Mbona unajiuma uma bro kiasi unakosea kuandika!?ripoti zipi mzee unataka na hizo ripoti unataka upewe na nani?
Mnadai kuwa nusu ya makombora yalifeli,hao hao wanaosema nusu ya makombora yalifeli ndio waliotoa ripoti kuwa makombora yalorushwa ni 120 na 110+ yalidunguliwa na 7 yakapenya,na kiuhalisia ni kweli Iran alirusha makombora 120 zilizobakia ni drone.
Sasa kama nusu ya makombora yalifeli kwanini hawakutoa ripoti kuwa yaliruka makombora 60 na mamkombora 60 yalifeli!?
Sijui unaelewa swali!