Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Naona genta siku hizi neno " kutukuka" umeacha kulitaja
 
Nilishuhudia hii kuna Dada mmoja yupo kwenye boya alikuwa anafuraha wakafika maji mengi waliporudi Dada kanuna sikuona kufurahi nikasikia wajuba wanaongea tayari jamaa kashakula mzigo tena wengine uwaga wanazibuaga mtaro
Kwa Kuzibua 'Mtaro' ndani ya Maji ni ngumu kulingana na 'Mazingira' husika na aina ya 'Mikao' ila kwa 'Mbunyeni' huwa ni rahisi mno na ya haraka.
 
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono 'Majini' na kuwapa Mimba na Kuwaambukiza VVU / UKIMWI?

Nilianza Kulishuhudia Kawe Beach kisha baadae nikaliona tena Coco Beach nikadhani labda ni Wao tu lakini hivi karibuni nimelishuhudia tena Kunduchi Beach na hivi ninavyoandika nimetoka Kulishuhudia Ununio Beach. Kama Kazi ya Kukabiliana nao hawa 'Wahuni' imewashinda hebu turuhusuni basi Sisi Raia akina GENTAMYCINE tumalizane nao 'Kimafia' zaidi na mtawakuta 'Mochwari' huko.

Inakera, inaudhi na haivumiliki tena. Wana JamiiForums wengi tu hapa wameshaliibua hili na nilidhani ilikuwa ni wakati 'muafaka' kabisa Kwenu kulitatua ila naona 'mnalikodolea' tu. Labda Siku Wake zenu na Watoto wenu (hasa Mabinti) wakienda 'Kukojolewa' ndani ya Maji huku Samaki wakiwa wanashuhudia na kuchekelea ndani ya Maji na mkiumia 'Mioyo' yenu ndipo mtatuelewa Wadau.
Wwe nawe ni wakulaumiwa pia Baba mzima unamruhusu vp binti yako na mkewo wakafundishwe kuogelea na Ma beach boy!? Hata ningekua Mimi ningewagonga tu,si wako kwenye himaya yangu! Mimi ndiyo ninahatima ya Maisha yao kwa wakati huo!! Wajibika acha kila kitu kuwalaumu Police wetu,Wana Mambo mengi sana ya msingi na siyo ya kusindikiza watu wanaoenda Baharini kufundishana kuogelea, ndiyo maana mnapuuzwa!!
 
Stupid.
 
Kama ni kweli basi dar inabidi kweli watu waingie kwa viza

Maana awa ni mikoani tu
 
Hapa nipo kibo beach nashuhudia mbele yangu wanafanya ila cha ajabu hawa mabinti wanataka wenyewe. Wala hakatai
 
jesh la police wana kazi moja tu, kutetea interest za ccm na mr mungu mtu. OVA
 
Back
Top Bottom