Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Dogo ume badili username na madini yame potea?

Leta nyuzi zako.
 
 
Kumbe wewe ndio davinchi
 
Mazigazi ni Taswira fulani unayoiona ukiwa barabara ya lami unaona kama kuna kibwawa kipo mbele yako lakini sio bwawa .

Maji ya bahari ukiwa mbali yana rangi kama ya blue lakini ukienea kuyachota hayana hio rangi

Mimi ndio bwana Mazigazi [emoji2][emoji41]
 
Dumla la mahindi laendaje hukoo unaeza pitia hata hapo ghalani national milling unavoenda kambini uniulizie Poti
mpaka sasa mambo yako sawia mkuu,karibu songea kikosi cha 411kj ruhuwiko
 
Dah...Ni langu halisi la kuzaliwa nilipewa na wazee wangu...na hawajawahi kuniambia maana yake...
Rohombaya Yambahoro...
Kwa kifupi sipendi vitu feki [emoji2960]
 
Dumla la mahindi laendaje hukoo unaeza pitia hata hapo ghalani national milling unavoenda kambini uniulizie Poti
sipo songea kwa sasa,nimesafir kdgo kikazi,ila kuna jamaa yangu yupo pale NMC (national milling) ruhuwiko songea nitamuuliza nikitulia then nitaku update mkuu
 
kama kweli umekaa kindi kuna shule ya sekondari kindi kati jirani kuna chemchemu inaitwa dungi.... nilikuwa natoroka kutoka umbwe sec nakuja kugegeda wasichana wa hiyo shule kwenye hako kapori ka dungi...... hiyo ni maana ya soro.

Njemba lina historia ndefu mno ambayo kwa kweli haifai kusimulia.
 
Simulia mkuu
 
Mie ndie yule huwa napitisha intravenus
 
Ligaba(Pregabalin)
Neuropathic pain associated w/ diabetic peripheral neuropathy. Postherpetic neuralgia & fibromyalgi

Kuna siku kuna mama alikuja alikuwa amepewa prescription ya Ligaba, nikamshauri aitumie usiku. Mama kaenda tumia asubuhi, kilichofuata kaenda chooni dawa ikamlevya uwezi amini kajifungia mlango chooni watu wamegonga kila wakitaka kuingia wanajua kuna mtu uswahili uko. Baada ya masaa 3 watu wamevunja mlango wamemkuta kajilalia kimya usingizi.

Aliporudi kunisimulia ikabaki katika kumbukumbu zangu. Ligaba.
 
Kiga Koyo limetoka katika lugha mojawapo za kimataifa. Kama ukiijua maana yake basi ndo nilivyo kimaumbile[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…