hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Je Muhamad aliweza kuwatoa majini/mapepo?
Jibu ni hapana, zaidi ya yote aliwasilimisha alivyokuwa anatoka Taif, na akayaita ni ndugu za Waislam, turejee hapa chini:-
“ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu Kama inavyoonyesha haya katika suratul Jinn. Majini ni viumbe vyebesi vinavyokaa angani havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. “Maisha Ya Nabii Muhammad”.Ule Uk 3. Katika Tafsiri ya Qurani ya Imam Jalalaini Uk 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”
Sulatul jinn inasema hivi:-
“ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikia Qurani likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yeyeote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana ……Quran 72:1-3,14
Kwahiyo yale majini ambayo Bwana Yesu na mitume akiwemo shujaa Paulo waliyakemea na kuyatoa, Baada ya miaka 600 Muhamad aliyasilimisha, ni jinsi gani hakuwa na uwezo wa kuyatoa zaidi ya kufanya mahusiano nayo, mahusiano ambayo Mungu wa Wakristo aliweka marufuku ya milele (Mambo ya Walawi 17:7). Na katika Agano jipya Yesu alitoa mamlaka ya kuyatimulia mbali ‘’Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu, wawatoe, na kupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Mathayo 10:1
Lakini kinyume chake Muhamad akasema yeye na waislam wanapata nguvu za majini na majini ni ndugu zao.
Mtume wa Allah Muhamad anasema “ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema HATA MIMI isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri” Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814. , "Msiende haja kwa kutumia samadi au mifupa kwani hivyo ni vyakula vya NDUGU ZENU MAJINI." ( Muslim, 450). Na wanafanya nayo ibada pamoja {Irshadul Muslimin Uk 38})
Ukiona mtu anakubaliana na adui basi kifupi adui ana nguvu zaidi yake na atakuwa ni mtumwa wake wa daima.