Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👀mjambaji na Mjambishaji njooni huku mtuelezee mnavyojambishana
Kwasababu mbao za mawe doesn't exist. Xo nawewe ulikua unataka uwe haujulikanMimi hata najua wapi nilijikuta najiita hivyo.
Mkuu mbona huyu dada wa kwny avatar yako umemnyima ziwa, kakukosea nn dada wawatu bhas at least ungempa hata chura..Na avatar nimechora mwenyewe
Mbao zipo.Kwasababu mbao za mawe doesn't exist. Xo nawewe ulikua unataka uwe haujulikan
Wakuu, basi hapa jf kuna kila aina ya majina kulingana na hizi ID zetu feki zinazotumiwa humu!
Kikubwa zaidi kuna id nyingine ukiiona unaanza kucheka huku ukijiliuza hii ina maana gani?
Leo naomba tujadili sababu iliyokufanya uchague hiyo id unayoitumia na ina maana gani. Mm kwa upande wangu bwana.,nakumbuka nilikuwa na id yangu moja hivi ikapigwa ban, niaona usinitanie nikaingia usajili mwingine.
Kilicho fanya nitumie jina la "Crimea" ni kwamba wakati flani nchi ya Urusi na nchi siikumbuki jinabwalikuwa katika ugomvi mkali wakigimbea jimbo la Crimea, ule mgogoro hadi ulizusha hofu ya vita ya tatu ya dunia. Hii crimea ikawa maarufu sana midomoni mwa watu na vyombo vya habari, baai na mie nikaona nijinyakulie niifanye iwe nsio id yangu hapa jf.
Twambie wewe nn kilipelekea kuchagua hii id yako?
Nina mjomba wangu kila akija home alipenda kuniita madame hiyo s n herufi ya mwanzo ya jina langu.
ahahahaha siitwi saladinSawa Saradini tumekupata.
Madam SubiraNina mjomba wangu kila akija home alipenda kuniita madame hiyo s n herufi ya mwanzo ya jina langu.
Kumbe unaitwa Sophia?Nina mjomba wangu kila akija home alipenda kuniita madame hiyo s n herufi ya mwanzo ya jina langu.
hapanaKumbe unaitwa Sophia?
loh hapanaMadam Subira
ahahahaha siitwi saladin
Madame Suhaymanahahahaha siitwi saladin