Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Nashukuru sana ndugu umejibu vyema.

Nimesoma kiasi kuhusu utatu, je historia ya utatu imeanzia wapi ?
Je hili suala la utatu linatambulika wakati wa uwepo wa yesu au baada ya yesu?
Na kama halikuwepo ni nani anayewajibika uwepo wake??
 
Uwe unakuja na uthibitisho na maandiko ,sisi wengine ndio tunajifunza kidogo kidogo, lasivyo wewe ni mpotashaji.
 
Kuna sehemu nimesema hivo
Sasa kwa nini unamtaja yesu kama mungu halafu unaunganisha kumtaja Muhammad

Kwa mfano,ukidai yesu kuwa ni mungu kwa sababu anaishi milele unasema Muhammad amekufa
 
Kipi Muhammad alikuwa anauza kwa kudanganya kuwa kina upako wa Allah

Lini Muhammad aliagiza mtu kuuawa au kujeruhiwa bila haki au kufuata sheria
 
Una ushahidi gani kuwa Mtume alikuwa haswali?
Lete ushahidi la sivyo ni porojo tu!!!
 
Nashukuru sana ndugu umejibu vyema.

Nimesoma kiasi kuhusu utatu, je historia ya utatu imeanzia wapi ?
Je hili suala la utatu linatambulika wakati wa uwepo wa yesu au baada ya yesu?
Na kama halikuwepo ni nani anayewajibika uwepo wake??
Utatu sio fundisho la biblia ni fundisho la Roman Catholic
 
Kipi Muhammad alikuwa anauza kwa kudanganya kuwa kina upako wa Allah

Lini Muhammad aliagiza mtu kuuawa au kujeruhiwa bila haki au kufuata sheria
Nimekupa Hadith hizo jinsi Muhammad alivyokuwa jahili

Leo watu wanaenda kuitajirisha Saudia Arabia kisa kuangalia Kimondo ,hiyo ni biashara muasisi ni mudi

Huyu ni zaidi ya mwamposa

Ndio maana akaona asingizie Ibrahim alijenga hilo jiwe
 
Hujaniambia Muhammad alikuwa anauza nini au aliamrisha nini kiuzwe kwa kuwa kina upako wa Allah

Pia hujasema Muhammad aliagizwa nani ajeruhiwe au auwawe bila kuzingatia sheria
 
Hujaniambia Muhammad alikuwa anauza nini au aliamrisha nini kiuzwe kwa kuwa kina upako wa Allah

Pia hujasema Muhammad aliagizwa nani ajeruhiwe au auwawe bila kuzingatia sheria
Biashara ya kuuza mawe,biashara ya watu kwenda Maka na kuiingizia Saudia Arabia pesa muasisi ni Muhammad

Sasa unauliza nini ?

Bila Muhammad hii biashara ya mawe ingetokea?
 
Lakini unaamini kuwa yesu alikuwa ni mungu na Baba yake pia ni mungu?
Huo sio utatu ,nenda kasome Dogma ya utatu inavyosema

Yesu kuwa Mungu ni maandiko ,sio Mimi au Fulani kasema ,ni maandiko yanathibitisha hivo
 
Uwe unatoa na maandiko niko hapa ,kujifunza la sivyo wewe ni mpotoshaji na unatumia lugha ya kihisia sana , na mijadala haiendagi hivyo.

Na kabla ya kusema kuwa watu fulani , wanafanya jambo fulani .
Jiulize je ni kweli , na kama ni kweli, miongozo yao labda vitabu vyao , vinasemaje na sio una leta
Mihemko katika majibu yako, nilichogundua wewe unajibu kwa kujilinda.

Na kama ni hoja , leta hoja na maandiko tuone , tuko hapa kujifunza , na sio kama wewe unavyoleta mijadala na hoja ya kukejeli wengine hamis77
 
Huo sio utatu ,nenda kasome Dogma ya utatu inavyosema

Yesu kuwa Mungu ni maandiko ,sio Mimi au Fulani kasema ,ni maandiko yanathibitisha hivo
Unaamini yesu ni mungu pia unaamini ni mwana wa mungu je hapo kutakuwa na miungu wangapi tukimjumuisha na roho mtakatifu?
 
Unaamini yesu ni mungu pia unaamini ni mwana wa mungu je hapo kutakuwa na miungu wangapi tukimjumuisha na roho mtakatifu?
Yesu ana majina mengi tu ,wewe unashangaa kuitwa mwana wa Mungu ,unashangaa pia kuitwa Mungu

Hata Wayahudi walishangaa ,akawapiga swali ambalo hakuna aliyejibu

Na Mimi nitakupiga hilo swali ukilijibu NASILIMU

Mathayo 22:41-45 (SUV)
41 Basi, Mafarisayo walipokuwa wamekusanyika, Yesu aliwauliza,
42 akasema, "Mwaonaje katika habari za Kristo? Yeye ni mwana wa nani?" Wakamwambia, "Wa Daudi."
43 Akawaambia, "Imekuwaje basi Daudi, katika Roho, kumwita Bwana, akisema,
44 'Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hata nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako'?"
45 "Basi, ikiwa Daudi anamwita Bwana, amekuwaje mwanawe?"

Yesu alinukuu Zaburi 110:1, ambapo Daudi alisema:
"Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hata niwafanye adui zako kuwa chini ya miguu yako."

Yesu alitumia aya hii kuwaonyesha Mafarisayo kwamba Masihi (Kristo) si tu Mwana wa Daudi kwa nasaba, bali pia ni wa hali ya juu zaidi, akiwa Bwana. Hii ilionyesha asili yake ya Kiungu, jambo ambalo lilikuwa gumu kwa Mafarisayo kulielewa.
 
Kwa nini huo utatu uwepo , jibu swali langu vizuri, una mahusiano gani na muktadha wa Mungu mmoja na wa kipekee??
Kawaulize watu wa utatu ,

Utatu dogma yake wala haihusihani na Uungu wa Yesu,

Yesu ni Mungu kwa mujibu wa maandiko ,fullstop
 
Swali langu si kuwa kwa nini yesu ana majina mengi bali ni kuwa kama Mungu ana mwana anayeitwa yesu naye ni mungu
Je hapo kutakuwa na miungu mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…