Kavu Dar es Salaam), Haruni Mpande (Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) na Hamis Omar, Nsajigwa Mwandegele, Robert Nyoni na Anengisye Mtafya.
AGIZO ZITO
Kabla hajamaliza kikao, Waziri Majaliwa aliagiza kuwa, licha ya watu hao kukamatwa, hati zao za kusafiria kushikiliwa, pia mali zao zichunguzwe ili kubaini kama zinaweza kumilikiwa na mtumishi wa umma kwa kutumia mshahara wake!
RISASI MCHANGANYIKO LAFUKUA
Kufuatia agizo hilo la Waziri Mkuu katika kipindi hiki cha ‘hapa kazi tu’, gazeti hili liliingia mtaani kwa kufanya uchuguzi wa kina ili kubaini utajiri wa vigogo hao na wengine ambao hawajakumbwa na sakata hilo.
Juzi Jumatatu, Risasi Mchanganyiko lilifika Masaki, Mbezi na Tegeta Madale kwenye makazi ya baadhi ya watumishi hao ili kuona mazingira yao.
Ndani ya nyumba ya mtumishi mmoja, Risasi liliona magari matatu ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser ‘VX’, Mercedes Benz na Range Rover achilia mbali Toyota Noah ambayo majirani walisema huwa inakwenda sokoni kufanyia ‘shopping’.
Kwenye nyumba nyingine, ukuta ulikuwa mrefu kiasi cha wapigapicha wetu kushindwa kuona ndani mpaka wakapiga kengere. Lakini majirani walisema si rahisi kufunguliwa kwa siku mbili hizi kwani kumekuwa na ‘ingia toka’ ya watu wa usalama wa taifa.
“Kama hamna namba za simu za mtu yeyote aliye ndani sijui kama mtafunguliwa. Siku mbili hizi, watu wa usalama wa taifa wanaingia na kutoka,” alisema jirani mmoja.
Jirani huyo alisema jumba hilo mmiliki ni mkaaji mwenyewe ambaye ni mtumishi wa TRA na ana nyumba nyingine maeneo ya Mwenge licha ya kumiliki maduka ya nguo Kariakoo, Dar.
Baada ya hapo, gazeti hili lilifunga safari hadi Pugu ambako kuna makazi mengine ya mmoja wa vigogo hao lakini nyumba ilionekana kuwa kimya na kutokuwepo kwa gari hata moja kwenye eneo la maegesho.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Mjumbe wa Nyumba Kumi Mtaa wa Pugu Bombani, Abdallah Shaban alisema huwa kunakuwa na magari mengi kwenye nyumba hiyo, lakini kwa siku mbili zilizopita (Jumamosi na Jumapili) hajayaona.
“Hapa ‘panakuwaga’ na magari mengi sana. Unaweza kusema ni yadi ya kuuza magari, lakini siku mbili hizi sijayaona,” alisema mjumbe huyo.
land-rover-sport-hse-10
MAGARI HAYANA KAZI
Mjumbe huyo alikwenda mbele zaidi kwa kusema kuwa, kutokana na magari kuwa mengi pasipo watumiaji, mara nyingi asubuhi mmiliki huyo humwagiza mtu mmoja kuyawasha na kuunguruma kwa muda kisha kuyazima kwa lengo la kuyapasha moto.
NYUMBA KAMA KIJIJI
Mjumbe huyo alilionesha Risasi Mchanganyiko eneo kubwa la mtumishi huyo ambapo amejenga nyumba za familia zisizopungua 20 sehemu moja (kama kijiji) na moja tu ndiyo imepangishwa.
UCHUNGUZI WA JUMLA
Uchunguzi wa jumla uliofanywa na Risasi Mchanganyiko ulibaini kuwa, watumishi wengi wa TRA na TPA wanamiliki nyumba na magari licha ya kulipwa mshahara wa ngazi ya serikali ambao wasingeweza hata kununulia gari moja la kifahari kama ilivyo sasa.
#Globalpublishers
#bandariibinafsishwe
#kataawalajiwamalizauma
Unatokwa na mishipa ya shingo kutetea Bandari kumbe unatetea muendelezo wa kujiliavigogo.
#amkamtanzania