Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Ndo yameandikwa hayo tu?Kaandika ujinga mwingi ,ujinga ambao tunaukataa humu kila siku
Ana mnasibisha Muhammad kuwa ndiye msaidizi ambaye ni roho mtakatifu
KIFUPI anaendeleza zile propaganda za Uislamu kujinasibisha na Uyahudi,manabii wa kiyahudi, ili kupata popuratiy kwa watu hasa wasiojua maandiko
Ni sehemu gani kaandika hivyo , na mimi bado na kisoma taratibu mpaka ntakapo elewa hamis77Kaandika ujinga mwingi ,ujinga ambao tunaukataa humu kila siku
Ana mnasibisha Muhammad kuwa ndiye msaidizi ambaye ni roho mtakatifu
KIFUPI anaendeleza zile propaganda za Uislamu kujinasibisha na Uyahudi,manabii wa kiyahudi, ili kupata popuratiy kwa watu hasa wasiojua maandiko
Tatizo mwenyewe anajibu kihisia sana, niko hapa kutafuta muelekeo wangu wa kiimani tafadhali.Ndo yameandikwa hayo tu?
Kwa hiyo wewe hauna diniTatizo mwenyewe anajibu kihisia sana, niko hapa kutafuta muelekeo wangu wa kiimani tafadhali.
Biblia ni hiyo hiyo ,ila wakatoliki wameongeza na vitabu ambavyo ni vya historia visivyo na uvuvioBiblia wanayotumia wakatoliki na wanayotumia waprotestanti zina utofauti gani?
Na kama kuna utofauti, je hili linamaanisha nini?
hamis77
Lengo ni hilo , kuaminisha watu Muhammad ndiye nabii wa Mungu wa mwisho na alitabiriwa kwenye bibliaNdo yameandikwa hayo tu?
Mengineyo yaliyosemwa kuhusu uungu wa Yesu vipiLengo ni hilo , kuaminisha watu Muhammad ndiye nabii wa Mungu wa mwisho na alitabiriwa kwenye biblia
Propaganda ni zile zile za miaka yote
Kama kujinasibisha na uyahudi basi na nyinyi pia mtakuwa mnajinasibisha na uyahudiLengo ni hilo , kuaminisha watu Muhammad ndiye nabii wa Mungu wa mwisho na alitabiriwa kwenye biblia
Propaganda ni zile zile za miaka yote
Yesu ni myahudi ,mwana wa Daudi anatokea ukoo wa Yuda .Kama kujinasibisha na uyahudi basi na nyinyi pia mtakuwa mnajinasibisha na uyahudi
Propaganda kuu hapo ni kumnasibisha Mudi na Uyahudi,Mengineyo yaliyosemwa kuhusu uungu wa Yesu vipi
Hicho ndio unachokielewa wewePropaganda kuu hapo ni kumnasibisha Mudi na Uyahudi,
Hiyo ndio lengo kuu la hicho kitabu
Nazungumzia uyahudi kama dini.Yesu ni myahudi ,mwana wa Daudi anatokea ukoo wa Yuda .
Ukristo haujinasibishi kwa UYAHUDI ,Ukristo upo connected na Uyahudi,
Wokovu unatoka kwa Wayahudi
Mudi ni Muarabu na hana nasaba ya UYAHUDI hata ya Ishamael alisema wanamsingizia
Uislamu ni dini ya ujanjaujanja,
Muhammad anavyolazimishwa katabiliwa na manabii wa kiyahudi ,mara ndiye Msaidizi aliyetajwa na YesuNazungumzia uyahudi kama dini.
Sasa kwenye hicho kitabu wapi wamesema Muhammad ni myahudi
Ndio main objectiveHicho ndio unachokielewa wewe
Kwani wewe ni myahudi?Muhammad anavyolazimishwa katabiliwa na manabii wa kiyahudi ,mara ndiye Msaidizi aliyetajwa na Yesu
Mara Yerusalemu ni ya waislamu sababu aliiota ndotoni
Huko ni kujinasibisha na Uyahudi
Thus why Uislamu hauwez kusimama wenyewe maana ni dini dhaifu ya kutengenezwa
NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristoKwani wewe ni myahudi?
"Na kama nyinyi ni wa Kristo, basi nyinyi ni wazawa wa Abrahamu, na warithi kulingana na ahadi."
Yaani nimekuuliza dini yako ni uyahudiNDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristo
Galatia 3:29. Kwa tafsiri ya Kiswahili, aya hii inasema:
Aya hii inaonyesha kwamba ahadi za Mungu kwa Abrahamu hazifungwi kwa watu wa kizazi chake pekee, bali ni za wale wote ambao wameungana na Kristo kwa imani. Kwa hiyo, hata watu kutoka mataifa mengine wanarithi ahadi hizo kwa njia ya imani.
Mimi ni mkristo sio myahudi kama diniYaani nimekuuliza dini yako ni uyahudi