yom kipur war nani alishinda kati ya israel na waarabu? unaongelea kuhusu mateka je kuna vita ambayo nchi haipotezi wanajeshi kwa vifo na mateka?Point yangu usifanye kama hujaiona mkuu.
Ulisema kuwa Israel hata ingeachwa ijitetee yenyewe ingeweza.
Nimekuletea mifano ya mapigano ambayo Israel iliachwa ijitetee yenyewe na maafa waliyoyapata.
Pia ulisema US kazoea kuwa na allies wake kupambana vita ila sio kama kupambana mwenyewe hawezi.
Nikakuletea the most and only successfull millitary operation ilofanywa na USA peke yao ambayo ni cabanatuan.
Tofauti na hapo walizoshiriki wenyewe zote wamefeli.
nigeria gdp ni usd 472bilion mwaka 2022
iran gdp ni usd 413.5bilion mwaka 2022
Kafuatilie Iran-Iraq war kama utaona Iran alipata war prisoners.yom kipur war nani alishinda kati ya israel na waarabu? unaongelea kuhusu mateka je kuna vita ambayo nchi haipotezi wanajeshi kwa vifo na mateka?
IRAN IRAQ WARKafuatilie Iran-Iraq war kama utaona Iran alipata war prisoners.
Six days war Israel haikupata war prisoners.
Yomkippur war ilipiganwa sehemu tofauti.
Israel vs Egypt Sinai.
Israel vs Syria Gollan heights.
Ila Israel vs Egypt sinai Israel walipoteza na wakaiachia miinuko ya Sinai na wakakimbilia maeneo karibia na mipaka ya Rafah ambayo waliyashikiria na wakaja kuyaachia katika mkataba wa Camp David.
Syria alishindwa huko Gollan heights maana hakuweza kuhimili jeshi la anga la Israel.
GDP per capital Nigeria ina watu 218 milionNigeria nchi huru haina economic sanctions.
Ila Iran ni taifa linaloandamwa na economic sanctions kila leo.
Pia tizama GDP growth tizama na ukuaji wa pato la ndani kati yao.
Pia tizama GDP per capita na GNI per capita utagundua Nigeria ilivyoachwa mbali.
Ukija katika social development ndio kabisaaa Nigeria haiikuti Iran kuanzia huduma za afya mpaka miundombinu.
View attachment 2975150View attachment 2975151
Aaah wapi.....Iran hii hii ya KhameneiUS yenyewe inaigopa Iran ikiwa Ma Al Hout wa Yemen kawakimbia iwe Iran.
US labda akapige nuclear tu ndio atamshinda Iran, lakini Iran mwendo anao kwenda nao kwenye kutengeneza silaha, US atie maji kichwani karibu atanyolewa huko huko ndani ya US.
Unatumia vigezo vibovu kupima hilo.GDP per capital Nigeria ina watu 218 milion
Iran ina watu 88 milion, ulitarajia ziwe sawa? kweli we chizi.
nchi zote zenye watu wengi kuliko ardhi wanayomiliki mara nyingi zina very poor social development, mfano angalia india, watu ni wengi kuliko ardhi, so ratio ya ardhi na watu haviendani, lazima kutakua na miundombinu mibovu.
iran ratio ya watu wake na ardhi vinaendana so anaweza kuwamudu watu wake
all in all kiuchumi iran mwenye miaka 2500 ameachwa na nigeria ambayo haina miaka 100
Niletee ripoti ya mateka wa Israel wa six days war.IRAN IRAQ WAR
The number killed on both sides was perhaps 500,000, with Iran suffering the greatest losses."[50] Iraqi casualties are estimated at 105,000–200,000 killed,[31][41][45][46] while about 400,000 had been wounded and some 70,000 taken prisoner.[33][45] Thousands of civilians on both sides died in air raids and ballistic missile attacks.[64] Prisoners taken by both countries began to be released in 1990, though some were not released until more than 10 years after the end of the conflict.
hiyo source ni ya wikipedia boss kasome.
unavosema kuna vita ambayo hakuna prisoners of war inaonesha jinsi ulivo zero brain
kwenye vita hata uwe na nguvu vipi lazima vifo vitatokea na lazima wanajeshi wako watatekwa..yan hata uwe na nguvu vipi, labda usipeleke wanajeshi uwanja wa vita ndo hutapata prisoners of war
we chizi kweli..umesema iran hakukua na mateka wa kivita nimekuonesha kwamba walikuwepo, unasema tena nikuletee wa israel..mbona hueleweki wewe?Niletee ripoti ya mateka wa Israel wa six days war.
Bro si tunajadiliana?we chizi kweli..umesema iran hakukua na mateka wa kivita nimekuonesha kwamba walikuwepo, unasema tena nikuletee wa israel..mbona hueleweki wewe?
nchi nyingi zenye watu wengi na ardhi ndogo zina poor social development we angalia nchi zote alafu nipe jibuFala wewe social development haihusiani na ardhi kijana.
Rwanda ina raia wachache lakini mbona hawana social development?
Social development inachagizwa na pato kubwa la serikali husika na sera zake za implimentation.
Nchi kama Nigeria kwasababu ina uchumi mkubwa tunatarajia huduma nzuri za kijamii kama za afya,shule,vyuo,usafiri na mengineyo.
Unajua GDP maana yake!?
Kama nchi ina GDP kubwa inamaana iko vizuri pia ina matajiri wa kuinawirisha hiyo nchi.
CHINA INA WATU SAWA KARIBIA NA BARA ZIMA LA AFRIKA ILA NI NCHI YA PILI KWA MAENDELEO DUNIANI.
JE UNALIFAHAMU HILO!?
Social development inachagizwa na pato kubwa la serikali pamoja na sera nzuri juu ya uanzishaji wa hizo huduma.
ARDHI NA WINGI WA WATU HAVIHUSIANI.
Nina doubt elimu yako.
Usije ukasahau tunaizungumzia Iran ambayo tokea 1979 ina economic sanctions ya kufanya biashara hasa ya mafuta na bidhaa za viwandani ikiwemo silaha.GDP per capital Nigeria ina watu 218 milion
Iran ina watu 88 milion, ulitarajia ziwe sawa? kweli we chizi.
nchi zote zenye watu wengi kuliko ardhi wanayomiliki mara nyingi zina very poor social development, mfano angalia india, watu ni wengi kuliko ardhi, so ratio ya ardhi na watu haviendani, lazima kutakua na miundombinu mibovu.
iran ratio ya watu wake na ardhi vinaendana so anaweza kuwamudu watu wake
all in all kiuchumi iran mwenye miaka 2500 ameachwa na nigeria ambayo haina miaka 100
Bado unatumia vigezo mfu.nchi nyingi zenye watu wengi na ardhi ndogo zina poor social development we angalia nchi zote alafu nipe jibu
china ina maendeleo mazuri lakini angalia eneo lake ina 9.59 milion sq km
rwanda ina raia wachache lakini pia eneo ni dogo sana, ardhi na watu vinahusiana pamoja na sera pia na factors zingine zinainclude, ila pia ardhi ni moja wapo ya factor muhimu sana
all in all point yetu ilikua ni uchumi sio social development, ni kwamba iran imepitwa na nigeria kiuchumi, si ndio?
iran hiyo mumesema ina miaka zaidi ya 2500 na ilitawala dunia kama persin, je nikuulize hivo vikwazo imewekewa kwa miaka mingapi?Usije ukasaha
Usije ukasahau tunaizungumzia Iran ambayo tokea 1979 ina economic sanctions ya kufanya biashara hasa ya mafuta na bidhaa za viwandani ikiwemo silaha.
Jiulize kama Iran isingekua na vikwazo vya kiuchumi ikawa ina uhuru wa kuuza nishati zake za mafuta na bidhaa za viwanda wangelikua wapi!?
mzee rwanda juzi hapa tu ilikua inapigana uchumi waliutengeneza sa ngapi?Bado unatumia vigezo mfu.
Rwanda idadi yake ya watu na ardhi yake vinaendana na resource zake zinaendana.
Ila hakuna good economic policy as well as India and Nigeria.
Jibu hapana.
Ingekua Nigeria imeipita Iran kiuchumi ningetarajia kuona Nigeria inakusanya mapato mengi serikalini ila iko tofauti.
Usiupimie uchumi kidananda hivyo we jamaa.
Kwa miaka tofauti tofauti.iran hiyo mumesema ina miaka zaidi ya 2500 na ilitawala dunia kama persin, je nikuulize hivo vikwazo imewekewa kwa miaka mingapi?
kabla ya huo mwaka 79 ambao ndo ilianza kuwekewa vikwazo je ilikua ina uchumi gani kidunia?Kwa miaka tofauti tofauti.
Japo vikwazo vilivyodumu ni vya 1979 mpaka sasa.
Dunia inabadilika we jamaa.
Roman empire na Greek/Byazentine zilikua himaya kubwa lakini hazina nguvu ya kiuchumi kama hiyo zamani.
Mwaka mmoja tu wa sanctions unaweza ukairudisha nyuma nchi.
Ilikua na uchumi mzuri ambao ulikua unalingana na Saudi Arabia.kabla ya huo mwaka 79 ambao ndo ilianza kuwekewa vikwazo je ilikua ina uchumi gani kidunia?
ilikua superpower? ilishawahi hata kutengeneza kombora?