Show ya Kule Hamas Wana nafuu,Tuwaombee tu, maana mtu akisha kufa, KAZI inaanza, na hakuna TOBA kule,
Ni KAZI KAZI, kutinduliwa, kuunguzwa, tocharing Kwa kwenda mbele!!
Hiyo peke yake inatosha kumchoma mtu milele na milele? Then wafaidike na nini?Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
Kule mtu anaitwa ndani ya blender na kusagwa kama juc,Show ya Kule Hamas Wana nafuu,
Dubwana Huyo anaeitwa JEHANAM,Anakalisha show zote za duniani ,za mateso zionekana ni show mbovu,
Dhiki,njaa mateso na ugaidi unaoendelea Sasa duniani hizo zote ni show mbovu,
JEHANAM Amewekwa kwaajili ya zile show za funga kazi,
Show zote mbovu za mateso ya Dunia ,ukizijumlisha inaipata show Moja nayo ni JEHANAM
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,
Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,
Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,
Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,
Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,
Nawasilisha,
Karibuni,
RabbonNi ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
KirangaWana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na wengine husema ya Milele,
Lipi jibu sahihi,
Je,jehanam ZIWA LA MOTO NA ADHABU ZAKE ni za Milele au za Muda tu sio za Milele,
Naomba Uzi huu ,utumike kumaliza utata huo,
Kwa Kila mtu humu kuchangia na haswa wanatheolojia ,
Naomba muwa-tag watu wote ambao unaona michango yao itakuwa inamanufaa humu,
Nawasilisha,
Karibuni,
Wanajidanganya,Rabbon
Kinacho nifanya ,ni ulize,
Kuna upande wao wanasema sio Milele,
Ngoja nielezee,wanacho dai,
.wao wanasema kuwa,ashabu ya Ziwa la moto sio la Milele,SABABU YAO WANAYOITOWA NI KUWA WATU HAO HAWANA UZIMA WA MILELE UTAOWAWEZESHA KUISHI MILELE ,HIVYO WATA KUFA KWA KUKOSA UZIMA WA MILELE NA HIO NDIO HOJA YAO NA,
KWA UPANDE WA PILI YESU NA UFUNUO WA YOHANA INAGUSIA HABARI ZA MILELE,
SASA HAPO NDIPO KUNA MVITANO WA UWELEWA WA KIMAANDIKO KUNA WATU WANAICHIKULIA MAUTI YA PILI KAMA HII YA KIMWILI YAANI WANAKUDA NA ROHO ZAO KUPOTEA KABISA HIO NDIO MAUTI YA PILI NAKUNA WANAO SEMA ROHO HAZIFI ,HIVYO MOTO ILE ADHABU NDIO KIWAKILISHI CHA MAUTI YAO YA PILI BILA ROHO KUDA AU KUPOTEA
milele kwa maana kwamba mtu anachomwa tu moto anaungu halafu hafi au?Ni ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
(Marko 9:48)Rabbon
"*Una hoja nzuri,nimeipenda hii uliosema,
Mtu ni ROHO, Roho Haina mwisho.
Ni whether uingie Mbinguni uishi milele, au uchomwe JEHANUM milele.
Roho has got no end.*"
Vipi kuusu mfano wa uchafu, huteketezwa lengo ni Ili uteketee usiwepo,
Na wanasema Mungu anaweza teketeza hata Roho ikapotea,
Jehanamu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Maisha ya Watanzania tayari wapo motoni, sasa kuna moto zaidi ya huu?Haya mambo niliacha kuyaamini nikiwa na miaka 8 hakuna Cha moto wala Nini ishi ufe uoze urutubishe ardhi ecosystem iendelee
Inabidi uwe kichaa ili kuziamini story kama hizi.Sasa why mungu atese watoto wake wew unaweza tesa watot wako kisa wamenyoa kiduku au model