Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je Muhamad aliweza kuwatoa majini/mapepo?

Jibu ni hapana, zaidi ya yote aliwasilimisha alivyokuwa anatoka Taif, na akayaita ni ndugu za Waislam, turejee hapa chini:-

“ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu Kama inavyoonyesha haya katika suratul Jinn. Majini ni viumbe vyebesi vinavyokaa angani havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. “Maisha Ya Nabii Muhammad”.Ule Uk 3. Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Sulatul jinn inasema hivi:-

“ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikia Qurani likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yeyeote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana ……Quran 72:1-3,14

Kwahiyo yale majini ambayo Bwana Yesu na mitume akiwemo shujaa Paulo waliyakemea na kuyatoa, Baada ya miaka 600 Muhamad aliyasilimisha, ni jinsi gani hakuwa na uwezo wa kuyatoa zaidi ya kufanya mahusiano nayo, mahusiano ambayo Mungu wa Wakristo aliweka marufuku ya milele (Mambo ya Walawi 17:7). Na katika Agano jipya Yesu alitoa mamlaka ya kuyatimulia mbali ‘’Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Mathayo 10:1
Lakini kinyume chake Muhamad akasema yeye na waislam wanapata nguvu za majini na majini ni ndugu zao.

Mtume wa Allah Muhamad anasema “ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema HATA MIMI isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri” Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814. , "Msiende haja kwa kutumia samadi au mifupa kwani hivyo ni vyakula vya NDUGU ZENU MAJINI." ( Muslim, 450). Na wanafanya nayo ibada pamoja {Irshadul Muslimin Uk 38})

Ukiona mtu anakubaliana na adui basi kifupi adui ana nguvu zaidi yake na atakuwa ni mtumwa wake wa daima.
 
Nikupe uthibitisho gan kama huwez kutumia akili, ulijificha sasa hivi umejitokeza

Uislamu ni propaganda za wakatoliki

Ni dini imekuja mwaka 600s AD , kabla hakuna ushahidi hata wakuokoteza paliwahi kuwepo dini ya Uislamu au MSIKITI kama ipo leta hapa ,Leo narudi kuwa muislamu
Nilijificha wapi nishakuambia niko hapa kujifunza. Na sio kama wewe bila kukejeli hauna hoja , usiiegemee upande mmoja angalia vitabu.

Nimefuatilia msingi wa imani ya uislamu umeanzia enzi za nabii Adam

1. Qur'ani – Surah Al-Baqarah (2:30-31)

2. Qur'ani – Surah Al-Imran (3:64)

3. Qur'ani – Surah Ash-Shura (42:13)

Hizi sura zimeelezea uasili wa uislamu, kwa hiyo fatilia na ujifunze zaidi .
 
Je kati ya Paulo na Muhamad nani alifanya miujiza?

Paulo alifanya miujiza mingi na ya kushangaza, maana Bwana Yesu alimpa nguvu nyingi ambazo ziliangusha nguvu za giza kama mapepo na wachawi chini. Maana Yesu aliwapa wanafunzi wake kama asemavyo hapa ‘’Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya. Marko 16:17-18

MIUJIZA YA PAULO

Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida; hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka. Matendo 19:11-12

Paulo alikuwa na uwezo wa kukemea Pepo kwa jina la Yesu na Pepo walitoka.

‘’Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua. Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu. Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile. Matendo 16:16-18

Paulo alimkemea Mchawi akawa kipofu alipokuwa anafanya uchawi wa kuzuia mahubiri.

Lakini Elima, YULE MCHAWI (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani. Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho, akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?

Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza. Matendo ya Mitume 13:8-11

Paulo aliumwa na Nyoka lakini hakufa

Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, NYOKA akatoka kwa ajili ya ule moto akamzonga-zonga mkononi. Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewa-lewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi. Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara. Wao wakadhani ya kuwa atavimba au kuanguka chini kwa kufa ghafula; na wakiisha kumwangalia sana, na kuona kwamba halimpati dhara lo lote, wakageuka, wakasema kwamba yeye ni mungu. Matendo 28:3-6

Ni jinsi gani utume wa Paulo ulikuwa mkubwa sana, na Bwana Yesu alidhihirika kuwa ni MKUU SANA kuliko miungu yote. Sasa tuhamie kwa Muhamad.

JE MUHAMAD ALIFANYA MIUJIZA?

Muhamad hakufanya mujiza bali yeye mwenyewe aliathiriwa na uchawi(kulogwa)

Quran 29:50 Na walisema mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa mola wake? Sema miujiza iko kwake mwenyezi mungu tu akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi nami hakika ni muonyaji mbainishaji (dhahiri tu).

Kwahiyo Muhammad hakufanya mujiza wowote mpaka katika zama zake watu waliuliza hivi "" ....Mbona hakupewa kama aliyo pewa Musa?...Quran 28:48. Kumbuka Musa alifanya miujiza mingi, Kumb 34:10-12
 
Bi Khadija Sista wa kikatoliki anasema hivi

"Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa MTUME''”.

Utume alipewa na Agent kutoka Roma ,sista khadija
Thibitisha kuwa Bi Khadija alikuwa sister wa kikatoliki
Na kwamba ndiye alimpa utume
 
Ndio mwenzio ana mihemko, haiamini biblia lakini anazitumia Aya za biblia kusambaza propaganda kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu

Huu ni wendawazimu ,ni kwamba Quran haijitishelezi kujitetea
Je umeangalia na kitabu cha upande wa pili kama ni uongo??
 
Je Muhamad aliweza kuwatoa majini/mapepo?

Jibu ni hapana, zaidi ya yote aliwasilimisha alivyokuwa anatoka Taif, na akayaita ni ndugu za Waislam, turejee hapa chini:-

“ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu Kama inavyoonyesha haya katika suratul Jinn. Majini ni viumbe vyebesi vinavyokaa angani havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. “Maisha Ya Nabii Muhammad”.Ule Uk 3. Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Sulatul jinn inasema hivi:-

“ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikia Qurani likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yeyeote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana ……Quran 72:1-3,14

Kwahiyo yale majini ambayo Bwana Yesu na mitume akiwemo shujaa Paulo waliyakemea na kuyatoa, Baada ya miaka 600 Muhamad aliyasilimisha, ni jinsi gani hakuwa na uwezo wa kuyatoa zaidi ya kufanya mahusiano nayo, mahusiano ambayo Mungu wa Wakristo aliweka marufuku ya milele (Mambo ya Walawi 17:7). Na katika Agano jipya Yesu alitoa mamlaka ya kuyatimulia mbali ‘’Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Mathayo 10:1
Lakini kinyume chake Muhamad akasema yeye na waislam wanapata nguvu za majini na majini ni ndugu zao.

Mtume wa Allah Muhamad anasema “ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema HATA MIMI isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri” Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814. , "Msiende haja kwa kutumia samadi au mifupa kwani hivyo ni vyakula vya NDUGU ZENU MAJINI." ( Muslim, 450). Na wanafanya nayo ibada pamoja {Irshadul Muslimin Uk 38})

Ukiona mtu anakubaliana na adui basi kifupi adui ana nguvu zaidi yake na atakuwa ni mtumwa wake wa daima.
Usichokijua ni kwamba sio kila jini ni shetani bali shetani ni jini muovu
Pia majini ni viumbe tu kama walivyokuwa watu
 
Nilijificha wapi nishakuambia niko hapa kujifunza. Na sio kama wewe bila kukejeli hauna hoja , usiiegemee upande mmoja angalia vitabu.

Nimefuatilia msingi wa imani ya uislamu umeanzia enzi za nabii Adam

1. Qur'ani – Surah Al-Baqarah (2:30-31)

2. Qur'ani – Surah Al-Imran (3:64)

3. Qur'ani – Surah Ash-Shura (42:13)

Hizi sura zimeelezea uasili wa uislamu, kwa hiyo fatilia na ujifunze zaidi .
Yaani Qurani iliyokuja na Muhammad ndio ithibitishe ?

Leo Afande sele aandike kitabu chake ,kisha aseme dini yake ipo toka Adam na uthibitisho ni kitabu chake

Inakujia akilini kweli?

Nimekuomba uthibitisho kabla ya Muhammad mwaka 570AD ,JE PALIWAHI KUWEPO DINI YA UISLAMU AU PALIWAHI KUWEPO MSIKITI?

UISLAMU UMEKUJA NA MUHAMMAD AKIPEWA UTUME NA BI KHADIJA SISTER WA KIKATOLIKI KWA MSAADA WA SHETANI KULE PANGONI

KASOME HISTORIA SIO PROPAGANDA
 
KULOGWA KWA MUHAMAD, NABII ANAROGWA?😂😂

Quran 17:47….‘’Ninyi hamumfuati isipokuwa mtu aliyerogwa. Kwa English ‘’You follow not but a man affected by MAGIC

Uthibitisho wa hadithi unabainisha hilo vema, Mamuma wa Kislam waga wanabisha juu ya hilo, lakini Allah kashaweka mustakabali kwamba, katika hoja tata watu warejee katika hadithi. Quran 42:10 inasema hivi ‘’Na mkihitalifiana katika jambo lolote rejeleeni katika kitabu cha Mwenyezi Mungu na hadithi za Mtume….

Tukirejea katika hadithi za Mtume tunakutana na kisa hiki tata.

Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Asam alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo. (Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39).

Kuhusu kuathiliwa na uchawi kwa Muhamad soma vitabu vifuatavyo: Bhukari, na ibn majah ol.5 book 31 no.3435 p.60-61, Na mapokeo mingine yanapatikana kwa Nasai, Imam Ahmad, Abdur Razzaq, Humaidi, Baihaqi, Tabarani, Ibn Sad, Ibn Mardayah, Ibn Abi Shaibah, Hakim, Abd bin Humaid na wengineo pia. Zaidi ya siku 40 Muhamad alikuwa anasumbuliwa na uchawi aliorogwa na Labid bin Asam aliyepewa pesa na Wayahudi wa Khaibar kumroga Muhamad, maana Muhamad alikuwa amewaua Wayahudi, na huyo Labid alikuwa na dada yake mchawi sana kuliko yeye, wakamroga Muhamad akapagawa sana.

"Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (sura ya 10 na.490 uk.317, tazama pia Bukhari vol.4 no.400 p.267, vol.8 no.89 p.56-57, vol.8 no.400 p.266-267. vol.7 book 71 no.658-660 p.441-443. . Kwa English ‘’ Sahih Al-Bukhari 5765—Aisha narrated: Magic was worked on Allah's Apostle so that he used to think that he had had sexual relations with his wives while he actually had not. Yaani uchawi ulimuathiri Muhamad kiasi ya kwamba alijihisi anafanya ngono na wake zake kumbe hafanyi ndivyo Bi Aisha anavyosimulia.

Nawaza kwa sauti kwamba Allah alishindwa kumponya Mtume wake mpaka mtume akachukua jukumu mwenyewe la kwenda kutoa uchawi kwenye mto ambao alikuwa analalia, na katika kisima cha maji baada ya kupata habari yakuwekewa uchawi, Allah ana nguvu kweli? Kwa mujibu wa ushuhuda huu Yesu ni BWANA WA MABWANA akiwemo Allah
 
Je Muhamad aliweza kuwatoa majini/mapepo?

Jibu ni hapana, zaidi ya yote aliwasilimisha alivyokuwa anatoka Taif, na akayaita ni ndugu za Waislam, turejee hapa chini:-

“ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu Kama inavyoonyesha haya katika suratul Jinn. Majini ni viumbe vyebesi vinavyokaa angani havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. “Maisha Ya Nabii Muhammad”.Ule Uk 3. Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Sulatul jinn inasema hivi:-

“ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikia Qurani likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yeyeote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana ……Quran 72:1-3,14

Kwahiyo yale majini ambayo Bwana Yesu na mitume akiwemo shujaa Paulo waliyakemea na kuyatoa, Baada ya miaka 600 Muhamad aliyasilimisha, ni jinsi gani hakuwa na uwezo wa kuyatoa zaidi ya kufanya mahusiano nayo, mahusiano ambayo Mungu wa Wakristo aliweka marufuku ya milele (Mambo ya Walawi 17:7). Na katika Agano jipya Yesu alitoa mamlaka ya kuyatimulia mbali ‘’Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Mathayo 10:1
Lakini kinyume chake Muhamad akasema yeye na waislam wanapata nguvu za majini na majini ni ndugu zao.

Mtume wa Allah Muhamad anasema “ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema HATA MIMI isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri” Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814. , "Msiende haja kwa kutumia samadi au mifupa kwani hivyo ni vyakula vya NDUGU ZENU MAJINI." ( Muslim, 450). Na wanafanya nayo ibada pamoja {Irshadul Muslimin Uk 38})

Ukiona mtu anakubaliana na adui basi kifupi adui ana nguvu zaidi yake na atakuwa ni mtumwa wake wa daima.
Ni nimefuatilia hili nimegundua wewe ni muongo na uko hapa unapotosha watu.
Sura inasema ni kundi moja la majini, na sio majini yote.

Una uthibitisho mwingine au uko huko, kuokoteza kwa ajili ya kuthibitisha upotoshaji wako.
 
Uthibitisho wa kitabu cha afande sele kudai Adam alikuwa rastafariani 😂😂
Huu ni uthibitisho wa kuwa wewe ni miongoni mwa wajinga.
Bila kejeli na porojo zako , hauna hoja. Na hizi dalili za mtu kutokuwa na maarifa .
Nimeshakujibu

Na hata hiyo hadithi ni maandiko ya waislamu

Halafu sio kila kitu andiko ,
Ni kweli , leta uthibitisho wa hadithi.
 
Waislamu wengi wa karne ya 21 bado wanaishi na kufikiri kwa mtazamo wa miaka 1400 iliyopita. Sio lazima mtu apate hasira kwa kusikia hivyo, kwani kuna hoja kadhaa zinazojitokeza:

1. Uasili wa Qur'an

Qur'an ni kitabu kinachoonekana kuwa cha kibinadamu zaidi kuliko cha Mungu.

Mafundisho yake yanalenga zaidi maadili ya maisha ya binadamu na hayahusiani na dhana za miujiza, kama nguvu za sala au uponyaji wa maombi.

Kwa mfano, karibu kila mistari mitano au saba ya Qur'an huagiza mambo yanayohusiana na usafi wa mwili na mavazi, jambo ambalo mtu yeyote mwenye uelewa wa usafi angeweza kuelekeza bila msaada wa ufunuo wa kimungu.

Qur'an haitoi maagizo kuhusu kukemea pepo wachafu au kuomba mvua inyeshe.

2. Uandishi wa Qur'an na Utata Wake

Inasemekana kuwa wakati Mtume Muhammad alipokea aya za Qur'an, kuna tukio lililotokea ambapo alipewa maneno ambayo baadaye yalihusishwa na Shetani, maarufu kama Satanic Verses.

Aya hizi zilihusisha miungu ya Waquraishi wa Mecca, ikionekana kama jaribio la Mtume kuvuta watu wa Mecca kuukubali Uislamu kwa kutambua miungu yao.

Baadaye, aya hizo zilifutwa kwa madai kuwa hazikutoka kwa Mungu bali zilikuwa ni uingiliaji wa Shetani.

3. Mgawanyiko wa Kiislamu

Kama ilivyo kwa vitabu vingine vya dini, Qur'an inadaiwa kuwa na makosa na utata mwingi.

Hali hii imesababisha mgawanyiko ndani ya Uislamu na hata machafuko kati ya waumini.

Ikiwa Qur'an ingetoka kwa Mungu, isingeweza kuwa na upungufu unaosababisha vurugu na mauaji kati ya wafuasi wake.
 
Back
Top Bottom