Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Yesu alileta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi akiwa kama ndie njia ya ukweli na uzima yeyeto ajae kwake anao uzima wa milele.Kazi imeisha ndiyo njia gani hiyo aliyoileta Yesu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu alileta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi akiwa kama ndie njia ya ukweli na uzima yeyeto ajae kwake anao uzima wa milele.Kazi imeisha ndiyo njia gani hiyo aliyoileta Yesu ?
Ni Aya ipi hiyo katika biblia?Yesu alileta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi akiwa kama ndie njia ya ukweli na uzima yeyeto ajae kwake anao uzima wa milele.
Ndivyo älivyokuambia mchungaji wako?Hakuna jina jingine tunalopaswa kuokolewa nalo isipokuwa jina la Yesu Kristo pekee. Jina kuu kupita majina yote.
Ishu sio mchungaji kwa mujibu wa maandiko na elimu ya jumla katika ulimwengu usioonekana.Ndivyo älivyokuambia mchungaji wako?
Ndivyo älivyokuambia mchungaji wako?Hakuna jina jingine tunalopaswa kuokolewa nalo isipokuwa jina la Yesu Kristo pekee. Jina kuu kupita majina yote.
Yohana 14.6-30,Matendo ya mitume 4.12Ni Aya ipi hiyo katika biblia?
Ishu sio mchungaji kwa mujibu wa maandiko na elimu ya jumla katika ulimwengu usioonekana.
Hata waliokuwa level ya mwisho ya uchawi wakiwemo wenye phd ya uchawi wanathibitisha hilo.
Yohana 14.6-30,Matendo ya mitume 4.12
Yohana 3.18,
kwa uchache tu hizi.
Wewe jamaa Ni mpumbavu aliyekubuhu...kushinda shetani mkuu kilaza wewe.......Kuna dini ina uhusiano wa karibu na mapepo na mashetani, wao ni wapinga Kristo, watapinga kila kitu, watasema Yesu hajawahi kuponya wala kutoa pepo, ili tu aonekane sana na yule karani wa mama mfanyabiashara ambaye alioa katoto ka miaka tisa
Elizabeth Mtishbi??? Au ulimaannisha Eliya?Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Shindwa pepoYesu Ni kivuli Cha ibilisi.
Imani hiyo ndiyo inayowatajirisha Wachungaji, We Mungu amekupa akili, kuweza kutambua mambo, leo eti kujua uwongo wa mchungaji, mpaka kiroho.Kuthibitisha kama ni uongo au ukweli ni hadi uingie kwenye ulimwengu wa roho sio wa nyama
Sikatai kwenye original na feki wapo.Imani hiyo ndiyo inayowatajirisha Wachungaji, We Mungu amekupa akili, kuweza kutambua mambo, leo eti kujua uwongo wa mchungaji, mpaka kiroho.
Kibwetele alikua na kila sababu za kuwaunguza moto wale jamaa.
Bado sijakuelewa unavyosema tu majini ni viumbe vilivyomuasi Mwenyezi Mungu unakuwa bado haujaeleza hivyo viumbe ni viumbe gani, kwa maana hata Malaika mnasema wapo waliyomuasi Mungu na malaika wana sifa zao wanafahamika ila sasa hao majini ndio viumbe gani?Majini viumbe vilivyomuasi Mwenyezi Mungu.Majini roho ni viumbe katika ulimwengu wa roho.
Ni vitendea Kazi vya shetani,utumika na wachawi na waganga wa kienyeji.
Rudia kusoma kwa utulivu utaelewa.Bado sijakuelewa unavyosema tu majini ni viumbe vilivyomuasi Mwenyezi Mungu unakuwa bado haujaeleza hivyo viumbe ni viumbe gani, kwa maana hata Malaika mnasema wapo waliyomuasi Mungu na malaika wana sifa zao wanafahamika ila sasa hao majini ndio viumbe gani?
Haujaweka wazi hao viumbe ndio malaika au ni aina nyengine ya viumbe? Kumbuka nilisema kwamba majini sifa zao hufanana na binadamu tofauti na malaika.Rudia kusoma kwa utulivu utaelewa.
Labda lete ufafanuzi tuelimike tunatofautiana elimuHaujaweka wazi hao viumbe ndio malaika au ni aina nyengine ya viumbe? Kumbuka nilisema kwamba majini sifa zao hufanana na binadamu tofauti na malaika.
Ufafanuzi ni kwamba malaika majini na binaadamu, hivyo ni viumbe aina tatu tofauti. Sasa tatizo linakuja pale inaposemwa kwamba majini ni malaika(waliyoasi) wakati sifa za viumbe majini ni tofauti na malaika.Labda lete ufafanuzi tuelimike tunatofautiana elimu
Mambo ya dini tuwaachie wenyeweHili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.