Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziondaughter au Binti Sayuni
Sayuni mji mtakatifu wa Mungu ulioteuliwa kwa ajili ya wateule.Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache.
Na mimi Jina langu linajieleza wenyewe MziziMkavu Hauchimbwi dawa hahhahahahahahhahah
Urefu wako una Futi ngapi wewe?MUREFU mimi ni mwanaume ni mrefu kwa kimo kiasi kutokana kila daladala hata dar express ninainama ndo mana nimejiita murefu
hhahahahah huu utakuwa mzizimkavu unaochimbwa Dawa MkuuUna hakika MziziMkavu hauchimbwi dawa? 🙂🙂 Mbona hapa JF watu wanachimba dawa toka kwa MziziMkavu na ushauri wake wa kila siku katika mambo mbali mbali ya vyakula, watoto wanaokojoa kitandani n.k.?
Basi atakuwa huyo ni Twiga mdogo .......Kwa maelezo yake naona yuko above 6'5''
Urefu wako una Futi ngapi wewe?
Kwa maelezo yake naona yuko above 6'5''
Mhhhh! Haya banaaa!
kaka mara ya mwsho kupima ilikuwa ni 2007 ndo nilikuwa najiunga na JKT nilikuwa na futi 6'5 ila now nina kama 9 au 7 hivi
mzee ni urefu kwenda chini au juu.sasa huamin BAK mm ninaiyona tanzania ya kesho itavyokuwa na ndo mana nimekwambia nikiingia kwny DAR EXPRESS ninainama
avtar yako ina maana ipi?Nimejaribu la kwangu likakataa ikaonyesha tayari kuna mtu
nikajaribu mengine matano yote yakakataa la mwisho nakumbuka
ni vuvuzela likakataa ndo nikajaribu GAZETI, Kimsingi sikulikusudia hili jina
hivyo halina maana yoyote zaidi ya utambulisho tu ingawa wengine
wananiita JARIDA.
Avatar yangu ndo ina maana maalum!