Jina moja lipi sasa ambalo wanalimaanisha? Nachojua ni kwamba huyo ambaye unamtambua kama Yesu ndio ambaye kwa kiingereza humwita Jesus, sasa hapo wanamaanisha jina moja au wanamkusudia mtu mmoja?Lakini wakimaanisha jina moja
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?....Kimbia kwa paroko na ky
Namaanisha hao malaika waovu wana sifa za kimalaika kama walivyo malaika ambao si waovu au walibadilika na kutokuwa malaika tena?Malaika wa ovu awajabadilika wamebakia kwenye uovu,pili wao walishahukumiwa tayari, mwanadamu ndo anaesubiria hukumu
Kwa tasfiri ya wengine malaika wapo wa aina mbili wema na waovu,yaani wa Mungu na wa shetani.Namaanisha hao malaika waovu wana sifa za kimalaika kama walivyo malaika ambao si waovu au walibadilika na kutokuwa malaika tena?
Matamko tu lakini maana moja tuJina moja lipi sasa ambalo wanalimaanisha? Nachojua ni kwamba huyo ambaye unamtambua kama Yesu ndio ambaye kwa kiingereza humwita Jesus, sasa hapo wanamaanisha jina moja au wanamkusudia mtu mmoja?
Kwahiyo Mungu aliumba kiumbe kinaitwa shetani?Usilete stori za vijiwe , Muhammad anasema shetani ni kiumbe sio sifa
- Upande wa pili Allah anasema kila muislamu ana shetani yupo nae mpaka Muhammad alikuwa na shetani ambae kawa muislamu
- "I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
- “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
- Je Kanisani wanayashughulikia yanatoka wapi, Koran inaweka wazi allah anayatuma
- Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Nakuuliza hivyo kwa sababu hao unaosema ni malaika waovu huwa mnasema kuwa ndio hawa viumbe wanaoitwa majini, na ukiangalia sifa za hao viumbe majini haziendani na malaika.Kwa tasfiri ya wengine malaika wapo wa aina mbili wema na waovu,yaani wa Mungu na wa shetani.
Ndio maana nikakwambia kuwa hayo majina yanamkusudia mtu mmoja ila ni majina tofauti, hakuna jina ambalo utasema kuwa ndio linakusudiwa bali kuna mtu mmoja ambaye ndio anakusudiwa kutoka kwenye majina tofauti tofauti.Matamko tu lakini maana moja tu
Waliofurushwa na shetani still bado ni waouvu, wengine uwaita majiniNakuuliza hivyo kwa sababu hao unaosema ni malaika waovu huwa mnasema kuwa ndio hawa viumbe wanaoitwa majini, na ukiangalia sifa za hao viumbe majini haziendani na malaika.
Majini sifa zao nyingi hufanana na binaadamu, ndio maana nauliza hao malaika waovu bado ni malaika au walibadilika na sio malaika tena?
Maandiko ni yenu mmeandika wenyewe Muhammad kasema , sasa Mimi nije nipinge au ? Shetani wa muhammad alikuwa muislamuTuthibitishie Kama kweli hayo maneno alisema au hakusema
Labda nikuulize majini ni viumbe gani au ni akina nani?Waliofurushwa na shetani still bado ni waouvu, wengine uwaita majini
Kwani Yesu yake ilikuwa ipi?
Kwa hiyo ule msitari wa usinishike hututaki,na ndiyo mpya kuliko huo,maana ni baada ya kufufuka,Dem wake Maria Magdalena anataka kumshika,akamwambia asimshike ili asimtengue udhu,ule huuutaki!?
Kazi imeisha ndiyo njia gani hiyo aliyoileta Yesu ?Kazi imeisha
Nimemtolea mfano, mchungaji Mwamposa, jinsi anavyotumia Shuhuda za uongo kuibia wakristo wenzake.Wapi nimesema mimi ni muumini wa mtu.
Majini viumbe vilivyomuasi Mwenyezi Mungu.Majini roho ni viumbe katika ulimwengu wa roho.Labda nikuulize majini ni viumbe gani au ni akina nani?
Kuthibitisha kama ni uongo au ukweli ni hadi uingie kwenye ulimwengu wa roho sio wa nyamaNimemtolea mfano, mchungaji Mwamposa, jinsi anavyotumia Shuhuda za uongo kuibia wakristo wenzake.
Wewe umejibu wewe siyo Muumini wake.
Ndiyo nimekuuliza wewe ni muuni wa mtu.