Top Gun JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 257 Reaction score 860 Jul 29, 2026 #1 Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Jul 29, 2026 #2 Hawawezi Iran, hakuna asiye iogopa labda wayahudi wa buza tu
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 29, 2026 #3 Wacha wauane
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Jul 29, 2026 #4 Top Gun said: Baada ya ukraine kushambulia meli za iran zilizokuwa zinaelekea urusi, irgc imeapa kushambulia bandari za ukraine. Kumbuka ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa ulaya kujihami dhidi ya urusi. Will EU just watch? Click to expand... Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu
Top Gun said: Baada ya ukraine kushambulia meli za iran zilizokuwa zinaelekea urusi, irgc imeapa kushambulia bandari za ukraine. Kumbuka ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa ulaya kujihami dhidi ya urusi. Will EU just watch? Click to expand... Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Jul 29, 2026 #5 MlimaSayuni said: Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu Click to expand... 🔥🔥🔥🔥 Wavaa mashuka na wafuga majini hawawezi kukuelewa
MlimaSayuni said: Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu Click to expand... 🔥🔥🔥🔥 Wavaa mashuka na wafuga majini hawawezi kukuelewa
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Jul 29, 2026 #6 MlimaSayuni said: Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu Click to expand... Netanyahu huyu huyu ambaye hajawahi pigana na Nchi yoyote bila msaada wa USA? Acheni utani basi
MlimaSayuni said: Iran atawachokoza wote ila sio Netanyahu Click to expand... Netanyahu huyu huyu ambaye hajawahi pigana na Nchi yoyote bila msaada wa USA? Acheni utani basi