Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Biashara ya mawe Maka ,ya kumpigia shetani ,wanauza mawe

Baadae wanayakusanya ,mwakani wanauza tena
 
Kwa hiyo wewe ni myahudi
NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristo

Galatia 3:29. Kwa tafsiri ya Kiswahili, aya hii inasema:

"Na kama nyinyi ni wa Kristo, basi nyinyi ni wazawa wa Abrahamu, na warithi kulingana na ahadi."

Aya hii inaonyesha kwamba ahadi za Mungu kwa Abrahamu hazifungwi kwa watu wa kizazi chake pekee, bali ni za wale wote ambao wameungana na Kristo kwa imani. Kwa hiyo, hata watu kutoka mataifa mengine wanarithi ahadi hizo kwa njia yaimani.
 
Sishangai!
Nitashangaaje wewe kudai ni myahudi wakati tayari unamdai uungu mtu kama wewe
 
Kama kuna watu wanafanya hivi haimanishi ni mafundisho ya dini bali ni hulka zao.
ANACHOFANYA MWAMPOSA NA MATAPELI WENGINE NDICHO KINACHOFANYIKA HUKO MAKKA ,WATU WANAUZIWA MAWE YA KUMPIGA SHETANI

😂😂😂😂

NDIO MAANA KINA MAZINGE,SHARIFU MAJINI WAMEJIONGEZA NAO WANAUZA MAJI NA MAFUTA KAMA MWAMPOSA

DINI ZIMEJAA MATAPELI WENGI SANA,

Uislamu ni utapeli ,sioni tofaut ya Kina mwamposa na Muhammad
 
Sishangai!
Nitashangaaje wewe kudai ni myahudi wakati tayari unamdai uungu mtu kama wewe
Yesu ni Mungu ,Alfa na Omega ,anauwezo wa kukusamehe dhambi zako

Mudi yupo kaburini kaoza ,hajui hatima yake na wanaomfata itakuwaje
 
Ni kweli,dini zimejaa utapeli hasa.

Lakini sasa utathibitishaje kuwa Muhammad alikuwa tapeli?
 
Yesu ni Mungu ,Alfa na Omega ,anauwezo wa kukusamehe dhambi zako

Mudi yupo kaburini kaoza ,hajui hatima yake na wanaomfata itakuwaje
Kwa nini nikimzungumzia yesu unapenda kumtaja na Muhammad kana kwamba kuna mtu anasema yeye ni Mungu

Hakuna mtu anayedai Muhammad ni mungu halafu yesu hawezi kunisamehe dhambi zangu
 
Ni kweli,dini zimejaa utapeli hasa.

Lakini sasa utathibitishaje kuwa Muhammad alikuwa tapeli?
Hili NALO unataka mjadala?

Ndiye nabii mwenye Sifa za nabii wa uongo, toka anapewa unabii na Khadija na Waraq ,
 
Kwa nini nikimzungumzia yesu unapenda kumtaja na Muhammad kana kwamba kuna mtu anasema yeye ni Mungu

Hakuna mtu anayedai Muhammad ni mungu halafu yesu hawezi kunisamehe dhambi zangu
Muhammad hajui atakachofanywa wala hajui mnaomfata mtafanywa nini , Muhammad hana pakuwapeleka

Yesu ana huo uwezo wa kusamehe madhambi yako ,

Yupo mbinguni ,yeye ni njia kweli na uzima ,ukimfata yeye uhakika 100%

Mudi anasubiri hukumu ya madhambi yake ya kuwapotezeni
 
Biblia inajitegemea haihitaji kudhibitisha tabu lolote kuwa la kweli nje ya Biblia

Pili Biblia hairuhusu kuombea Marehemu awe Mohamed, Au yeyote

Waislamu kutwa ohhh mswalie mtume

Kama yeye hakuswali na kufuata dini ya kweli kabla kufa atakuwa anawaka motoni huko hakuna cha mswalie mtume wala cha Mohamed (Saw) atachomeka motoni mpaka akome

Sisi wakristo hakuna yeyote mtume yeyote tunayemswalia mtume yeyote mumujuao waislamu hatumswaliii

Kama hakuswali mwenyewe kabla kufa wakristo hatuna swala ya kumswalia kama huyo tapeli wenu Mohamed ambaye alikufa haswali anasubiri mumswalie oooh muswalie mtume

Anachemka motoni huyo msubiria waswalihina wamswalie

Waislamu tumieni akili pia.Kama Mohamed hakuwa mswalihina kabla kufa hivi mnaona akili zenu ziko sawa kumswalia mtume Mohamed?

Wakristo hatuna hilo kila mtu awe mswalihina asitarajie akifa ndipo umati unaoitwa wa mtume wa watani zangu wandengereko wapige yowe ohhh Allsh akbar mswalie mtume

Utapeli wa mtume huo
 
Hivi nani kakwambia Muhammad ni mungu?
 
Nithibitishie kwa ushahidi kuwa alikuwa ni tapeli kama mwamposa wenu
Mwamposa na mudi hawana tofauti ,ni zama tu

Mudi yeye alikuwa zaidi muuaji

Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya kukatwa miguu na mikono.

Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya 4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.

Bila shaka utakubali kwamba hizi ni dhambi nzito sana. Kwa vile Muhammad alifanya hivi, alihitaji sana msamaha. Swali la kidadisi ni hili: "Ni nani hasa anayelipa gharama ya dhambi zako?" Yesu alisema alilipa fidia ya dhambi zetu. Uislam haufundishi kuwa kuna mtu yeyote aliyelipa gharama.

Je, dhambi zako zinalipwaje, au Allah anazifumbia macho baadhi ya dhambi na kuadhibu nyingine??
 
Hivi nani kakwambia Muhammad ni mungu?
Mohamed alisema swali kabla hujaswaliwa swala ya mazishi

Lakini yeye mwenyewe alikufa bila kuswali

Ndio maana waislamu kutwa kupiga yowe misikitini ooh mswalie mtume Mohamed
Yeye kama alikuwa haswali atajijua hadi akome moto wa Jehanamu

Alitakiwa kuswali kabla kuswaliwa kuzikwa

Hizi kelele za mswalie mtume ni Utapeli
 
Lile joka lilishacheza karata zake vizuri sasa subirin mziki wake.
Mtalia na kusaga meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…