Itaeleweka tu siku hio ,show yake JEHANAM sio ya kitoto,Huwa najiuliza nawezaje kuhisi maumivu huko motoni when never system yangu nimeiacha kabulini?
Oli uache kutenda dhambi.Hiyo peke yake inatosha kumchoma mtu milele na milele? Then wafaidike na nini?
Kinachounguzwa sio mwili, ni nafsi.Huwa najiuliza nawezaje kuhisi maumivu huko motoni when never system yangu nimeiacha kabulini?
Ni mileleWana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Mtoto unayemlipia ada ukisikia ameleta mwanamke na anamkula kitandani mwa mama yako utajisikiaje?Sasa why mungu atese watoto wake wew unaweza tesa watot wako kisa wamenyoa kiduku au model
🙏🙏Kinachounguzwa sio mwili, ni nafsi.
Mtu akikutukana tusi zito la udhaifu wako, unadhani maumivu unayapata kwenye mwili?
Ndio, moyo huenda utaenda mbio, na hata usingizi utakosa, lakini maumivu hayapo kwa mwili..yapo kwa nafsi yako, kwenye ule umilele, ambapo Mungu ndio kontawa.
Hii ndio sababu... Matatizo ya rohoni ni ya milele, haijalishi una mwili au laa..
Kuletewa Yesu Kisto duniani ni Mungu mwenyewe kaja duniani kwa njia ya mwili ili kukusamehe dhambi zako..ili kurekebisha na kukupa nafasi nyingine ya kukupenda..
Unapotenda dhambi Mungu hakusemeshi na anakata net na wewe.
Ila ukitubu kwa kumkiri kristo, unapata ku- flash udhaifu wako.
Hii sayansi ya kiroho hakuna anayeweza kumzidi kristo hapa duniani kwa sababu ni Mungu mwenyewe katika mwili.
Hapa kuna mengi ya kujifunza na unaweza usielewe yote kwa siku moja.
Ila ujue tuu kuwa hautoeza kwenda Mbinguni bila Kumkiri Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako (ya kiroho)
Kumbuka Mungu hahangaiki na vya mwilini, maana hivi vyote ni vya adui, yeye anaishi kwenye vya rohoni ambavyo ni vya milele
Kwanini matendo yanaifadhika kwenye nafsi Milele ?Oli uache kutenda dhambi.
Hivi ushajiuliza kuwa matendo unayoyafanya katika mwili kwanini yanahifadhika milele kwenye nafsi yako?
Ukijua hili vizuri, utajua kwanini kuna Mungu, kuna Moto, na kwanini kuna dhambi na Mauti.
Unaweza kuzini leo lakini madhara yake yakadumu mpaka uzee..kwamba ulimkula miss tanzania, au mke wa mtu..na kadhalika.
Kwa Nini matendo yana hifadhika kwenye nafsi na sio kwenye Roho ,Mtoto unayemlipia ada ukisikia ameleta mwanamke na anamkula kitandani mwa mama yako utajisikiaje?
Pale kwenye kitanda ulichomtoa mwanao kiunoni, yeye ndio kaleta goma lake. Alafu anaishi nalo?
Kama utamsamehe, basi unapaswa ukapimwe akili yako..yamkini kuna sehemu haipo sawa.
Mshahara wa dhambi ni mauti, na Mungu ana hasira kuu isiyo na kipimo, ♾️
Sasa yanini kumkasirisha kisa una hamu ya kunjunja?
Kwanini usitulie na kumtii Baba yako aliye Mbinguni ambaye amekuumba kwa thamani kubwa na kukufanya kuwa hekalu?
Nawe unalichafua kwa dhambi, na kumshuhudia Roho Mtakatifu dhidi ya dhambi zako zote?
Man JauOli uache kutenda dhambi.
Hivi ushajiuliza kuwa matendo unayoyafanya katika mwili kwanini yanahifadhika milele kwenye nafsi yako?
Ukijua hili vizuri, utajua kwanini kuna Mungu, kuna Moto, na kwanini kuna dhambi na Mauti.
Unaweza kuzini leo lakini madhara yake yakadumu mpaka uzee..kwamba ulimkula miss tanzania, au mke wa mtu..na kadhalika.
It’s 2024 and we're still having to argue about ancient fairytaleMan Jau
Umemwambia Aache kutenda Dhambi,
Nikukumbushe kitu,
Ni hivi
Iwe kutenda Dhambi au utakatifu ,haitokani na mtu yoyote Ila nguvu iliotawala mtu Huyo,
Ni sawa na kusema nguvu Fulani imeatamia mtu Huyo ,Sasa utamwambiaje Aache kutenda Dhambi , hivi unajua hata uwo utakatifu unao mshauri aufuate sio yeye Ila tu ni Kwa njia ya Ile nguvu ikiingia ndani ya mtu na kusambaratisha Utawala wa nguvu ulioikuta ndani ya mtu Sasa ule Utawala wa nguvu ovu ukisambalatisha na Utawala wa Nuru ,
Ndipo hapo mtu Huwa huru Katika Roho yake ,Katika kutenda utakatifu wote maana utumwa au shinikizo la Giza lililo myweka Katika utumwa wa dhambi ,ambao Leo hii huku mwilini unamuuona kama jamaa ni mpenda dhambi Sana ,Kila likipita Tako kalionla kike analitamani ,
Bila kujua teari Kuna boliti LIKO macho I pake linabmpa kukosea,
Sasa unaona kuwa hili swala sio mbio za mtu mkuu,
Siku nyingine ,usimwambie mtu ,Aache dhambi maana sio yeye,ni kitu kingine Kiko ndani yake,
Zungumza naye mtu kiroho,na sio kimwili kama hivyo ,mtu Huyo hato acha dhambi maana nguvu ya kimwili ndio iliotawala Roho yake mtu Huyo hato kuelewa ukiendelea na wewe kumpa lugha za kimwili
Zungumza kiroho Ili nguvu ya Roho ije kukamata mwili wake na huo ndio ushindi,na hapo Sasa man Jau mtu wa aina hio nae,HATOKUJA KUELEWA LUGHA YA MAMBO YA KIMWILI ATAELEWA LUGHA ZA KIROHO NA MTU HUYO UKIZUNGUMZA AU KUPANDA NENO LA KIROHO NDIPO HAPO MBEGU ITAOTA NA KUMEA,
Sasa huko watachoma kitu gani maana siyo miili hii ya nyama. Na kingine kama ni suala la kuchomwa milele si watu watazoeaNi ya milele na milele. Mtu akishindwa kumwamini na kumkiri Yesu Kristo akiwa hai, maana yake hajaamini kuwa Yesu alishuka kumwokoa kwa kufa na kufufuka. Hajaamini wala kuthamini jambo hili muhimu kwa hiyo hawezi kwenda mbinguni. Kinyume ni jehanam ya milele na milele
Mkuu huko jehanamu zitachomwa nini? Kama ni roho zitasikiaje maumivu? Kama hayo maumivu ni ya milele si yatazoelekaMAUTI YA KWANZA.
Ni mtu anapokufa, mwili hubaki kaburini, Yeye hupelekwa kutunza Mahali temporary ( KUZIMU) ni Kwa wale watenda dhambi, wasiookoka, ambao Majina Yao hayapo kitabu Cha Uzima, ni wale wasio na ALAMA ya Mungu katika paji za nyuso zao.
MAUTI YA PILI.
Hii ni pale Yesu ataporudi mara ya pili na kuuhukumu Ulimwengu.
(Ufunuo 20:14-15)
MAUTI na kuzimu vitatupwa katika ziwa la Moto( JEHANUM). Hiyo ndiyo MAUTI ya pili, yaani MAUTI na kuzimu kutupwa katika ziwa la Moto Kwa watenda dhambi, wasioandikwa Majina Yao katika kitabu Cha Uzima.
Hadi tunavyoongea nw, Ziwa la Moto halijaumbwa Bado, Hadi muda ufike.
CONCLUSION.
Kuzimu ni temporary, gereza la muda.
JEHANUM ni gereza la milele.
Ubarikiwe.
Pia soma thread: Live Kutoka kuzimu - Rabbon, Kwa uelewa zaidi.
We jamaa hebu acha kutuuzia uoga bana😂Show ya Kule Hamas Wana nafuu,
Dubwana Huyo anaeitwa JEHANAM,Anakalisha show zote za duniani ,za mateso zionekana ni show mbovu,
Dhiki,njaa mateso na ugaidi unaoendelea Sasa duniani hizo zote ni show mbovu,
JEHANAM Amewekwa kwaajili ya zile show za funga kazi,
Show zote mbovu za mateso ya Dunia ,ukizijumlisha inaipata show Moja nayo ni JEHANAM
Huko ni bikra za kutosha unapiga inarudi, misosi mitungi na pamba kama zote Alafu nimeambiwa iPhone 98 imetoka ukifika unapewa na hakuna VPN wala nape nauye kufunga uhuru wa internetWana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,