Wewe huwezi ukajua uwezo wa Israel ila Iran wanajua uwezo wake na hilo linathibitishwa na Iran yenyewe kwenye mazungumzo yao yanayohusu urutubishaji wa madini ya nyukiria kati yake na Marekan ambapo Iran wameionya Marekan kuwa endapo Israel itavishambulia vinu vya nyukria vya Iran,Iran itaiadhibu Marekan.Israel haina huo uwezo na hio teknolojia hawana... wanaongea kama propaganda tu..
Kwani ilikuaje wakamuua Mkuu wa Hamas kwenye safe house za Ikulu ya Teheran ?Israel haina huo uwezo na hio teknolojia hawana... wanaongea kama propaganda tu..
Eti Houth wamefunga anga hivi wewe unajitambua kweli?Hizbollah,Hamas na Houth bado wanafanya oparation zao kama kawaida. Al Houth kafunga anga na bahari, Hamas bado anakupumulia na amekataa ceasefire jana, hizbollah yuko kwenye ceasefire na myahudi hivyo anajipanga kivyake na taarifa juzi Katuma drone ya intelligence ikarudi salama myaudi kachukia kusambaza mjengo mzima eti ni wa hizbo kati walishahama siku nyingi.
Kwahio hilo shambulio ndio limeonyesha Houth hajafunga anga?Eti Houth wamefunga anga hivi wewe unajitambua kweli?
View: https://x.com/osint613/status/1927992003398135891?s=61
View: https://x.com/osint613/status/1928365949779906901?s=61
Sources za data zipi unahitaji? uwezo wa ndege za Israel kama hizo F-15I ?Hujaweza kunipa source ya data zako. Hakuna cha muziki wa Iran kwani walidundwa na Israel mwaka jana na hawakufanya lolote (nimetoa source). Anyway, tusubiri...
Kwani ilikuaje mamia makombora na drones zilizosafiri km zaidi 2000 kuingia kwenye anga la Israel nchi inayosifika kuwa na kinga bora ya anga duniani?Kwani ilikuaje wakamuua Mkuu wa Hamas kwenye safe house za Ikulu ya Teheran ?
Wewe ndiye Shoga D363:Acha kushabikia mashoga wewe,upinde
The strongest and modern army in middle eastIsrael haina huo uwezo na hio teknolojia hawana... wanaongea kama propaganda tu..
Astafilulaah kitumbua si andazi kwa taarifa yako Ben~Gurion inafanya kazi haijawahi kufungwa na mimi June 08,2025 siku ya Jumapili nitaondoka kupitia uwanja huo kurudi nyumbani.Yemeni Armed Forces Statement: Hypersonic Strike on Ben Gurion Airport
➖
🇾🇪|🤔 In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful
"Allah will certainly support those who support Him. Indeed, Allah is Powerful and Exalted in Might" (Quran 22:40)
The Yemeni Rocket Force has successfully struck Tel Aviv's Ben Gurion Airport (Lod) with a hypersonic ballistic missile, achieving:
• Complete operational success by Allah's grace
• Mass evacuation of Zionist settlers to shelters
• Total shutdown of airport operations
We reaffirm our commitment to:
Continue supporting Palestinian resistance
Maintain aerial blockade on Israeli aviation
Escalate operations until Gaza siege is lifted
"Allah is sufficient for us, and He is the best disposer of affairs"
Long live free Yemen - Victory to all freedom fighters
➖
🌟@DEQNEWS
Hapo amekutana na muajemi akili nyingi, na ukiangalia Iran imejifunza kama sana kutoka Iraq na Syria kwa yaliowatokea, kuanzia mashambulizi ya vinu vya nuclear n.k
Mfano mzuri Iraq ilijenga kinu kama uwanja wa mkapa, kipo wazi, hata Syria vile vile ndio maana vilipigwa na ndege za Israel..
Iran ikakaa chini ikaona dawa ni kuweka vinu chini ya milima, kitu ambacho Israel imekosa jibu ifanye nini kuharibu, wameitahidi kuua wanasayansi lakini nyuma kuna wanasayansi kama wote, akifa huyu yule anaendelea..
Kingine ukaguzi, hili ndilo lilifanya Sadam apigwe...
US na Israel wanakosa usingizi kutaka kufahamu Iran imefikia wapi kijeshi hasa kwenye nuclear...
Ngoma bado ni ngumu..
Iran inaizidi Israel kwenye ranks katika nguvu za kijeshi hii yako umetoa wapi?The strongest and modern army in middle east
Umeelewa lakini taarifa iliyotolewa? Ni marufuku kwenda Ben Gurion Hio ndio taarifa muyemen kuwatangazia ulimwengu sasa nyie mfunge msifunge mtajua wenyewe kazi ya ansarallah ni kuhakikisha anga haliko salama kwa ndege za raia, na ndio maana mashirika yanayojitambua kama British,France na wengine wamesitisha safariAstafilulaah kitumbua si andazi kwa taarifa yako Ben~Gurion inafanya kazi haijawahi kufungwa na mimi June 08,2025 siku ya Jumapili nitaondoka kupitia uwanja huo kurudi nyumbani.
Uongo uongo wewe unapenda sana toka asubuhi nasikia miungurumo ya midege kuruka na kutua kutokea hapo!! Israel si ya kutisha na Houth huoni sasa wao ndiyo wamefunga anga ndege yao iliyobaki nayo imeangamizwa!!!!!!!!!
Wa kupambana na Israel bado kabisa hajazaliwa!!!! Na lazima mjue Israel ni Kidume huko Mashariki ya kati na huko Uajemi!!