Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Naona genta siku hizi neno " kutukuka" umeacha kulitaja
 
Nilishuhudia hii kuna Dada mmoja yupo kwenye boya alikuwa anafuraha wakafika maji mengi waliporudi Dada kanuna sikuona kufurahi nikasikia wajuba wanaongea tayari jamaa kashakula mzigo tena wengine uwaga wanazibuaga mtaro
Kwa Kuzibua 'Mtaro' ndani ya Maji ni ngumu kulingana na 'Mazingira' husika na aina ya 'Mikao' ila kwa 'Mbunyeni' huwa ni rahisi mno na ya haraka.
 
mbona unaenda sana beach mkui
Kwani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakataza Mtanzania yoyote kwenda katika Fukwe ( Beaches ) Mkuu hadi unishangae hivi pia?
 
Wwe nawe ni wakulaumiwa pia Baba mzima unamruhusu vp binti yako na mkewo wakafundishwe kuogelea na Ma beach boy!? Hata ningekua Mimi ningewagonga tu,si wako kwenye himaya yangu! Mimi ndiyo ninahatima ya Maisha yao kwa wakati huo!! Wajibika acha kila kitu kuwalaumu Police wetu,Wana Mambo mengi sana ya msingi na siyo ya kusindikiza watu wanaoenda Baharini kufundishana kuogelea, ndiyo maana mnapuuzwa!!
 
Stupid.
 
Kama ni kweli basi dar inabidi kweli watu waingie kwa viza

Maana awa ni mikoani tu
 
Hapa nipo kibo beach nashuhudia mbele yangu wanafanya ila cha ajabu hawa mabinti wanataka wenyewe. Wala hakatai
 
jesh la police wana kazi moja tu, kutetea interest za ccm na mr mungu mtu. OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…