Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Hilo tatizo mostly lipo Kawe Beach.

Wale vijana Ni wa hovyo sana. Mara kadhaa nimewahi kushuhudia kitu Kama hiko hapo Kawe.
Hapo kawe naona hao beach boys wapo active sana na hata idadi ya mapira ni kubwa sana, ila idadi ya watu siyo kubwa ukilinganisha na coco, nafikiri huenda kuna mazingira yanayorahisisha hayo yatokee zaidi hapo kawe.
 
Naingiaje kuogelea uchi kwa mfano
Itakuwa hujui wanakulaje mbususu hao vijana.

Wanachokifanya wakikuona binti mrembo mashallah wanakuja kadhaa na mapira yao ya kukuogelea na kukupa ukalie juu Kisha wakusukume na kukuburidha Kama binti mfalme. Ukishanogewa na utamu wa mpira na kuzungushwa ndani ya maji unakuja kustuka upo maji makubwa alafu mbali na ufukwe waliko watu.

Hapo ndiyo wanaanza kukutisha "asee sikia hapa hutoki bila sisi kukutom*** na ukikataa tunakunyang'anya mpira wetu urudi nchi kavu mwenyewe tuone Kama utafika" hapo tayari Kuna mmoja keshaanza kukufanyia uhuni,na kwa macho makavu na ya ukatili wanayokuangalia unajikuta huwezi kupiga kelele Wala kukataa wanachokufanyia.

Hawa wahuni wapo Kawe beach na longoni/mikadi beach kigamboni. Wana usela mavi Sana. Kuwa makini Ukiwa kwenye hizo beach Kama upo Dar.
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
Mkuu kwa heshima uliyonayo unawezaje kwenda beach za bei rahisi.. hebu ongeza ufanisi..
 
Bila picha habari hainogi
 
Aliyekuambia na Kukudanganya kuwa ukiingia umevaa Chupi lako la Karume Beacb Boy hawezi kukupitishia Bolo lake myuuuuuuuuuu huku Samaki na Dagaa wakila Chabo chini ya Maji nani?
Ukijiridhisha mkeo ameogelea bila kiguswa na jioni wkt wa 6*6 ukikuta k yake ina chumvi utamuuliza hii chumvi bahari imetokea wapi?

Au utakumbuka kuchapiwa ni siri ya ndani? Na ukae kimya?
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
Wadada wanaliwa sana na wale jamaa
 
Mkuu kwa heshima uliyonayo unawezaje kwenda beach za bei rahisi.. hebu ongeza ufanisi..
Nyie watu msioishi pande za ufukweni ndiyo mna mentally hizi. Ukisoma alichoandika GENTAMYCINE ni kwamba alikuwa anafanya mazoezi Kisha akaingia beach. Sasa hapo vinahusiana vipi na swala la beach za Bei rahisi au Bei juu?

Mimi pia kila siku kabla ya kuingia job lazima nifanye mazoezi na Kisha kuingia beach kuogelea,alafu narudi nyumbani kujiandaa na safari ya kwenda kutafuta mkate.
 
"""Ile chumvi inayopatikana ndani ya maji+ule msuguano wakati wa mzagamuano ni dawa bora kabisa na nzuri mnoo dhidi ya fangasi wa sehemu za siri kwa pande zote mbili yaani Me na Ke,,utapigana sana ukitaka kuyafuatilia hayo mambo ya hawa wakina HAWA,,kyuma yake,,,maamuzi ya kuitoa ni juu yake,,namna na sehemu gani ataitoa yapo juu yake alafu ni mtu mzima tayari ana maamuzi yake binafsi,,,Wewe unataka kumfuatilia na kumpangia,,,utapoteza muda na nguvu zako bure kwa mambo ambayo,,,yalishashindikana tangu enzi na enzi na bado yanaendelea kushindikana kama ushuhudiavyo,,,na yataendelea kushindikana vivyo hivyo kizazi na kizazi,,,inakuwa updated tuu kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia na maendeleo ya kipindi hicho cha kizazi husika!!!Na ndio maan wenzetu wazungu wameona bora kufuatilia maisha ya viumbe wengine na kutengeneza dokumentari za maisha ya hao viumbe wengine,,,wameachana na kiumbe binadamu kwa kuwa hakitabiriki kirahisi ni ngumu mnoo kumfuatilia,,,zaidi na zaidi utajikuta unapoteza mali,,, nguvu wakati mwingine akili pia unaivuruga,,,wengine hadi kifo!!!Achana na mambo ya kiumbe binadamu,,fanya yako zaidi,,fanya mazoezi!!!
 
Nyie watu msioishi pande za ufukweni ndiyo mna mentally hizi. Ukisoma alichoandika GENTAMYCINE ni kwamba alikuwa anafanya mazoezi Kisha akaingia beach. Sasa hapo vinahusiana vipi na swala la beach za Bei rahisi au Bei juu?

Mimi pia kila siku kabla ya kuingia job lazima nifanye mazoezi na Kisha kuingia beach kuogelea,alafu narudi nyumbani kujiandaa na safari ya kwenda kutafuta mkate.
"Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital." Nimemnukuu hapo acha kukoment kwa mihemko..
 
Naingiaje kuogelea uchi kwa mfano
Haingii uchi ila unapokuwa mjuaji wa kwenda kina kirefu kule ndio nafasi yetu "mabichi boi" kukuzamisha kidogo ukinywa nguchu moja lazima utoe kitu ili uokolewe.

Anyways sijawahi kupenda kuogelea maji ya bahari. Yananuka sana mimi napenda kuogelea mitoni kule kwetu Kilimanjaro.
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.

Wakurya wakiwa mara= wababe kweli kweli

Wakurya wakija dar= wanauza mayai
 
Back
Top Bottom