Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hawa jamaa wa upande ule wanahangaika sana na ukristo halafu cha ajabu wakristo hawajihangaishi nao
Ndiyo, wanataka kaufanano halafu baadae vinakataana yaani sema tu Ni utandawazi vinginevyo wangebadili maandiko yao yafanane. hahahaaaaa si wangetumia kale kamtindo ka kiswahili kakupanga sentence ili zilete maana hahahahaaaaa
 
unanyofoa nyofoa mistari tu
soma historia yote ya wayahudi
na usiende na misimamo yako humo
Mimi nimechukua mistari inayoendana na mada yangu tu halafu kwa nini niisome historia ya wayahudi?
 

1 Kor 1:18-31 SUV​

Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa. Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa. Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima; bali sisi tunamhubiri Kristo, aliyesulibiwa; kwa Wayahudi ni kikwazo, na kwa Wayunani ni upuzi; bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wayunani, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu. Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu. Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa; bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu. Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanywa kwetu hekima itokayo kwa Mungu, na haki, na utakatifu, na ukombozi; kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.
 
Quran imeigiza kila kitu kutoka kwenye Biblia!
 
Hekaya za abunuwasi
 

Hakuna sehemu hata moja ambayo Biblia imetabiri ujio wa Mtume. Katika agani la kale, Yesu alitabiriwa kuja, na akaja na kukamilisha kilichoandikwa.

Kuhusu msaidizi ishia hapohapo, msaidizi ni Roho Mtakatifu anayewaongoza waamini katika maisha yao ya kila siku. Ndiye huyo anayekamilika Utatu Mtakatifu yaani Baba, Mwana na huyo Roho wa Bwana anayewaongoza watu wake katika njia sahihi. It's a spirit not anything in human form, na ataishi nasi hadi ukamilifu wa dahari.
 

Issah anayetajwa siyo Yesu, Mariam anayeelezewa siyo Maria Mama wa Mungu, na Allah anayeelezewa kwenye Quran siyo Mungu Yehovah anayesemwa kwenye Biblia. Kwa ufupi tuna Mungu wetu nao wana mungu wao. Hata description ya ahera siyo ile paradiso inayoelezewa kwenye Bible.
 
Yepi maandishi yamepotoshwa na yepi maandishi ya ukweli tuanzie kwanza hapo ndugu mjukuu wa mudi.
 
Katika Uislamu unapotaja jina la Mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu unatakiwa umuombee amani. Hii ni kwa Mitume wote akiwemo na Mtume Muhammad (Rehema na Amani ziwe juu yake).
Kwahiyo rehema za nini kwani si wako mbinguni au wako akhera mana watu wa dini mmejaa upuuzi vichwani mwenu.

Rehema kwa ubaya au amkosa gani waloyafanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…