Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Hayo mawazo huwa mnayatoa wapi?Teh teh teh! Saddam Hussein na scuds zake alijitambisha hivyohivyo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata yanayoendelea Duniani hauyajui hivi unajua kuwa Sadam sababu ya kupigwa ni lile kosa alilolifanya kuruhusu Marekani kuingia nchini kwake kufanya ukaguzi wa siraha za Nyukilia?
Kumbe wenzake walikuja kusoma aina za siraha na uwezo wake na mahali zilipo

Na ndio maana Iran amewambia ni Bora tuingie vitani kuliko kuruhusu Panya yoyote kuja kukagua siraha zangu

Nyinyi ni misukule ya Marekani tu mkishalishwa propaganda mnaamini

Ulivyo mbumbu na msukule wa Marekani ukiambiwa Sadam hajauliwa Kwa sababu anamiliki Nyukilia ila aliuliwa na marekani Kwa sababu alitaka kukata mirija ya Marekani ya kuiba mafuta Quite pia alitaka mafuta yasiuzwe Kwa Dora utabisha

Nyinyi ndio wale mazumbukuku ulimwengu upo huku
 
Sijui mengi kuhusu vita na wala sifurahii mauaji yanayoendelea kwenye mataifa hayo, ila nilichotaka kusema ni kwamba Israel has technology wazee, mtu mwenye tech kubwa obviously chance za kushinda ni kubwa.
 
Sijui mengi kuhusu vita na wala sifurahii mauaji yanayoendelea kwenye mataifa hayo, ila nilichotaka kusema ni kwamba Israel has technology wazee, mtu mwenye tech kubwa obviously chance za kushinda ni kubwa.
technology gani wanayo kuharibu vinu vya nuclear vya Iran..?
Tuache mambo ya kudhani na kutegemea miujiza pengine inatokana na propaganda na movies..
hio technology mbona imeshindwa kuwaonyesha mateka waliotekwa na hamas walipo?

Kama mateka tu wapo ndani ya Israel pale Gaza wameshindwa kujua, watakuja kuelewa vinu vyote vya nuclear vya Iran vilipo sehemu tofauti tofauti nchi nzima?
 
Huyo Saddam kwa nini hakujitetea ili aepuke fedheha?Ina maana hakuwa na uwezo ulioimbwa.Arabs & the likes ni akili ndoho tu.
NB:Jitahidi uwe una komenti kwa ufupi.Kuandika mambo meeengiii halafu pumba unajichoresha.
 
Kwanza, uwe unatoa source ya data zako ili uaminike. Mimi nimetoa wewe unashindwa nini? Na kuhusu tankers je? Huja comment chochote ? Ntaweza kukujibu ukitoa source ya data zako.
 
Yani umetuliza kidevu kabisa na kujiaminisha kwamba,kitu alichotengeneza binadamu,tena "mwarabu" hakiwezi kuharibiwa?Punguza vichekesho basi,zidisha tende!
 
Hawawezi na Iran alishatoa angalizo kwa US maana shambulizi linaweza toka Israel kumbe ni mu US, Iran asema hata jali kambi za US lazima ziwe majivu
 
Kwanza, uwe unatoa source ya data zako ili uaminike. Mimi nimetoa wewe unashindwa nini? Na kuhusu tankers je? Huja comment chochote ?
Tankers wanatumia hata drop tanks walishatumia huko nyuma...

Ipo hivi, kabla ya kuweka hio refueling aicraft, je wana ndege ya kubeba bunker buster yenye uzito wa tani 13..?
 
Yani umetuliza kidevu kabisa na kujiaminisha kwamba,kitu alichotengeneza binadamu,tena "mwarabu" hakiwezi kuharibiwa?Punguza vichekesho basi,zidisha tende!
Hii ni mipasho..
Huwa najibizana na mtu kwa facts mzee, mipasho halafu ni mwanaume mtu mzima kwangu haina maana?
Pamoja sana..
 
Mimi sio mpenzi wa movies , nasema hivi kwa sababu ya exposure kwenye tech, ukianza kuchimba utagundua tech nyingi zimegunduliwa au kuwa backed na hawa wayahudi. Hii inawabeba sana kwenye offensive and defensive cyber warfare, ila simaanishi kwamba wanajua kila kitu au wako perfect 100%.
 
Kwa vyovyote vile nuclear site ya Iran ikishambuliwa ni US karatibu zoezi 100% hilo halina ubishi
 
Kwa vyovyote vile nuclear site ya Iran ikishambuliwa ni US karibu zoezi 100% hilo halina ubishi
Sasa unatakaje kutenganisha US na Israel?Kwamba teke likikupiga hutaki.Unataka upigwe na ngumi wakati mwili ni uleule?
 
Mataifa mengi tu yamechangia katika Tech iliyopo duniani.. hizo ni propaganda..

Shida yenu, unaweza kukuta NASA ina engineers 100 kwa mfano, lakini kati ya hao wakitokea wawili ama 10 wakawa ni wayahudi basi ngonjera zitaanza kwamba bila hao wayahudi hio project haiwezekani...

Haya matangopori sijui mnatoa wapi?

Kila nchi, taifa, dini na hata kabila zilizochangia kwenye ukuaji wa tech , uchangiaji wao ulikuwa na umuhimu mkubwa pengine wasingekuwepo kuna vitu visingefanyika...
 
Sasa unatakaje kutenganisha US na Israel?Kwamba teke likikupiga hutaki.Unataka upigwe na ngumi wakati mwili ni uleule?
Ndio maana na Iran nao wameshtuka wakatoa angalizo nuclear site yake iende, lakini Marekani hata baki na kambi hata moja pale M.E, hivyo Marekani achague kuharibu nuclear au afunge virago M.E.

Wala Iran hana haja na kutengeneza bomu yeye anatamani kikwazo viondolewe na ndio maana amefanya urutubishaji ili kutrigger deal na kweli wako kwenye negotiations sasa terms mojawapo kataka mpunga wake wote arudishiwe na vikwazo vyote vifutwe yeye ataruhusu wakague na hatafanya urutubishaji zaid ya 3%
 
Muda utanena yaliyo mema.Hata Hezbollah, Hamas na Houth zilikuwa ni el-hadith kama hizo tu.
 
Hapo amekutana na muajemi akili nyingi, na ukiangalia Iran imejifunza kama sana kutoka Iraq na Syria kwa yaliowatokea, kuanzia mashambulizi ya vinu vya nuclear n.k

Mfano mzuri Iraq ilijenga kinu kama uwanja wa mkapa, kipo wazi, hata Syria vile vile ndio maana vilipigwa na ndege za Israel..

Iran ikakaa chini ikaona dawa ni kuweka vinu chini ya milima, kitu ambacho Israel imekosa jibu ifanye nini kuharibu, wameitahidi kuua wanasayansi lakini nyuma kuna wanasayansi kama wote, akifa huyu yule anaendelea..

Kingine ukaguzi, hili ndilo lilifanya Sadam apigwe...

US na Israel wanakosa usingizi kutaka kufahamu Iran imefikia wapi kijeshi hasa kwenye nuclear...
Ngoma bado ni ngumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…