Orthodox ndo thehebu la kwanza la kumtambua kristo. Baada ya Mitume kutawanyika walienda Asia na ulaya. Waliowapokea ndo walianzisha ukristo huo. By then kulikuwa hakuna cha dhehebu mpaka wale wa West alipotaka wawe wote kundi moja ila wa East walisama papa mmoja hawezi kutawala watu wote hao. That was the how the East was called Orthodox na west wakabaki na Papa wa Roma tuliye naye sasa. Google upate habari na historia kamili.Wakatoliki na Orthodoxy wana tofauti gani?
Soma vzr ndg yangu na usome kuhusu the great schism.uongo ni dhambiOrthodox ndo thehebu la kwanza la kumtambua kristo. Baada ya Mitume kutawanyika walienda Asia na ulaya. Waliowapokea ndo walianzisha ukristo huo. By then kulikuwa hakuna cha dhehebu mpaka wale wa West alipotaka wawe wote kundi moja ila wa East walisama papa mmoja hawezi kutawala watu wote hao. That was the how the East was called Orthodox na west wakabaki na Papa wa Roma tuliye naye sasa. Google upate habari na historia kamili.
Mkuu hapa tunaenda na vifungu pekee sio maoni yako..... Naomba unieleweshe Paulo alimaanisha nini hapa kusema wakristo ni taifa teule sasa naomba unijibu ni lini waisrael wamemkubali kristo hadi wawe taifa teule???Israel ni ile ile ndugu usije ukawahukumu kuwa ni wakosaji maana taifa ni lile lile wana wa Yuda
Sasa ina maana paulo alipotosha aliposema wakristo ndio taifa teule na kama hakupotosha unaweza nieleza alimaanisha nini??Israeli ni taifa teule upende usipende na ni mpango wa Mungu kuwa Mataifa mengine yamjue Mungu kupitia Israeli lakini hukumu Za Mungu zinawalenga watenda dhambi wote wakiwemo wana wa Israeli !
Unaweza leta ushahidi kuthibitisha kuwa Israel ya leo inakaliwa na original kabila la Yuda??? Tuanzie hapo kwanzaKwa nini sasa ni kabila Mona to LA Yuda kioo Israeli lakini Simu Zach mwisho makabila yote kumi "yaliyopotea" utumwani Mungu atayarudisha kuungana na Yuda soma Ezekiel 37:19 au Jeremiah 30:3 Mahala pengine Mungu anaita Israeli urithi wake soma Zaburi 94: 14
Umenena vyema.Israeli ni taifa teule upende usipende na ni mpango wa Mungu kuwa Mataifa mengine yamjue Mungu kupitia Israeli lakini hukumu Za Mungu zinawalenga watenda dhambi wote wakiwemo wana wa Israeli !
Mkuu mi natofautiana nawewe kidogo ukisoma injili ya Mathayo 21 :33-46 unaona Yesu anawaambia mafarisayo kwa mifano ,mifano ambayo ilikua inawahusu kwani yote walifanya na Mfano wa Mwisho unaona mwenye shamba anamtuma Mwana nadhani unajua ule Mfano unamaanisha nini ila pia huyo Mwana wanamuua. Mistari iliyoendelea unaona kabisa Yesu anawaambia ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Kwa mistari hii ukiitafakari unaona kabisa taifa jengine ndio wakristo na wayahudi walinyang'anywa kutokana na makosa yao.
Naweza nikasahahihishwa
Kumbuka ukiacha hao wanasheria na mafarisayo je asilimia ngapi ya wayahudi walimkubali Yesu Kama Mwokozi wao?Kwa mtazamo wangu ni kwamba kulikuwa na mafarisayo na wanasheria na kwa leo ungewaita elites,,,hawa Yesu hakuwataka kabisa maana walikuwa wanafki.ila sio watu wote wa Israel walikuwa mafarisayo na wanasheria,,ilikuwa ni sehemu ya watu wachache.Na kufa kwa Yesu pia sio wayahudi wote walifurahia,,kuna wengi tu walimuona ana haki,,,ila wale elites wengi wao ndio walitaka afe tena na baadhi yao walimuona ana haki pia ila kwa kuwa lilikuwa jambo lenye msukumo wa rohoni hawakuweza kulipinga.Kanisa halijachukua haki yote ya wana wa Israel..Na hata wayahudi kumuua Yesu walikuwa wanatimiza kusudio lililokuwa la zamani kabla ya kuwepo taifa la Israel.Kumbuka hapa duniani hata hao wayahudi wanatumikia makusudio yanayotakiwa yatekelezwe.Hawapo kama wamiliki ila wenye kumilikiwa,,na kwao ni njia ya kupitia Mambo mengi ya dunia.
Hahahaha mkuu humkubali paulo amaTatizo ni hapo unapotumia vitabu vilivyoandikwa na Paulo, ila ni wazi Waisrael ni wateule lakini sio Hawa tuwaonao pale Israel. Waishio Israel sasa wengi ni Wazungu wanaojifanya Waisrael ili kulitumia Taifa teule kukubalika kwa Sera zao Ulimwenguni, na hili wameshafanikiwa pakubwa sana
Hahaa...Taifa Teule, sasa iweje Mungu ambaye hana upendeleo awe na taifa teule tena? Ina maana kuna watu wengine wanakuwa na maana zaidi kwake kisa wamezaliwa sehemu fulani ya Dunia tu na sio matendo yao?
Mkuu labda sijaeleweka hakuna mahali nimesema Mungu kavunja AGANO na Abraham na Israel
Pia nimekubali Israel ni nchi ya ahadi
Pia nimekubali Israel ilichaguliwa na Mungu
Pia nimekubali Israel inahusika na unabii wa siku za mwisho
LAKINI nachohoji Israel ni nani kwa muktadha wa agano jipya.... Je ni lile taifa la kina Netanyahu lililopo pale mashariki ya kati au ni wakristo yaani waliomfuata Yesu.
Na nimeweka hapo mistari juu hivyo jikite hapo je Israel ni nani??
Natanguliza shukrani
Kumbuka ukiacha hao wanasheria na mafarisayo je asilimia ngapi ya wayahudi walimkubali Yesu Kama Mwokozi wao?
Kwaio unaona wayahudi wengi wao walimkataa nasisi tumepata wokovu kwa Neema,kwaio lile andiko kwamba Ufalme wa Mungu kuondolewa kwao na kuwapa wengine ambao ni wakristo limetokea