Iran atawachokoza wote ila sio NetanyahuBaada ya ukraine kushambulia meli za iran zilizokuwa zinaelekea urusi, irgc imeapa kushambulia bandari za ukraine.
Kumbuka ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa ulaya kujihami dhidi ya urusi.
Will EU just watch?
🔥🔥🔥🔥Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu
Netanyahu huyu huyu ambaye hajawahi pigana na Nchi yoyote bila msaada wa USA? Acheni utani basiIran atawachokoza wote ila sio Netanyahu