Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi mtu kulitumia ukiwa na imani ya hali ya juu sana mimi nilikuwa na tatizo la kukabwa usiku nikawa naliita kimazoea mazoea sikuwa napata majibu stahiki mpaka hiyo hali ya kukabwa inaondoka yenyewe.
Kuna siku moja nilikabwa (hii kukabwa inakuwa ni kama mtu anakugandamiza kichwa kwa nguvu huku mikono yako imeshikwa) nikaona hapa sasa naondoka maana ilikuwa nimeshafika point ya mwisho nilijikuta napata nguvu na imani nikaliita kwa nguvu mara tatu ile hali ikaisha hadi leo haijajirudia.
Muhimu imani tu.
🤣🤣
Eti kiti anataka maji, dhahabu
Sie hatuna muda, tunayafukuza Ili kae Roho Mtakatifu ndani ya mtu sio majini
Wewe bado hujamjua Yesu Kristo.
Ngoja nikupe Homework.
Mama wa Nabii Musa alimtupa mtoto wake Musa mtoni kwa kuogopa atachinjwa na Herode.
Binti Farao akamwokota mtoto Musa na kuamua kumlea.
Mama wa Musa alifuatilia tukio lote la mtoto wake Musa kuchukuliwa na Binti Farao.
Kwa mapenzi makubwa ya Mama ya Musa kwa mtoto wake Musa ilibidi Mama wa Musa aende kwa Farao kuomba kazi ya Kijakazi au Housegirl ili amlee mtoto wake Musa.
Naomba unijibu hapa.
1.Familia ya Farao ilimjua Housegirl wao kuwa ni mama yake Musa?
2. Kwanini Mama wa Musa hakujitambulisha kama Mama wa Musa kwa Farao?
3. Je huyo Housegirl wa Farao alipo ongea kwenye familia ya Farao aliongea kama Mama wa Musa au kama Housegirl wa Farao?
4. Tufanye siku ya kwanza ya mama wa Musa kufika kwa Farao na kuomba kazi ya ujakazi, hivi angesema yeye ndiye mama mzazi wa Musa unafikiri nini kingetokea?
5. Kuna mtu kwenye familia ya Farao aligundua kuwa huyo hakuwa mjakazi bali ni mama mzazi wa Musa na hakumwambia mtu yeyote, unafikiri ni kwanini alinyamaza?
6. Ungekuwa wewe kwenye familia ya Farao. Ungeweza kumtambua yule mjakazi kuwa ni mama mzazi wa Musa?
7. Kama wewe ulivyo, ungehitaji nini ili umtambue mama mzazi wa Musa kuwa amejifanya tu kuwa ni Housegirl ili awe karibu na mtoto wake?
Tafakari haya maswali kwa muda kadhaa.
Halafu unijibu kadiri ya uelewa wako.
Nakusikiliza.
Yesu alihubiri upendo, ndiyo tofauti yake na Eliya, Eliya aliua manabii wa Baali lakini Yesu akiwa msalabani alisema "Baba uwasamehe kwa maana hawajui wanalolitenda... "
Usimdhihaki FaizaFoxy mfundishe kwa upendo. Hata Paulo kaandika muwaonye wazee kwa heshima
Hahahaha,umenichekesha sana kwa hiyo line hapo kwenye boldNa dawa yake ni moja tu kwamba muingie katika dini ya Mwenyezi Mungu, ISLAM, baada ya kutambua umoja wa Mungu na Mtume Muhammad s.a.w. bila hivyo mtaendelea kufedheheka siku hadi siku.
Katika uumbaji wote wa Mungu kwa uzao wa Adamu hakuna hata mmoja aliyewahi kufa na kufufuka na kupaa mbinguni bila kuuacha mwili wa nyama na damu ila Yesu peke yake.Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
Hahahaha,umenichekesha sana kwa hiyo line hapo kwenye bold
First of all sidhani kama nipo tayari kupokea wanawake bikra 70 na kunywa pombe peponi sijui ahera,also duniani sipo tayari kusimama kupigana vita kwa ajili ya Mungu ninaemini anaweza kila kitu nyie mliofanikiwa kuyaelewa hayo mnatosha
Msingi wa Ukristo siku hizi ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.Katika uumbaji wote wa Mungu kwa uzao wa Adamu hakuna hata mmoja aliyewahi kufa na kufufuka na kupaa mbinguni bila kuuacha mwili wa nyama na damu ila Yesu peke yake.
Ndio maana anatajwa kuwa aliye hai milele.
Huu ndio muujiza uliozidi miujiza yote wa Yesu mfufuka.
Wengine wote wapo makaburini wakisubiri kiama ya wafu wafufuliwe na wachache sana wawili au watatu walitwaliwa bila kifo hivyo hawana sifa ya kukishinda kifo na mauti bali walipewa neema ya kutokugusa huo mfupa mgumu uliowashinda wengine wote.
Yesu alipofufuka, makaburi yakapasuka, wafu wakafufuka. Baada ya kukufuka wakafa tena au waliyeyuka hamna ajuaye walienda wapi?Katika uumbaji wote wa Mungu kwa uzao wa Adamu hakuna hata mmoja aliyewahi kufa na kufufuka na kupaa mbinguni bila kuuacha mwili wa nyama na damu ila Yesu peke yake.
Ndio maana anatajwa kuwa aliye hai milele.
Huu ndio muujiza uliozidi miujiza yote wa Yesu mfufuka.
Hapo uliponi quote inahusiana nn na huu mstari?Mathew 24
Jesus answered: “Watch out that no one deceives you.
5 For many will come in my name, claiming, ‘I am the Messiah,’ and will deceive many.
Naona umetoka nje ya madaDomo ni nyumba ya maneno ,
Uhuru wa kusema utakalo unao lakini ushahidi huna
Was there a Jesus? Of course there was a Jesus – many!
The archetypal Jewish hero was Joshua (the successor of Moses) otherwise known as Yehoshua (Yeshua) bin Nun (‘Jesus of the fish’). Since the name Jesus (Yeshua or Yeshu in Hebrew, Iesous in Greek, source of the English spelling) originally was a title (meaning ‘saviour’, derived from ‘Yahweh Saves’) probably every band in the Jewish resistance had its own hero figure sporting this moniker, among others.
Josephus, the first century Jewish historian mentions no fewer than nineteen different Yeshuas/Jesii, about half of them contemporaries of the supposed Christ! In his Antiquities, of the twenty-eight high priests who held office from the reign of Herod the Great to the fall of the Temple, no fewer than four bore the name Jesus: Jesus ben Phiabi, Jesus ben Sec, Jesus ben Damneus and Jesus ben Gamaliel. Even Saint Paul makes reference to a rival magician, preaching ‘another Jesus’ (2 Corinthians 11,4). The surfeit of early Jesuses includes:
Jesus ben Sirach. This Jesus was reputedly the author of the Book of Sirach (aka 'Ecclesiasticus, or the Wisdom of Jesus the Son of Sirach'), part of Old Testament Apocrypha. Ben Sirach, writing in Greek about 180 BC, brought together Jewish 'wisdom' and Homeric-style heroes.
Jesus ben Pandira. A wonder-worker during the reign of Alexander Jannaeus (106-79 BC), one of the most ruthless of the Maccabean kings. Imprudently, this Jesus launched into a career of end-time prophecy and agitation which upset the king. He met his own premature end-time by being hung on a tree – and on the eve of a Passover. Scholars have speculated this Jesus founded the Essene sect.
Jesus ben Ananias. Beginning in 62AD, this Jesus had caused disquiet in Jerusalem with a non-stop doom-laden mantra of ‘Woe to the city’. He prophesied rather vaguely:
Arrested and flogged by the Romans, Jesus ben Ananias was released as nothing more dangerous than a mad man. He died during the siege of Jerusalem from a rock hurled by a Roman catapult.
Jesus ben Saphat. In the insurrection of 68AD that wrought havoc in Galilee, this Jesus had led the rebels in Tiberias ("the leader of a seditious tumult of mariners and poor people" – Josephus, Life 12.66). When the city was about to fall to Vespasian’s legionaries he fled north to Tarichea on the Sea of Galilee.
Jesus ben Gamala. During 68/69 AD this Jesus was a leader of the ‘peace party’ in the civil war wrecking Judaea. From the walls of Jerusalem he had remonstrated with the besieging Idumeans (led by ‘James and John, sons of Susa’). It did him no good. When the Idumeans breached the walls he was put to death and his body thrown to the dogs and carrion birds.
Jesus ben Thebuth. A priest who, in the final capitulation of the upper city in 69AD, saved his own skin by surrendering the treasures of the Temple, which included two holy candlesticks, goblets of pure gold, sacred curtains and robes of the high priests. The booty figured prominently in the Triumph held for Vespasian and his son Titus.
Hapo uliponi quote inahusiana nn na huu mstari?
Hao fake wako wengi tu na biblia imesema
kwenye mada sijatoka , naona unaendelea kubwabwaja tuNaona umetoka nje ya mada
Ulichojibu na nilichosrema vitu viwili tofauti
Sina muda wa kupoteza
Whatever you ask in my name........John 16:23
Mie nakupa POLESasa unaamini yapi maneno ya kweli ?? John 16 :23 au John 5:30 ??
halafu imeanzia John 16 : 19 imeandikwa
Jesus saw that they wanted to ask him about this, so he said to them ....
Hapo anayetupa habari za Yesu ni nani ??
Nimeipokea pole yako sasa jibu hojaMie nakupa POLE
Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.