Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Dogo acha ujinga ni project ipi wanayo wakina mazinge zaidi ya ile ya tunataka mashababi 50 watakaomtolea Allah 100000
 
Kwanza nakuonea huruma Kwa sababu Wazungu wamekupoteza

Alafu nakujibu kama ifustavyo

1) YESU WA KWELI AMBAYE NI NABII

Mika 5:2
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Hapo Nabii Mika anatabiri ujio wa Yesu ambaye ni nabii wa Mungu

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Hapo Yesu anathibitisha kuwa utabiri wa nabii Mika umetimia

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu anasema yeye ametumwa na Mungu mmoja tu na mtu yoyote asiye amini hivyo ataenda Jahanamu

Nabii wa mwisho mtume Muhammad anagongelea msumali kuwa Yesu ni nabii wa Mungu na aliwambia hivyo Wana wa Israel

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

Hayo ni Maneno ya manabii 3 wa Mungu Maneno Yao wote yanayofanana kuwa Yesu ni nabii wa Mungu Kwa ajili ya Wana wa Israel i


2) YESU GALASA LILILOTENGENEZWA NA WAZUNGU WAKALETEWA WAKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Na huyu Yesu GALASA ana majina mengi inategemea Kila mtu ameupokea vipi huo uongo

Mchungaji Rusekelo Yesu sio Mungu
Mchungaji Peter Yesu Mungu
Mchungaji John Yesu Mungu katika Mungu 3
Mchungaji Ndacha Mungu sio 3
Mchungaji Paulo Yesu mtoto wa Mungu

Lakini tambua kuwa Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
 

Hamna kiitu hapo. Allah ni "miungu mingine" tuliyoambiwa tusiiabadu. KUT 20
 

Attachments

  • IMG-20250226-WA0002.jpg
    75 KB · Views: 2
  • IMG-20250226-WA0004.jpg
    56.9 KB · Views: 2
  • IMG-20250226-WA0006.jpg
    57.7 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0008.jpg
    50.3 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0012.jpg
    57.1 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0014.jpg
    53.2 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0018.jpg
    51.1 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0004.jpg
    56.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0022.jpg
    51.8 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0020.jpg
    59.6 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0025.jpg
    56.1 KB · Views: 1
  • IMG-20250226-WA0027.jpg
    56.7 KB · Views: 3
Hakuna ushahidi wa kimaandiko kwamba Mt Muhammad alitabiriwa, uislam ni tawi la wakatoliki mashariki ya kati ili kuwawini waarabu.
 
TOFAUTI YA ALLAH SUBHANA NA JEHOVAH MUNGU WA ISRAEL

TUANGALIE KWENYE NDOA...

KUMBUKUMBU LA TORATI 24:1-4
""Mtu akiisha kutwaa mke Kwa kumwoa ,,asipopata kibali machoni mwake, Kwa kuwa ameona neno ovu kwake, na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake,,na kumtoa Katika nyumba yake. 2 Naye akiisha kuondoka Katika nyumba yake, ana ruhusa kwenda akawa mke WA mtu mwingine.3 Na Huyo mumewe wa Sasa akimchukia,,na kumwandikia hati ya kumwacha,na kumpa mkononi mwake,,na kumtoa Katika nyumba yake; au akifa Yeye mumewe wa Sasa,,aliyemtwaa kuwa mkewe;4.YULE WA KWANZA ALIEMWACHA ASIMTWAE KUWA MKEWE TENA,,AKIISHA KUTIWA UNAJISI; KWA KUWA HAYA NI MACHUKIZO MBELE ZA BWANA; KWA HIO USIITIE DHAMBINI NCHI AKUPAYO BWANA,MUNGU WAKO IWE URITHI"""

MSISITIZO WAKE
YEREMIA 3:1
"""Watu husema, Mtu akimwacha mkewe,,nae akienda zake akawa mke WA mtu mwengine,,Je! Mtu Huyo atamrudia tena?? Je! Nchi hio haitatiwa unajisi?

Swali Kwa waislam mnaoshika biblia ZAIDI YA QURAN??
Ninyi mna talaka Aina tatu..
*TALAKA HASSANAT
**TALAKA REJEA
***TALAKA BAYYINUNA
Hii TALAKA ya tatu (BAYYINUNA) kulingana na QURAN 2:229-230 Kama Allah aliwaambia msome TORATI injili na zaburi alikuwa anajua anachokiandika kinakinzana na Sheria mama isioweza kubadilishwa???
Je!!! Yeye Mungu wenu Allah anajua hata kilichoandikwa kwenye TORATI???
Yeye subhana anaweza kuielewa injili?? Uwezo wake WA kufikiri anaweza kuielewa zaburi??? Alitoa wapi wazo la mwanamke aachwe kisha akaachwe na mwanamume mwengine ndipo huyu aliemwacha mwanzo akamuoe tena???Nyie waislam wapenda biblia Mungu wenu ana akili timamu??

Pindi MUNGU mpya Kama Allah anapohalalisha kitendo cha jinai chenye kuinajisi nchi nzima anayo legitimacy ya kuendelea kuaminiwa na Kuitwa Mungu..??

Hamuoni mnamkosea heshima MUNGU WA kweli Mungu WA Ibrahim,,isaka na Israel??
 
Allah ndio aliyempa Musa Taurati

Quran 7:144
(Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na Ujumbe wangu na maneno yangu. Basi chukua niliyo kupa na uwe katika wanao shukuru.
Quran 7:145
Na tukamuandikia katika mbao kila kitu, mawaidha na maelezo ya mambo yote. (Tukamwambia): Basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake. Nami nitakuonyesheni makaazi ya wapotofu.


Ila kitu ambacho nyinyi wagalatia hamkijui ni kuwa Taurati ilikuwa Sheria Kwa Wana wa Israel tu

Na Quran ni Sheria Kwa ajili ya watu wote Dunia mzima labda ukatae wewe mwenyewe kuifuata

kama unao ushahidi wa kimaandiko kuwa Mungu aliyempa Taurati nabii Musa sio Mungu aliyempa Quran nabii Muhammad weka hapa tuone
 
Hakuna ulichokiandika zaidi ya pumba
 
Kama huwezi kutoa hoja zako bila kutukana na kukashifu basi inaonyesha una hoja dhaifu sana bwege nazi wewe!!!
 
Yanaweza onekana maswali magumu ila ni mepesi sana kama ukikaa na kuuelewa ukristo na kusudio la Kuja kwa Kristo duniani.


Soma yohana 1 utaelewa zaidi
Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)

Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?

Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.

Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama

Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru

Allah hakuna aliewahi kumuona
Mariam ndio alie ambiwa ata mwita (Yesu) yaani mungu pamoja nasi ni tafsiri ya jina la yesu ila sio mungu

Ila nyie mmemuita Mungu pamoja nasi


Mfano mtu akiitwa Pendo
Haina maana eti anaupendo Bali ni tafsiri ya jina lake

Taja muujiza mmoja wa yesu
 
Qurani ilishushwa!!
Nini maana ya kushushwa "wahisi ilitupwa chini kama mzigo"
Mtu akiwa juu ya ghorofa akampa mtu mwingine mzigo haupeleke mpaka chini kabisa ya ghorofa,
Twabini tusemeje huu mzigo umeshushwa chini au hii sentence inakaaje?
Kuna aya katika Quran zinazoelezea sifa za Allah, ambazo kwa kaduri ya biblia ni sifa za shetani/ibilisi. Swali la kujiuliza, je Muhammad alikutana na malaika Jibril kama inavyosemwa, au alikutana na shetani aliyejiita kuwa ni malaika?
Heka hapa hizo sifa za biblia tuzione
 
Kwanini hamkuni tag au kunipigia simu ?

Huu upotoshaji wa waislamu ndio nautaka

Siku nyingine mkiona mada za kijinga na kipuuzi kama hizi mnitag au kunipigia simu 0715797533
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…