Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Nilipokuwa teenager nilikuwa sipitwi na wanawake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Sasa kumbe mnavyotajaga sifa za wanawake mnaotaka kuwaoa huwa mnatuzeveza siyo? Sasa huyo mbona kama anazo nyingi tu na haujamuoa? Wanaume bwana
Yeah pengine sifa anazo ila kuoa ni uamuzi wa mtu... And yes tunaoa wenye sifa nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…