Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

DreezyD98 nililibuni tu ila linabeba taarifa muhimu za majina yangu halisi
 
GENTAMYCINE Dawa Kabambe ya Kutibu...

1. Magonjwa Sugu na Fangasi zote tu

2. Kutibu Upumbavu Uliomtukuka Mtu

3. Kukuongezea Akili ambazo hauna

4. Kiboko ya Wanafiki na Wachokozi JF

5. Upweke kwa kukupa Furaha kila 27/4

6. Kupotea kwa Kumbukumbu Kichwani

7. Magonjwa yote yatokanayo na Zinaa
 
Mbna zero Zero IQ Alisha let's Uzi wa namna[emoji41] hi

Mim Langu nilikua nakazia Jambo lakipuuzi kutokufanyika bas jamaa yule akasema huyu jamaa Ni goroko kweli yaani

Yaaan mtu mtata kiarachuga zaid
 
Thankyu but i would like to know lenie?
Hili jina nilipewa na rafiki yangu nilikutana naye chuga, nikalipenda tangia siku hiyo likastick kwa kichwa.

Nilipojiunga JF nikaona ndio sehemu rasmi ya kulitumia. Kama yupo huku anaweza kuconnect dots as tumepotezana kwa muda kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…