Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

Si huwa mnakiri kabisa kuwa Mungu wenu hashindwi na jambo lolote kulitenda ?

Kwanini achemke kuwa na mwana, huoni huyo Mungu wenu ni ubabaishaji ikiwa kila kitu anaweza lakini anashindwa tu kuwa na mwana ?
Mwana kamzaa kwa mke yupi ?
 
Panapo mchawi, jini, pepo, tamka tu kwa jina la Yesu, Hakuna mchawi wala jini litabaki hapo wote lazima wasambaratike vibaya
Kwa uzito huohuo tumia jina jingine, iwe La babu yako au mbwa wenu nyumbani, hata shetani, halafu uje utuletee matokeo hapa.


Uungu hauna mipaka ya majina. Popote unapofikiwa Ukamilifu wake unatenda. Haijalishi utaupa jina gani.
 
Ni kwamba awe na mtoto, atampataje, ni juu yake mwenyewe.
Kama ni hivyo kwa nini mnatuambia?

Na alitamka wapi kuwa mtoto ni juu yangu mwenyewe au umekuwa msemaji wa Mungu ?
 
Kwamba Mungu Ana Mtoto [emoji1787], Mungu Hafanani Na Kitu Chochote.
Ana Upendo, ana huruma, anachukia, ana hasira, anasamehe, ana hili na lile just like me. Hata mbwa na paka wana Upendo hata huruma pia kwa watoto wao, hivyo Tunafanana hakika na Mungu.

Na hiyo ni kwa mujibu wa maandiko.
 
Kama ni hivyo kwa nini mnatuambia?

Na alitamka wapi kuwa mtoto ni juu yangu mwenyewe au umekuwa msemaji wa Mungu ?
Ni mwenye Uwezo wote.

Sasa labda utuambie kipi tuseme hakiwezekani kwa mwenye uwezo wote.
 
Ni mwenye Uwezo wote.

Sasa labda utuambie kipi tuseme hakiwezekani kwa mwenye uwezo wote.

Jibu swali

Kama ni hivyo kwa nini mnatuambia ?
Na alitamka wapi kuwa ni juu yake mwenyewe au umekuwa msemaji Wake ?
 
Ana Upendo, ana huruma, anachukia, ana hasira, anasamehe, ana hili na lile just like me. Hata mbwa na paka wana Upendo hata huruma pia kwa watoto wao, hivyo Tunafanana hakika na Mungu.

Na hiyo ni kwa mujibu wa maandiko.
Sawa we jifananishe na Mungu, kuna mwenzio mmoja alikuwa akiishi kule Misri alikuwa anajifananisha na Mungu na alifika pahala akakufuru kabisa kwa kujiita yeye ni Mungu, Mungu alimpa pigo moja tu kisha baada ya kufariki kwenye maji bahari ilimkataa na kumtema na kila akizikwa baada ya muda watu wanaukuta mwili wake juu yani na ardhi pia ilimkataa na mwili wake hauozi mpaka leo hii amebaki historia vizazi na vizazi na Mungu amefanya ivo makusudi ili tupate kujua ukuu wake na iwe fundisho kwa wote tuliobaki.
 
Jibu swali

Kama ni hivyo kwa nini mnatuambia ?
Na alitamka wapi kuwa ni juu yake mwenyewe au umekuwa msemaji Wake ?
Kuwaambia nini?

Wewe ulimsikia wapi akitamka chochote?
 
Kuwaambia nini?

Wewe ulimsikia wapi akitamka chochote?
Mbona unasahau ulichoandika ?

Uliandika

Ni kwamba awe na mtoto, atampataje, ni juu yake mwenyewe.

Swali

Maneno hayo aliyasema wapi au umekuwa msemaji wa Mungu?
 
Hivyo ni vitisho vya kizamani, Leo huwezi kunidanganya hivyo.

Mummification Tecnology ya Ancient Egypt, mkaitengenezea hadithi zinazowapendeza.

Lakini pia hakuna nilichokitoa nje ya maandiko katika hoja yangu ya kufanana.

Mungu ana Upendo, na wewe unao.
Mungu ana huruma, hata wewe unayo.
Mungu anachukia, hata wewe kuna unavyochukia.
Mungu anasamehe, hata wewe anasamehe.
Mungu ana hili na lile kama Mimi na wewe tu. Hoja ya kusema hafanani na chochote ni Uongo.
Mungu ana wasaidizi sawa na viongozi wa dunia.
Mungu ana subira sawa na Mimi.
Mungu ana jeshi sawa na USA NATO.
Mungu ana Kiti, sawa na baba nyumbani.
Usisahau kuwa wapo walioona kichogo chake, isijekuwa kinafanana na changu au chako pia.
Na kama kichogo kipo, mengine yaliyokosa nakuachia wewe.

Kama mnachotofautisha ni kiwango cha Upendo, basi hata binadamu wanatofautiana pia. Wako wewe ni tofauti na ule wangu.

Kama Kufuru ingekuwepo kweli basi hakika ninyi watu wa dini ndio muongozao Kufuru, maana mpaka sasa mmejiumbia lidubwana LA kufikirika vichwani mwenu, Kuuubwaa na kulijajaza sifa nyiiingi na mkaamua kuliita Mungu. Kimsingi hilo lidude halipo na halitawahi kuwepo.
 
Mbona unasahau ulichoandika ?

Uliandika

Ni kwamba awe na mtoto, atampataje, ni juu yake mwenyewe.

Swali

Maneno hayo aliyasema wapi au umekuwa msemaji wa Mu
Ni muweza wa vyote. Unataka kujua kipi asichoweza kwa Muweza wa vyote? Mpaka akuambie?

Hope unajua kuwa amejitamkia kuwa yu muweza wa yote. (Hayo yote ni pamoja na kupata mtoto)
 
Ni muweza wa vyote. Unataka kujua kipi asichoweza kwa Muweza wa vyote? Mpaka akuambie?

Hope unajua kuwa amejitamkia kuwa yu muweza wa yote. (Hayo yote ni pamoja na kupata mtoto)

Umekuwa msemaji wake ? Tuwekee aliposema maneno hayo uliyoyaandika
 
Kuna imani za kijinga sana jina kama jina halina maana yoyote, na kulitumia kamaa hirisi ni ujinga wa kiwango alichokizungumzia Gwnerali Ulimwengu, IMBECILE - UZUZU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…