Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

Sawa kiongozi nimekuelewa, mimi hebu niendelee kusoma comments za wataalamu wa mambo hapa
 
Kwa maneno yako hayo Israel wanasema uongo hawana uwezo wa kuishambulia Iran? Je hawajawahi kuishambulia Iran?
 
Mi nachotafakari anawezaje kushambulia hivyo vinu?
Israel inachofanya ni Saber-rattling, kwa maana mziki wa Iran wanautambua vyema...
Narudia tena zinapoishia nchi za kiarabu na Uajemi kufikiria hapohapo ndipo Israel inaanzia kwa kwenda mbele. Israel wasingekuwa na uwezo hata wasingeweza kusema lolote juu yao!!
 
Muda utanena yaliyo mema.Hata Hezbollah, Hamas na Houth zilikuwa ni el-hadith kama hizo tu.
Hizbollah,Hamas na Houth bado wanafanya oparation zao kama kawaida. Al Houth kafunga anga na bahari, Hamas bado anakupumulia na amekataa ceasefire jana, hizbollah yuko kwenye ceasefire na myahudi hivyo anajipanga kivyake na taarifa juzi Katuma drone ya intelligence ikarudi salama myaudi kachukia kusambaza mjengo mzima eti ni wa hizbo kati walishahama siku nyingi.
 
Kuna watu humu jamiiforums naweza kupingana nao kwa hoja, na hizi mada tulishajadili humu miaka nyuma..

Wewe ni taarabu tu huwa unaimba.. hujui hochote kuhusu geopolitics na masuala ya kijeshi... ni mahaba juu ya Israel yamekujaa..
Nitakuwa nakukumbusha Ila tu usije kuzima simu!!!!
 
Nitakuwa nakukumbusha Ila tu usije kuzima simu!!!!
🫸🫷🧐
 
Mi nachotafakari anawezaje kushambulia hivyo vinu?
Israel inachofanya ni Saber-rattling, kwa maana mziki wa Iran wanautambua vyema...
Hujaweza kunipa source ya data zako. Hakuna cha muziki wa Iran kwani walidundwa na Israel mwaka jana na hawakufanya lolote (nimetoa source). Anyway, tusubiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…