Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

Point yangu usifanye kama hujaiona mkuu.
Ulisema kuwa Israel hata ingeachwa ijitetee yenyewe ingeweza.
Nimekuletea mifano ya mapigano ambayo Israel iliachwa ijitetee yenyewe na maafa waliyoyapata.

Pia ulisema US kazoea kuwa na allies wake kupambana vita ila sio kama kupambana mwenyewe hawezi.
Nikakuletea the most and only successfull millitary operation ilofanywa na USA peke yao ambayo ni cabanatuan.
Tofauti na hapo walizoshiriki wenyewe zote wamefeli.
yom kipur war nani alishinda kati ya israel na waarabu? unaongelea kuhusu mateka je kuna vita ambayo nchi haipotezi wanajeshi kwa vifo na mateka?
 
nigeria gdp ni usd 472bilion mwaka 2022
iran gdp ni usd 413.5bilion mwaka 2022

Nigeria nchi huru haina economic sanctions.
Ila Iran ni taifa linaloandamwa na economic sanctions kila leo.
Pia tizama GDP growth tizama na ukuaji wa pato la ndani kati yao.
Pia tizama GDP per capita na GNI per capita utagundua Nigeria ilivyoachwa mbali.
Ukija katika social development ndio kabisaaa Nigeria haiikuti Iran kuanzia huduma za afya mpaka miundombinu.
Screenshot_2024-04-27-10-49-16-87_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-04-27-10-55-23-18_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
 
yom kipur war nani alishinda kati ya israel na waarabu? unaongelea kuhusu mateka je kuna vita ambayo nchi haipotezi wanajeshi kwa vifo na mateka?
Kafuatilie Iran-Iraq war kama utaona Iran alipata war prisoners.
Six days war Israel haikupata war prisoners.
Yomkippur war ilipiganwa sehemu tofauti.
Israel vs Egypt Sinai.
Israel vs Syria Gollan heights.
Ila Israel vs Egypt sinai Israel walipoteza na wakaiachia miinuko ya Sinai na wakakimbilia maeneo karibia na mipaka ya Rafah ambayo waliyashikiria na wakaja kuyaachia katika mkataba wa Camp David.
Syria alishindwa huko Gollan heights maana hakuweza kuhimili jeshi la anga la Israel.
 
IRAN IRAQ WAR

The number killed on both sides was perhaps 500,000, with Iran suffering the greatest losses."[50] Iraqi casualties are estimated at 105,000–200,000 killed,[31][41][45][46] while about 400,000 had been wounded and some 70,000 taken prisoner.[33][45] Thousands of civilians on both sides died in air raids and ballistic missile attacks.[64] Prisoners taken by both countries began to be released in 1990, though some were not released until more than 10 years after the end of the conflict.

hiyo source ni ya wikipedia boss kasome.

unavosema kuna vita ambayo hakuna prisoners of war inaonesha jinsi ulivo zero brain

kwenye vita hata uwe na nguvu vipi lazima vifo vitatokea na lazima wanajeshi wako watatekwa..yan hata uwe na nguvu vipi, labda usipeleke wanajeshi uwanja wa vita ndo hutapata prisoners of war
 
Nigeria nchi huru haina economic sanctions.
Ila Iran ni taifa linaloandamwa na economic sanctions kila leo.
Pia tizama GDP growth tizama na ukuaji wa pato la ndani kati yao.
Pia tizama GDP per capita na GNI per capita utagundua Nigeria ilivyoachwa mbali.
Ukija katika social development ndio kabisaaa Nigeria haiikuti Iran kuanzia huduma za afya mpaka miundombinu.
View attachment 2975150View attachment 2975151
GDP per capital Nigeria ina watu 218 milion
Iran ina watu 88 milion, ulitarajia ziwe sawa? kweli we chizi.

nchi zote zenye watu wengi kuliko ardhi wanayomiliki mara nyingi zina very poor social development, mfano angalia india, watu ni wengi kuliko ardhi, so ratio ya ardhi na watu haviendani, lazima kutakua na miundombinu mibovu.

iran ratio ya watu wake na ardhi vinaendana so anaweza kuwamudu watu wake

all in all kiuchumi iran mwenye miaka 2500 ameachwa na nigeria ambayo haina miaka 100
 
Mbona Israel anaua majenerali na wanasayansi ndani ya ardhi ya Iran na Iran hafanyi chochote.
 
US yenyewe inaigopa Iran ikiwa Ma Al Hout wa Yemen kawakimbia iwe Iran.

US labda akapige nuclear tu ndio atamshinda Iran, lakini Iran mwendo anao kwenda nao kwenye kutengeneza silaha, US atie maji kichwani karibu atanyolewa huko huko ndani ya US.
Aaah wapi.....Iran hii hii ya Khamenei
 
GDP per capital Nigeria ina watu 218 milion
Iran ina watu 88 milion, ulitarajia ziwe sawa? kweli we chizi.

nchi zote zenye watu wengi kuliko ardhi wanayomiliki mara nyingi zina very poor social development, mfano angalia india, watu ni wengi kuliko ardhi, so ratio ya ardhi na watu haviendani, lazima kutakua na miundombinu mibovu.

iran ratio ya watu wake na ardhi vinaendana so anaweza kuwamudu watu wake

all in all kiuchumi iran mwenye miaka 2500 ameachwa na nigeria ambayo haina miaka 100
Unatumia vigezo vibovu kupima hilo.
China ina watu bilioni mbili kasoro na imeendelea.
Ardhi na idadi ya watu haviendani bali economic policies ndio zinazofanya taifa liendelee kiuchumi.
-Iran imeendelea katika industrial sector kuliko Nigeria.
-Iran imeendelea katika teknolojia kuliko Nigeria.
-Iran imeendelea katika biashara kuliko Nigeria.
Je hivi vyote vimechagizwa na ukubwa tu wa ardhi!?
Rwanda ina raia wachache ila ni nchi masikini,hilo unalizungumziaje?
Pia GDP peke yake sio kigezo sahihi cha kupima uchumi.
Ndio maana nikakuwekea na GNI Gross national income.
Iran inakusanya mapato mengi ya serikali kuliko Nigeria.
Hivyo Iran ina akiba kubwa ya nje kuliko Nigeria.
Usipimie uchumi kidananda hivyo.
India sababu ya kutokuendelea ni kama Kenya nepotism,tribalism,religious biasness na gender segregation/oppression.
Nchi inayojenga matabaka haiwezi pata maendeleo ya kijamii wala ya kiuchumi abadan.
 
IRAN IRAQ WAR

The number killed on both sides was perhaps 500,000, with Iran suffering the greatest losses."[50] Iraqi casualties are estimated at 105,000–200,000 killed,[31][41][45][46] while about 400,000 had been wounded and some 70,000 taken prisoner.[33][45] Thousands of civilians on both sides died in air raids and ballistic missile attacks.[64] Prisoners taken by both countries began to be released in 1990, though some were not released until more than 10 years after the end of the conflict.

hiyo source ni ya wikipedia boss kasome.

unavosema kuna vita ambayo hakuna prisoners of war inaonesha jinsi ulivo zero brain

kwenye vita hata uwe na nguvu vipi lazima vifo vitatokea na lazima wanajeshi wako watatekwa..yan hata uwe na nguvu vipi, labda usipeleke wanajeshi uwanja wa vita ndo hutapata prisoners of war
Niletee ripoti ya mateka wa Israel wa six days war.
 
we chizi kweli..umesema iran hakukua na mateka wa kivita nimekuonesha kwamba walikuwepo, unasema tena nikuletee wa israel..mbona hueleweki wewe?
 
Bro si tunajadiliana?
Makasiriko ya nini!?
Nilitaja na Israel kuwa six days war haikuwa na mateka wa vita wewe ukaleta ushahidi wa Iran wa Israel ukauacha.
 
Fala wewe social development haihusiani na ardhi kijana.
Rwanda ina raia wachache lakini mbona hawana social development?
Social development inachagizwa na pato kubwa la serikali husika na sera zake za implimentation.
Nchi kama Nigeria kwasababu ina uchumi mkubwa tunatarajia huduma nzuri za kijamii kama za afya,shule,vyuo,usafiri na mengineyo.
Unajua GDP maana yake!?
Kama nchi ina GDP kubwa inamaana iko vizuri pia ina matajiri wa kuinawirisha hiyo nchi.
CHINA INA WATU SAWA KARIBIA NA BARA ZIMA LA AFRIKA ILA NI NCHI YA PILI KWA MAENDELEO DUNIANI.
JE UNALIFAHAMU HILO!?
Social development inachagizwa na pato kubwa la serikali pamoja na sera nzuri juu ya uanzishaji wa hizo huduma.
ARDHI NA WINGI WA WATU HAVIHUSIANI.
Nina doubt elimu yako.
nchi nyingi zenye watu wengi na ardhi ndogo zina poor social development we angalia nchi zote alafu nipe jibu
china ina maendeleo mazuri lakini angalia eneo lake ina 9.59 milion sq km

rwanda ina raia wachache lakini pia eneo ni dogo sana, ardhi na watu vinahusiana pamoja na sera pia na factors zingine zinainclude, ila pia ardhi ni moja wapo ya factor muhimu sana

all in all point yetu ilikua ni uchumi sio social development, ni kwamba iran imepitwa na nigeria kiuchumi, si ndio?
 
Usije ukasaha
GDP per capital Nigeria ina watu 218 milion
Iran ina watu 88 milion, ulitarajia ziwe sawa? kweli we chizi.

nchi zote zenye watu wengi kuliko ardhi wanayomiliki mara nyingi zina very poor social development, mfano angalia india, watu ni wengi kuliko ardhi, so ratio ya ardhi na watu haviendani, lazima kutakua na miundombinu mibovu.

iran ratio ya watu wake na ardhi vinaendana so anaweza kuwamudu watu wake

all in all kiuchumi iran mwenye miaka 2500 ameachwa na nigeria ambayo haina miaka 100
Usije ukasahau tunaizungumzia Iran ambayo tokea 1979 ina economic sanctions ya kufanya biashara hasa ya mafuta na bidhaa za viwandani ikiwemo silaha.
Jiulize kama Iran isingekua na vikwazo vya kiuchumi ikawa ina uhuru wa kuuza nishati zake za mafuta na bidhaa za viwanda wangelikua wapi!?
Utakuja kugundua Afrika kama tuna laana.
Nchi ambayo ilikua huru kufanya mambo yake inashindana uchumi na taifa lililoingia vitani miaka nane huku likiwa na vikwazo vya kiuchumi.
 
nchi nyingi zenye watu wengi na ardhi ndogo zina poor social development we angalia nchi zote alafu nipe jibu
china ina maendeleo mazuri lakini angalia eneo lake ina 9.59 milion sq km

rwanda ina raia wachache lakini pia eneo ni dogo sana, ardhi na watu vinahusiana pamoja na sera pia na factors zingine zinainclude, ila pia ardhi ni moja wapo ya factor muhimu sana

all in all point yetu ilikua ni uchumi sio social development, ni kwamba iran imepitwa na nigeria kiuchumi, si ndio?
Bado unatumia vigezo mfu.
Rwanda idadi yake ya watu na ardhi yake vinaendana na resource zake zinaendana.
Ila hakuna good economic policy as well as India and Nigeria.
Jibu hapana.
Ingekua Nigeria imeipita Iran kiuchumi ningetarajia kuona Nigeria inakusanya mapato mengi serikalini ila iko tofauti.
Usiupimie uchumi kidananda hivyo we jamaa.
 
Usije ukasaha
Usije ukasahau tunaizungumzia Iran ambayo tokea 1979 ina economic sanctions ya kufanya biashara hasa ya mafuta na bidhaa za viwandani ikiwemo silaha.
Jiulize kama Iran isingekua na vikwazo vya kiuchumi ikawa ina uhuru wa kuuza nishati zake za mafuta na bidhaa za viwanda wangelikua wapi!?
iran hiyo mumesema ina miaka zaidi ya 2500 na ilitawala dunia kama persin, je nikuulize hivo vikwazo imewekewa kwa miaka mingapi?
 
Bado unatumia vigezo mfu.
Rwanda idadi yake ya watu na ardhi yake vinaendana na resource zake zinaendana.
Ila hakuna good economic policy as well as India and Nigeria.
Jibu hapana.
Ingekua Nigeria imeipita Iran kiuchumi ningetarajia kuona Nigeria inakusanya mapato mengi serikalini ila iko tofauti.
Usiupimie uchumi kidananda hivyo we jamaa.
mzee rwanda juzi hapa tu ilikua inapigana uchumi waliutengeneza sa ngapi?
 
iran hiyo mumesema ina miaka zaidi ya 2500 na ilitawala dunia kama persin, je nikuulize hivo vikwazo imewekewa kwa miaka mingapi?
Kwa miaka tofauti tofauti.
Japo vikwazo vilivyodumu ni vya 1979 mpaka sasa.
Dunia inabadilika we jamaa.
Roman empire na Greek/Byazentine zilikua himaya kubwa lakini hazina nguvu ya kiuchumi kama hiyo zamani.
Mwaka mmoja tu wa sanctions unaweza ukairudisha nyuma nchi.
 
kabla ya huo mwaka 79 ambao ndo ilianza kuwekewa vikwazo je ilikua ina uchumi gani kidunia?
ilikua superpower? ilishawahi hata kutengeneza kombora?
 
Ilikua na uchumi mzuri ambao ulikua unalingana na Saudi Arabia.
Ila mbaya zaidi uchumi wake ulikua ukitegemea mafuta 70+% na sekta zingine hazikuinuliwa.
Na ilipotokea Iran crisis 1970s ambapo mafuta kuna kipindi yalishuka bei uchumi uliyumba.
Haikuwa na viwanda vya kuunda silaha,silaha ilikua ikinunua USA.
Viwanda vya silaha Iran vimeanza kuundwa mainly baada ya mapinduzi 1980s.
Nchi kuwa na uchumi mkubwa sio lazima iwe super power.
Super power tokea dunia inaumbwa wanajulikana hata sita hawavuki.
 
Back
Top Bottom