Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Chapaa=Kama kawaida tunasaka mahela na tunayapata na matumizi kama ilivyo ada
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ziondaughter au Binti Sayuni

Sayuni mji mtakatifu wa Mungu ulioteuliwa kwa ajili ya wateule.Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache.


wateule ni wachache, na katika hao wachache na mimi nimo. Mteule ni kama wale waliopakwa mafuta-annointed to be leaders. Siyo hawa wa kuchakachua wa siku hizi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi ni Mnyakyusa,jina langu ni la Kinyakyusa. Ktk jukwaa hili la Jamii forum ninajiita "Lsk" ambapo nimelipata kwa kulifupisha (accronimation) jina langu halisi. Ndaga mgonile lelo bandu ba Kyala,ndaga ni mbombo iji!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si kla ufanyacho lazima upige kelele, many times naamua kua"act" silently.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na mimi Jina langu linajieleza wenyewe MziziMkavu Hauchimbwi dawa hahhahahahahahhahah

Una hakika MziziMkavu hauchimbwi dawa? 🙂🙂 Mbona hapa JF watu wanachimba dawa toka kwa MziziMkavu na ushauri wake wa kila siku katika mambo mbali mbali ya vyakula, watoto wanaokojoa kitandani n.k.?
 
MUREFU mimi ni mwanaume ni mrefu kwa kimo kiasi kutokana kila daladala hata dar express ninainama ndo mana nimejiita murefu
 
Una hakika MziziMkavu hauchimbwi dawa? 🙂🙂 Mbona hapa JF watu wanachimba dawa toka kwa MziziMkavu na ushauri wake wa kila siku katika mambo mbali mbali ya vyakula, watoto wanaokojoa kitandani n.k.?
hhahahahah huu utakuwa mzizimkavu unaochimbwa Dawa Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kusema ukwel ninakama sikosei ninaweza nikawa ninafuti tisa au saba hv mana mm sio mrefu ha-ha,ha,ha,ha sio mrefu kabisa

Mhhhh! Haya banaaa!
 
Kwa maelezo yake naona yuko above 6'5''

kaka mara ya mwsho kupima ilikuwa ni 2007 ndo nilikuwa najiunga na JKT nilikuwa na futi 6'5 ila now nina kama 9 au 7 hivi
 
Nimejaribu la kwangu likakataa ikaonyesha tayari kuna mtu
nikajaribu mengine matano yote yakakataa la mwisho nakumbuka
ni vuvuzela likakataa ndo nikajaribu GAZETI, Kimsingi sikulikusudia hili jina
hivyo halina maana yoyote zaidi ya utambulisho tu ingawa wengine
wananiita JARIDA.
Avatar yangu ndo ina maana maalum!
avtar yako ina maana ipi?
 
Mi hili ni jina langu kamili na sikuona sababu ya kutumia jina la utani....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom