Aisee jamaa unajadili kimahaba sana.kwan hapa point ilikua ni gharama au kuzuia mashambulizi? unachotakiwa ujue kwa israel yeye kutumia gharama kwake sio shida linapokuja suala la usalama wake yeye atatumia gharama yeyote yeye kwake pesa sio shida, ila angalia, israel labda useme katumia gharama so kapata hasara ya pesa..ila iran magenerali wameliwa vichwa wamepotezwa so hapo nani kapata faida nani kapata hasara? pesa zinatafutwa, je hao waliokufa utawareplace na nini?
kama iran alikua analipiza kisasi basi na yeye ilitakiwa afanye mashambulizi ambayo yangeua watu nchini israel
Gharama zilizotumika kuiokoa Israel na shambulio la Iran ni za USA,UK na wengine walioshiriki kudungua hayo makombora ni Jordan na Saudi Arabia.
Imagine mataifa takriban manne yanaungana kuzuia shambulizi moja,embu vuta picha kama hizo drone na makombora yangeenda yote 300+ na angebaki mwenyewe Israel kuzuia kingetokea nini?
Kama makombora 120+ kashindwa kuyadungua kikamilifu!?
USA ilisema imetumia $ 1 billion kwenye kudungua makombora ya Iran yasifike Israel.
Aliyetumia fedha zaidi ni USA na UK sio Israel.
Pia Iran ililenga kambi ya jeshi la anga la Israel Nevatim wala haikulenga raia.
Raia wana makosa gani mpaka wauliwe kwa uzembe wa wanasiasa kama Netanyahu!?
Kwani wao ndio walirusha kombora Syria kwenye Iran consulate?