Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mm lina maana kwamba nliishi german kipind flan so nlikubali harakat za adolf hitler ndo nkapata ilo jina
 
Je wewe ilikuwaje kupata jina lako?????
Jina langu ukijumlisha herufi zote ukagawa kwa 100 ukazidisha kwa 10 ukatoa 7 ukajumlisha na 2 inakuletea code namber Ila sitaitaja hapa kwa kua itifaki imezingatiwa unaweza ukafungua code na ilichukua walau saa 1 tu kuandaa mpaka likaja jina Mpetde

Ndio ni hivyo tu nasikia eti IGAUFE ni mdogo ake na IGA
 
Yap,hili jina ni la mwanamke mwenye harakat kabambe ktk utafutaji rizki,iwe kwenye kazi,uongozi,biashara yani ni hustlers
Yaan kila nikiona hii I'd, nilikua natamanigi nikuulize au baada ya kutazama ile Korea drama, ndo ukampenda yule character.

Ni mwanaharakatii haswaa, alipambania ndoto za kuwa 1st lady.
Sema mumewe ndo alimuangusha mwshoniiii. Ila alitisha mnoooo.
 
Linapop kwa mema 😀😀😀😀na kila nikilikumbuka huwa nacheka tu😀😀😀 now nimeshapata maana yake

Ila daah😀
 
Jina nalipenda sana Lina maanasawa na jinalangu
Natamani liwepo kwenye ukoo wetu au nikipata mtoto inshallah
Mtakuwa mnaniita mama Aaliyah 🥰🥰🥰🥰
 
THE SHADOW ONE


Nickname ya billionaire mmoja kutoka Russia. Lakini pia ni kama mtu anayependa low key si mtu ninayependa kuonekana isipokuwa vitu navyofanya vinajieleza kwenye jamii yangu.
 
Ua la kipekee ni kwa sababu watu wangu wakaribu wananiona mie special , caring, so wananichukilia hivyoo ,niko very unique nikandika unique flower
Aisee hongera, jimbo lina mtu kama liko wazi nitangaze nia, maana naona hapa kuna wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…